Hamas wavurumisha Mvua ya Makombora kwenda Israel,IDF yajibu

ze kokuyo

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
7,418
9,599
Hamas wamevurumisha Mvua ya maroketi kwenda Israel huku waisrael watatu wakijeruhiwa kutokana na Shambulio Hilo la zaidi ya Maroketi 90.

Mtambo wa kujilinda wa Iron dome ulitungua Maroketi 30 huku mengine 73 yakianguka sehemu za wazi. Waisrael watatu wamejeruhiwa baada ya rocket moja kuangukia kwenye Nyumba yao.

Jeshi la Israel lilijibu Shambulio kwa kufanya mashambulizi ya Anga kwa kushambulia maeneo zaidi ya 40 ya Hamas na kusababisha vifo wa wapalestina wawili huku wengine 12 wakijeruhiwa.

- The Washington Post

UPDATES:
Jeshi la Israel hii leo limeondoa vizuizi vyake katika eneo la mpaka wa Gaza, likiashiria kuwa limekubali mpango uliosimamiwa na Misri wa kusitisha mapigano makali yaliyodumu masaa 24 pamoja na wanamgambo wa Hamas, mapigano yaliyotishia kugeuka vita kamili.

Jeshi lililifunga eneo maarufu la ufukwe na kuzuwia watu wasikusanyike kwa wingi huku wakaazi wengi wakibakia karibu na nyumba zao jana kutokana na maroketi kadhaa yaliyofyatuliwa kutokea Gaza

Lakini baada ya saa kadhaa za utulivu, jeshi la Israel limesema kambi za mapumziko ya msimu wa joto zitaanza kuhudumu kama kawaida na wakaazi wanaweza kuendelea na shughuli zao za kawaida
 
na wewe Myahudi mkuu

allah anasema Yahudi ana Haqi ya kulipiza kisasi
IMG_20180715_123013_783.jpg
 
naona iron dome imeanza kuzungukwa,makombora 90 inatungua 30 tu..watu wanaipigia tizi hiyo,ipo siku haitotungua hata kombora moja

Huwa ina uwezo wa kupiga mahesabu ya trajectory ya kombora na kujua litatua wapi. Wakiona litatua maeneo ya wazi wanaliacha, ujue Iron dome ni gharama kuitumia.
Sasa hapo Hamas wameingia hasara ya makombora 90 bila mafanikio.
 
Hapo sawa, mie nilijua lolote litakalokuja basi linapigwa kumbe projectile motion inahusika?
 
Huwa ina uwezo wa kupiga mahesabu ya trajectory ya kombora na kujua litatua wapi. Wakiona litatua maeneo ya wazi wanaliacha, ujue Iron dome ni gharama kuitumia.
Sasa hapo Hamas wameingia hasara ya makombora 90 bila mafanikio.
kwa hiyo hao waisrael waliojeruhiwa walikua angani!?
 
Inawezekana malfunction ya rocket, maana kombora likitoka linaonwa kwa mbali linavyokuja, Iron Dome inapiga mahesabu na kupata wapi litatua, ikitokea litaanguka jangwani, wanaachana nalo likatifue vumbi huko. Lakini elekeza kombora mjini kwenye makazi ya watu ndio uelewe shughuli yake.

Muisraeli kumpiga sio jambo rahisi, anaendelea kuboresha ulinzi wake, sasa hivi anazo multi-tiered anti-ballistic missiles systems zifuatazo Arrow 2, Arrow 3, Iron Beam, Barak na mzee mzima David's Sling ambayo hata madubwasha ya Mrusi yamewekwa kwenye mahesabu yake.
 
kumbe unaleta ushabiki
 
waisrael watatu wamejeruhiwa baada ya roketi kuangukia nyumba yao
 
Back
Top Bottom