Umoja wa Mataifa(UN) umetoa taarifa hiyo jana Novemba 16 na kueleza kuwa mapigano hayo yalisababisha Kanisa kuchomwa moto, watu zaidi ya 2,000 kuathirika na maelefu kukimbia makazi yao huko...
…Nchi 13 zinashindana kununua mfungo wa makombora wa Russia wa S-400
Licha ya Marekani kutishia kuiwekea vikwazo zaidi Russia, tayari mataifa 13 yameonyesha utayarifu wao kwa ajili ya manunuzi ya...
Aliyekuwa kiongozi wa Kikundi cha Waasi huko Afrika ya Kati, Kanali Rambo afikishwa Mahakama ya Uhalifu wa Kivita (ICC)
Kwa sasa amewekwa kwenye kizuizi cha Mahakama hiyo
Atashtakiwa kwa tuhuma...
RwandAir where dream has turned into realityImage via airwaysmag.com
BY DR. WOLFGANG H. THOME, ETN UGANDA | MAR 03, 2013(eTN) - While in Rwanda last week, news emerged from the corridors of...
Uongozi wa jamii ya Kwazulu Natal, Afrika Kusini, imewataka wanaume ambao wana umri wa kuoa kulipa kodi, na kuwa na barua ya utambulisho wa umiliki wa makazi.
Katika taarifa iliyoripotiwa na...
Makubaliano ya usitishaji vita yamfanya Waziri wa Vita wa Israel ajiuzulu
Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Avigdor Liberman ametangaza kujiuzulu wadhifa wake eti kulalamikia hatua...
Wakati Marekani ikimaliza kujiondoa kwenye mkataba wa Nyuklia na Iran ,wataalamu wa masuala ya ulinzi wameonya hatari ya kutokea mashambulio mengi ya mtandao kutoka Iran.
"Tunategemea kwa ukaribu...
Zimbabwe Military Recruits Chinese Nationals into its Ranks?
Zimbabwe has recruited some Chinese Nationals into its military formation, what is happening to Africa?
We all attacked Zambia when...
Waliofariki kutokana na ajali hiyo katika maeneo mawili ya jimbo, Magharibi ya Marekani imefikia 42 hivyo kuweka rekodi mpya ya vifo kutokana na moto katika jimbo hilo
Waliofariki walikutwa...
Basi la abiria limeteketea kwa moto jana usiku Novemba 15 na kusababisha vifo hivyo na wengine takribani 20 wamejeruhiwa huku baadhi wakijeruhiwa vibaya
Msemaji wa Polisi Charity Charamba amesema...
Mawaziri hao wamejiuzulu wakati Waziri Mkuu Theresa May akijaribu kuwashawishi Wabunge kuhusiana na mpango wake wa kujitoa Umoja wa Ulaya, maarufu 'Brexit'
Waziri anayeshughulikia Brexit, Dominic...
Umoja wa Mataifa umesema walinda wake amani wapatao 7 wameuawa katika mapigano yaliyozuka karibu na mji wa Beni kaskazini mwa Kivu, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.
Ni eneo...
Nilikua napitia pitia tech new Bloomberg nikakutana na hii
Mamlaka ya wamasioliano huko Marekani imepampa elon musk alhamisi iliyopita kibali cha kurusha satelite 7,518 za kutoa huduma za...
Kinachotrend sasa hivi ni mgogoro wa Israel na Gaza
.
.
Israel imeshambulia kambi mia moja za Hamas nayo hamas wamerusha maroketi 300
.
.
Wapalestina 3 wameauawa huku waisrael wakidai aidha ni...
Wanajeshi saba wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini DRC (MONUSCO) wameuawa na 10 wamejeruhiwa katika operesheni ya kijeshi ya pamoja na askari wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo dhidi ya waasi...
(CNN)Jemel Roberson couldn't wait for his son's first Christmas.
With a 9-month-old boy and another baby on the way, the 26-year-old security guard was working extra shifts to buy gifts for his...
Umoja wa Ulaya kutathmini upya uhusiano wake na Tanzania
dakika (0) nyuma
Umoja wa Ulaya umesema unazitafakari sera zake kuhusu Tanzania, na utafanya mjadala na nchi hiyo baada ya kukamilika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.