RwandAir Bankrupting Rwanda
Open Letter To Presidents Yoweri Museveni And John Magufuli
Excellencies:
It is widely reported that you want to establish and expand your national airlines...
Hizbullah: Jeshi la anga la Israel haliwezi kuzuia makombora yetu
Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa, imekwishayalenga kwa makombora yake maeneo yote muhimu...
Urusi yafanya mashambulizi ya anga Idilib
Ndege za kivita za Urusi zimefanya mashambulizi ya anga katika mji wa Idlib ambao ni ngome ya mwisho ya waasi nchini Syria. Shirika la waangalizi wa haki...
Jeshi la Polisi katika Jimbo la Kerala Kusini mwa India limemkamata Askofu anayetuhumiwa kwa kumbaka mmoja wa Watawa wa Kanisa Katoliki
> Watawa walifanya mgomo kwa siku kadhaa wakishinikiza...
Marekani imetishia kuiwekea vikwazo Mahakama hiyo ikiwa itaendelea na mikakati yake ya kuwashtaki raia wa nchi hiyo
ICC kwa sasa inatathmini kuwafungulia mashitaka Wanajeshi wa Marekani kwa madai...
Makamu wa zamani wa rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Jean-Pierre Bemba, leo amesema uchaguzi wa urais ambao umecheleweshwa kwa muda mrefu nchini mwake ni mzaha, hiyo ikiwa kauli yake ya...
Maafisa usalama wa Uganda wazuia jaribio la mamlaka za Kenya la kutaka kupandisha bendera ya nchi nyingine katika kisiwa kinachobishaniwa cha Migingo
Waganda wameshusha bendera hiyo...
Umoja wa Ulaya waiunga mkono mahakama ya ICC kuhusiana na Marekani
Umoja wa Ulaya umetoa radiamali yake kwa vitisho vya Marekani vya kutaka kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) na...
Theresa may akitoa taarifa za kijasusi Bungeni leo
Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May leo mchana amewataja raia wawili wa Russia ambao wanatuhumiwa kujaribu kumuua aliekuwa jasusi mwezao...
When Karabo wanted a second husband in Generations: The Legacy, it was only a soapie. But now some women from the Shembe Baptist Church are asking for the same thing!
A group of women members...
Trump kuwafukuza Wapalestina nchini Marekani
Gazeti moja la nchini Marekani limeripoti kuwa, mshauri wa usalama wa taifa wa White House, leo Jumatatu atatangaza kufungwa ofisi ya Chama cha...
Ni maandamano ya kumtaka waziri wa afya atoke madarakani wakimtuhumu kuwa ni mla rushwa sambamba na aliyekuwa raisi wa nchi hiyo Jacobo Zuma.
KINACHOFANYIKA
Ukiwa haushiriki maandamano kundi la...
Shamrashamra zatawala baada ya mpaka baina ya nchi ya Ethiopia na Eritrea kufunguliwa ikiwa ni miaka zaidi ya 20 tangu ufungwe
Hatua hii ni matunda ya makubaliano baina ya Waziri Mkuu wa...
New York Times: Trump alipanga njama ya mapinduzi dhidi ya Rais wa Venezuela
Gazeti la New York Times la Marekani imefichua kwamba, serikali ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo mwaka jana...
Majimbo kadhaa nchini Marekani yametangaza hali ya hatari kufuatia kufuatia kimbunga Florence kudaiwa kuelekea pwani ya mashariki mwa taifa la hilo.Takribani watu milioni 1.7 wana yahama maeneo...
Mke wa Kiongozi wa Upinzani nchini Uganda, Winnie Byanyima akosoa kitendo cha Serikali ya Tanzania kuzuia matumizi ya mitandao ya kijamii kwa Watumishi wa Umma
> Auita uamuzi huo ni wa kiwango...
Jeshi la marekani upande wa anga (Air force) linafikiri hatua za kumchukulia Mjasiria mali na Mmiliki wa kampuni ya Tesla bwana Elon Musk baada ya kuonekana kwenye kipindi kimoja akivuta bange...