India yaipiku Ufaransa kiuchumi

India yaipiku Ufaransa kiuchumi

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
7,476
Reaction score
9,654
India imeipiku Ufaransa kiuchumi na Sasa ni nchi ya sita kwa uchumi mkubwa Duniani ikiisogeza Ufaransa nafasi ya 7 toka ya 6.
India's economy overtakes France to become sixth largest in the world
740x-1.jpg
 
Sawa kabisa Ni ujinnga wake wa kuwa kibaraka wa kijinga wa Marekani kwa faida ya Marekani pasipo kujua na bado ulaya magharibi wasipobadilika Asia zitawapiku zote Ujrumani alishashituka, ununue gas Bei mbaya kutoka Marekani kiss tu uswahiba si ujinga huo.
 
Sawa sisi Tanzania tumekua wangapi Tumeipiku nani, mkuu "charity begins at Home" Mkuu ilishakua sisi niwatanzania hatuwezi kua Wahindi au wafaransa tena....tutafutie habari za dreamliner kama itapata abiria route ya India?
 
Naombeni kujua uchumi unapimwaje wakuu maana sijaiona Urusi wakati India na Ufaransa wapo
Uchumi unapimwa kwa kutumia GDP(gross domestic product) thamani ya bidhaa na huduma ambazo nchi husika huzalisha ndani ya kipindi cha mwaka mmoja. Hili mara limachochewa na shughuli za kiuchumi zinazotengenezwa ndani ya nchi.
Kwa nchi kama india kuipita france si swala la kushangaa sana kutokana na idadi yao inafanya uzalishaji wa bidhaa na huduma kuwa mwingi lakini standard ya maisha ipo chini maana hiyo gdp unakuta haindani na ukubwa wa watu wa nchi husika halafu GDP haingalii mambo mengi ndio maana baadhi ya wachumi wanapenda kutumia PPP na HDI (purchasing power parity na Human Development Index).
Ndio maana france au Switzerland ni developed countries na india ni developing country japokuwa india ana uchumi mkubwa.
Kwa swala la urusi ni nchi ambayo sioni kama imewekeza sana kwenye consumer goods ukilinganisha na india, hapa bongo unaweza kukutana na bidhaa nyingi toka india kama bajaji,tata nk lakini ni ngumu kukutana na bidhaa toka urusi hawa waliwekeza sana kwenye masilaha na kuuza gesi.
 
Asante kwa ufafanuzi wako mkuu
 
Sawa sisi Tanzania tumekua wangapi Tumeipiku nani, mkuu "charity begins at Home" Mkuu ilishakua sisi niwatanzania hatuwezi kua Wahindi au wafaransa tena....tutafutie habari za dreamliner kama itapata abiria route ya India?
Mkuu hili ni jukwaa la kimataifa,habari za dream liner zipo kibao kwenye jukwaa la siasa na Hoja mchanganyiko
 
Uchumi unapimwa kwa kutumia GDP(gross domestic product) thamani ya bidhaa na huduma ambazo nchi husika huzalisha ndani ya kipindi cha mwaka mmoja. Hili mara limachochewa na shughuli za kiuchumi zinazotengenezwa ndani ya nchi.
Kwa nchi kama india kuipita france si swala la kushangaa sana kutokana na idadi yao inafanya uzalishaji wa bidhaa na huduma kuwa mwingi lakini standard ya maisha ipo chini maana hiyo gdp unakuta haindani na ukubwa wa watu wa nchi husika halafu GDP haingalii mambo mengi ndio maana baadhi ya wachumi wanapenda kutumia PPP na HDI (purchasing power parity na Human Development Index).
Ndio maana france au Switzerland ni developed countries na india ni developing country japokuwa india ana uchumi mkubwa.
Kwa swala la urusi ni nchi ambayo sioni kama imewekeza sana kwenye consumer goods ukilinganisha na india, hapa bongo unaweza kukutana na bidhaa nyingi toka india kama bajaji,tata nk lakini ni ngumu kukutana na bidhaa toka urusi hawa waliwekeza sana kwenye masilaha na kuuza gesi.
Umenena more professionally kiasi kwamba sio wengi watakuelewa, ndio maana nchi za Scandinavia hazina GDP kubwa kama US, China, Japan au Germany lkn kwa HDI wako dunia nyingine tofauti na hao.
 
basi huku ndio penye neema na utu.na si ndio zenye idadi kubwa ya wakaazi wenye furaha duniani?
 
