International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Victim: Alan J. Abrahamson. A well-liked man, by the accounts of friends and family. Ostensibly happy, according to the same. “Alan was an avid golfer, enjoyed traveling and had a zest for life,”...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Karibu kila Mjerumani anapendekeza uondoaji wa vikosi vya Marekani kwao, kulingana na uchaguzi uliochukuliwa kabla ya mkutano wa kilele cha NATO, ambapo Donald Trump aliishtaki Berlin kwa...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Hamas wamevurumisha Mvua ya maroketi kwenda Israel huku waisrael watatu wakijeruhiwa kutokana na Shambulio Hilo la zaidi ya Maroketi 90. Mtambo wa kujilinda wa Iron dome ulitungua Maroketi 30...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Rais wa nchi ya Ufilipino, Rodrigo Durtete ameahidi kujiuzulu endapo waumini wa dini ya Kikristu watamthibitishia kuwa Mungu yupo Kauli hii ya rais huyo amekuja wiki kadhaa baada ya Wananchi kuja...
3 Reactions
210 Replies
20K Views
Politics » Israeli minister calls for 'immediate closure' of country's embassy in Ireland Israeli Embassy in Dublin (inset Israel's Defence Minister Avigdor Liberman) Laura Larkin July 13...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Africa inanyonywa na Nani? Kivipi? Kwanza Africa ni Nini, Nini chanzo cha jina hili?Pengine unamaanisha ukombozi wa mtu mweusi, lakini anakombolewa kutoka kwenye nini...na tunaposema mtu mweusi...
7 Reactions
138 Replies
7K Views
HIGHLY AFFORDABLE, WORLD GRADE SERVICED WORK-SPACES AVAILABLE IN ALMOST ALL MAJOR/CAPITAL CITIES ACCROSS THE WORLD. -Ranging from one person’s space, To any (unlimited) number of TEAM members...
0 Reactions
0 Replies
498 Views
Kampuni ya Johnsons & Johnsons imeamriwa kulipa fidia ya dola za Kimarekani bilioni 4.7 kama fidia na faini kwa wanawake 22 waliodai kuwa bidhaa za talc za kampuni hiyo zimewasababishia saratani...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Amnesty International imelaani mamlaka nchini Iran kwa kumchapa viboko hadharania mwanamume ambaye alipatikana na hatia ya kunywa pombe wakati alikuwa na umri wa miaka 14. Vyombo vya habari...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Jamaa Juncker amekwenda kwenye kikao cha NATO pmj na wakuu wengine wa nchi akiwemo D.Trump akiwa amelewa chakali hata anashindwa kutembea anashikwa, ... Raisi wa EU commission Jean-Claude- Juncker!
0 Reactions
15 Replies
3K Views
India imeipiku Ufaransa kiuchumi na Sasa ni nchi ya sita kwa uchumi mkubwa Duniani ikiisogeza Ufaransa nafasi ya 7 toka ya 6. India's economy overtakes France to become sixth largest in the world
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Trump says his ‘talented’ friend Boris Johnson would be a ‘great’ PM, ahead of meeting with UK’s May Boris Johnson would make a ‘great prime minister’ and Theresa May made a bad Brexit deal by...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Mahakama ya ICC imemuondolea makamu wa rais wa zamani wa nchini DRC Jean Pierre Bemba makosa ya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu ambayo alikuwa amepatikana nayo. Alikuwa anatumikia...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Mpiga picha wa maharusi ametajwa kuwa shujaa katika mitandao ya kijamii baada ya taarifa kusambaa kuwa alimshushia kipondo bwana harusi aliyempa tenda ya kupiga picha kwenye harusi yake na binti...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Utawala wa Rais Donald Trump umeonekana kutotaka kurudi nyuma kwenye Vita vyake vya kibiashara baada ya siku ya Jumanne kutangaza awamu ya Tatu ya ushuru mwingine wenye thamani ya Dola Bilioni 200...
1 Reactions
57 Replies
5K Views
Idara ya polisi nchini India imewaamuru maafisa wake kupunguza uzito vinginevyo watasimamishwa kazi. Mkuu wa idara hiyo katika jimbo la Karnataka ameiambia BBC kuwa alikuwa na wasiwasi kuhusu...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Umewahi kujiuliza viongozi wa mataifa yenye ushawishi duniani hulipwa mshahara kiasi gani? Huu hapa ni muhtasari: Donald Trump Dola 400,000 (pauni 309,720), ingawa alisema atakuwa akipokea dola...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Kama nchi tunajifunza nini kuhusu demokrasia Trump kutua UK huku mitaa ikiripuka kupinga ujio wake ? Ramli zangu zinaonyesha ikitokea kwetu TZ kipigo cha mbwa koko kitawahusu waandamanaji.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi all everywhere, Kindly anyone knows this Girl send my message that I love her and I wish I could get her contacts[emoji7] Anyone from Rwanda who know her try to connect for good will From Tz
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…