Iran yaishutumu Israel kuwaibia mawingu ya mvua...

Iran yaishutumu Israel kuwaibia mawingu ya mvua...

Gerald Robert

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
337
Reaction score
219
IRAN yaishutumu ISRAEL kwa kuiba mawingu yanasababisha mvua kiasi kwamba nchi ya Iran inakabiriwa na baridi kali pamoja na tishio la nchi hiyo kugeuka jangwa.

Kila mvua inapotanda kutaka kunyesha, wingu huondoka na nchi kusalia na baridi kali yenye barafu.

Iran imeishitumu Israel kwa kudai kuwa imekuwa ikiiba barafu na mawingu yao yanayosababisha mvua ili nchi hiyo ipatwe na ukame

Bregedia Jenerali Reza Jajali ambaye ni kiongozi wa Taasisi ya Ulinzi wa Jamii alitoa tuhuma hizo alipokuwa akizungumza na Wanahabari

Alisema mabadiliko ya hali ya hewa nchini humo yanahisiwa kuwa kuna muingiliano kutoka nchini nyingine na kusisitiza kuwa uchunguzi wa kisayansi ya nchi hiyo umethibitisha

Hata hivyo, tuhuma hizo zimepingwa na Mkuu wa kitengo cha hali ya hewa, Ahad Vazife kwa kusema kuwa huenda Jenerali Jalali ana taarifa nyingine ambazo mimi sina lakini katika misingi ya hali ya hewa haiwezekani nchi kuiba mawingu na barafu

Aidha, Vazife amesema Iran imekubwa na ukame wa muda mrefu na ni jambo ambalo lipo dunia nzima si Iran tu

=======

Iran thinks Israel has been stealing its clouds to cause a drought


An Iranian general has accused Israel of ‘manipulating weather’ to prevent rain over the Islamic republic – aka, stealing the country’s clouds.

Brigadier General Gholam Reza Jalali, head of Iran’s Civil Defence Organisation, alleged that his country was facing cloud ‘theft’ during a press conference.

However he was later contradicted by the nation’s weather chief.

Brigadier General Gholam Reza Jalali, head of Iran’s Civil Defence Organisation, alleged that his country was facing cloud ‘theft’ during a press conference. (Picture: YouTube)

Speaking at the conference, the general said: ‘The changing climate in Iran is suspect.

‘Foreign interference is suspected to have played a role in climate change’.

He later insisted the results from an Iranian scientific study ‘confirmed’ the claim.

‘Israel and another country in the region have joint teams which work to ensure clouds entering Iranian skies are unable to release rain,’ he said.

‘On top of that, we are facing the issue of cloud and snow theft’, Jalali added, citing a survey showing that above 2,200 metres all mountainous areas between Afghanistan and the Mediterranean are covered in snow, except Iran.

Iran’s own meteorological service struck a sceptical note, however.

‘Iran has suffered a prolonged drought, and this is a global trend that does not apply only to Iran,’ Vazife said. (Picture: Getty)

General Jalali ‘probably has documents of which I am not aware, but on the basis of meteorological knowledge, it is not possible for a country to steal snow or clouds’, said the head of Iran’s meteorological service Ahad Vazife.

‘Iran has suffered a prolonged drought, and this is a global trend that does not apply only to Iran,’ Vazife said.


‘Raising such questions not only does not solve any of our problems, but will deter us from finding the right solutions’, he added, in apparent reference to Jalali’s claims.

The general’s allegations of weather pilfering were not the first time an Iranian official has accused the country’s foes of stealing its rain.

Former president Mahmoud Ahmadinejad in 2011 accused Western countries of devising plans to ’cause drought’ in Iran, adding that ‘European countries used special equipment to force clouds to dump’ their water on their continent.


Kwataarifa zaidi fungua hapa ==> Iran thinks Israel has been stealing its clouds to cause a drought
 
Inaweza kua kweli, Israel wanateknolojia ya kufanya mvua isinyishe nahata kuyeyusha wingu ambalo limetanda .

Ila duuuhhhh Jamaa naona anazidi kuwaaminisha waarabu kua Israel ndio adui wetu namba moja.

Kwa israel ,kila goti litapigwa tu.. Hayo ni mapigo ya Mungu kama alowapiga wamisiri mpaka farao akanyoosha mikono juu.
 
Huyo ni Jenerali Mkuu wa Majeshi; akiagiza piga wanapiga kweli bila kusita, kuchelewa, wala kuhoji! Ni aibu mtu wa level yake kuongea "uharo" wa kiwango hicho.
 
Kwahiyo wanataka kutuaminisha kwamba Israel ni 'Mungu'?
 
Duuuh kama ndio tumefika uku naona kabisa wizi wa nyeti za watu ukivumbuliwa bongo
 
Inaweza kua kweli, Israel wanateknolojia ya kufanya mvua isinyishe nahata kuyeyusha wingu ambalo limetanda .

Ila duuuhhhh Jamaa naona anazidi kuwaaminisha waarabu kua Israel ndio adui wetu namba moja.

Kwa israel ,kila goti litapigwa tu.. Hayo ni mapigo ya Mungu kama alowapiga wamisiri mpaka farao akanyoosha mikono juu.
Mmmh! Naona watu bado mpo kwenye ajenda ya kuipa utukufu usio stahili hii nchi
 
na sisi tukaibe mawingu chigali hahhaha tuyapeleke kule Same Moshi
 
Naona hizi ni chuki binafsi kama za jiwe letu kwa wapinzani.
 
Ingekuwa hawa Mula wa Iran wanapiga maji ningesema jenerali wao alikuwa mbwii wakati anafanya press conference. Ila kwa kuwa hawapigi maji basi inawezekana alivuta ile moshi mbaya kabla ya press conference.
 
Back
Top Bottom