Uchumi unapimwa kwa kutumia GDP(gross domestic product) thamani ya bidhaa na huduma ambazo nchi husika huzalisha ndani ya kipindi cha mwaka mmoja. Hili mara limachochewa na shughuli za kiuchumi zinazotengenezwa ndani ya nchi.
Kwa nchi kama india kuipita france si swala la kushangaa sana kutokana na idadi yao inafanya uzalishaji wa bidhaa na huduma kuwa mwingi lakini standard ya maisha ipo chini maana hiyo gdp unakuta haindani na ukubwa wa watu wa nchi husika halafu GDP haingalii mambo mengi ndio maana baadhi ya wachumi wanapenda kutumia PPP na HDI (purchasing power parity na Human Development Index).
Ndio maana france au Switzerland ni developed countries na india ni developing country japokuwa india ana uchumi mkubwa.
Kwa swala la urusi ni nchi ambayo sioni kama imewekeza sana kwenye consumer goods ukilinganisha na india, hapa bongo unaweza kukutana na bidhaa nyingi toka india kama bajaji,tata nk lakini ni ngumu kukutana na bidhaa toka urusi hawa waliwekeza sana kwenye masilaha na kuuza gesi.
Nimeyaona mkuu
 
Siku zote huwa naamini kuwa maendeleo huchagizwa na idadi ya watu. Nchi zetu za kiafrika bado tunaamini katika kuwa na watu wachache. Wanaoongoza kwa idadi ya watu ulimwenguni ndiyo huchomoza kimaendeleo. Hata kwenye historia, yalianza mapinduzi ya idadi ya watu na vingine vilifuata. Tuzaliane kwa wingi ili tuendelee. Hongera India!
 
Watu wengi ni muhimu sana, lakini wawe na elimu, afya, makazi na kazi. Afrika tuna uwezo mkubwa sana wa kuwa na watu wengi tukijiweka sawa.

Unajua Tanzania ni kubwa zaidi ya Japan, Nigeria, Uk, France nk hawa wana population zaidi yetu.

Kama sio kwa utumwa ambapo waliwauwa mamilioni au kuwachukua mamilioni utumwani kwenda mabara ya Asia, Ulaya, Marekani ya kusini na magharibi Africa ingekuwa na watu wengi sana na nguvu kubwa sana.

Muhimu watu wawe pamoja. Nchi zijipange, otherwise kutakuwa na uchafu kila sehemu, pollution, uhalifu, mazingira mabaya.
 
kwahiyo mnataka kusema india wana uchumi mkubwa kupita ufaransa??labda uchumi wa makaratasi tu
hali ya maisha ya wahindi ukifananisha na ya wafaransa ni dhambi iliyotukuka
 
kulingana na makadirio ya IMF india itazipikua uingereza ujerumani na japan ifikapo mwaka 2028 na kuw nyuma ya china na marekani
 
kwahiyo mnataka kusema india wana uchumi mkubwa kupita ufaransa??labda uchumi wa makaratasi tu
hali ya maisha ya wahindi ukifananisha na ya wafaransa ni dhambi iliyotukuka

Uchumi mkubwa GDP? Ndio (inamaanisha kila kitu cha kiuchumi kinachofanywa, kinachozalishwa na nchi husika)

Per capita, Siyo (kipato cha kila mwananchi ukigawanya pato la taifa husika, uwezo wake binafsi).

Kuna tofauti kubwa sana kati ya hivi vitu viwili.
 
kwahiyo mnataka kusema india wana uchumi mkubwa kupita ufaransa??labda uchumi wa makaratasi tu
hali ya maisha ya wahindi ukifananisha na ya wafaransa ni dhambi iliyotukuka
india sasa ina uchumi mkubwa zaidi ya ufaransa kwa design zote PPP na GDP, Uchotaka kuongelea ww ni GDP per capital hio ndio inaangazia hali za wananchi
 
kwahiyo mnataka kusema india wana uchumi mkubwa kupita ufaransa??labda uchumi wa makaratasi tu
hali ya maisha ya wahindi ukifananisha na ya wafaransa ni dhambi iliyotukuka
Hapo hapo mkuu India Wananchi wake wengi ni choka mbaya wanaokota vyakula majalalani mkuu ufaransa ni ufaransa tu
 
Back
Top Bottom