Rais wa EU Comission J.P.Juncker alewa chakali kwenye Nato summit!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Jamaa Juncker amekwenda kwenye kikao cha NATO pmj na wakuu wengine wa nchi akiwemo D.Trump akiwa amelewa chakali hata anashindwa kutembea anashikwa, ...

Raisi wa EU commission Jean-Claude- Juncker!
juncker_0.jpg


 
Kilaji kikiendekezwa hakijawahi mwacha mtu salama; at some point ni lazima utie aibu tu usipokuwa na self-control ya haya mavitu. Halafu D. Trump anapuuza as if nothing is happening; kamshika mkono wife wake hana time na huyo mlevi anayesaidiwa na wenzie kutembea regardless of his title! Kisaikolojia Trump kawadharau sana na sio ajabu ni timu yake imelikisha hiyo kitu.
 
Kilaji kikiendekezwa hakijawahi mwacha mtu salama; at some point ni lazima utie aibu tu usipokuwa na self-control ya haya mavitu.

Word, Pombe sio chai. Chai unaweza kuinywa nyingi tu bila madhara yoyote, lakini kwenye pombe self control na umakini mkubwa sana.
 
Jamaa anajulikana chapombe sana ktk gala / dinner party

Published on 28 May 2015
The President of the European Commission, Jean-Claude Juncker, was bitch slapping EU leaders, calling Hungarian PM 'dictator' in front of the press at the EU-Eastern Partnership summit in Latvia.
 
Jamaa anajulikana chapombe sana ktk gala / dinner party

Published on 28 May 2015
The President of the European Commission, Jean-Claude Juncker, was bitch slapping EU leaders, calling Hungarian PM 'dictator' in front of the press at the EU-Eastern Partnership summit in Latvia.

Hahahaaaa
 
Yani huyu kalewa na bado kaingia kwenye kikao,Africa kamishna kachelewa dakika 1 kapigwa fedhea yakufamtu.
Dunia inabadirika, waafrika wanakuwa serious wakati wazungu wanafanya mambo ya ajabu
 
Back
Top Bottom