Maandamano ya kumpinga Trump UK

Maandamano ya kumpinga Trump UK

Escrowseal1

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2014
Posts
4,803
Reaction score
4,864
Kama nchi tunajifunza nini kuhusu demokrasia Trump kutua UK huku mitaa ikiripuka kupinga ujio wake ? Ramli zangu zinaonyesha ikitokea kwetu TZ kipigo cha mbwa koko kitawahusu waandamanaji.
 
Wana frustrution za kutupwa nje WC hao. Walishajiaminisha wanaitoa Croatia; hawaamini "muujiza" uliotokea.
 
tunajifunza kuwa Trumpnanaenda uingereza kwa malikia
 
Back
Top Bottom