British PM May battles to save Brexit deal as ministers quit

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,881
Reaction score
6,378
Mawaziri hao wamejiuzulu wakati Waziri Mkuu Theresa May akijaribu kuwashawishi Wabunge kuhusiana na mpango wake wa kujitoa Umoja wa Ulaya, maarufu 'Brexit'

Waziri anayeshughulikia Brexit, Dominic Raab na Waziri wa Kazi na Mafao, Esther McVey wamejiuzulu ikiwa ni saa 12 tangu Waziri May kusema Mawaziri wake wanakubaliana na mpango wake

Tukio hilo linatikisa Serikali inayoongozwa na Theresa May na mpango wake mzima wa Brexit huku Wanasheria wakihoji iwapo Serikali hiyo itadumu

Raab ni Waziri wa mbili wa Brexit kujiuzulu kutokana na mpango wa May wa kujitoa EU, mtikisiko mkubwa katika sera ya Uingereza kwa zaidi ya miaka 40

Hata hivyo, Waziri Mkuu hajaonyesha dalili za kusitisha mpango wake alipokuwa anashawishi Wabunge
=======

Prime Minister Theresa May battled on Thursday to save a draft divorce deal with the European Union after her Brexit secretary and other ministers quit in protest at an agreement they say will trap Britain in the bloc’s orbit for years.

Just over 12 hours after May announced that her team of top ministers had agreed to the terms of the draft agreement, Brexit minister Dominic Raab and work and pensions minister Esther McVey quit, saying they could not support it.

Their departure, and the resignations of two junior ministers, shakes May’s divided government and her Brexit strategy, raising the prospect of Britain leaving the EU without a deal. Some lawmakers in London openly questioned whether May’s government will survive.

Raab is the second Brexit secretary to quit over May’s plans to leave the EU, the biggest shift in British policy in more than 40 years. By leaving now, some suggested that Raab could be positioning himself as a possible successor to May.

But the prime minister showed little sign of backing down in parliament, where she warned lawmakers they now faced a stark decision.

“The choice is clear. We can choose to leave with no deal, we can risk no Brexit at all, or we can choose to unite and support the best deal that can be negotiated,” she said.

She acknowledged that hammering out an agreement with her cabinet was not “a comfortable process” but said those lawmakers who believed she could get a deal that did not include a backstop arrangement to prevent the return of a hard border on the island of Ireland were wrong.

Sterling plunged, set for its second biggest drop this year on the opposition to the draft agreement.

British financial regulators held a call with major banks asking for feedback on market conditions after the pound and financial stocks sank, sources said. One source said the call was a direct request from Bank of England Governor Mark Carney. The Bank of England declined to comment.

STRATEGY IN DOUBT
In parliament, lawmakers from her Conservative Party and the opposition parties took turns to rubbish the draft deal, a sign May faces an all but impossible task to get the agreement through the House of Commons.

Many criticized the draft deal, agreed with the EU on Tuesday, for making Britain a “vassal” state, beholden to the bloc’s rules even after leaving in March next year.

Others said an agreement on the so-called backstop would tear Britain apart, leaving Northern Ireland all but in the EU’s single market.

It took an hour of parliamentary questions before she was asked a friendly, rather than hostile, one, with a Conservative lawmaker saying May had done the best she could.

It was the backstop arrangement, which would see Britain and the EU establishing a single customs territory, that spurred most of the criticism and the resignations of her senior ministers.

“I cannot reconcile the terms of the proposed deal with the promises we made to the country in our manifesto at the last election,” Raab said.

Less than five months until Britain leaves the EU on March 29, the resignations put May’s Brexit strategy in doubt.

EU leaders are ready to meet on Nov. 25 to sign off on the divorce deal, or Withdrawal Agreement, but French Prime Minister Edouard Philippe summed up the uncertainty when he said events in London raised concerns about whether it would be ratified.
 
Jana 14/11/2018 waziri mkuu wa UK Theresa MAY alipeleka muswada (draft) kwa baraza lake la mawaziri ili waupitishe kabla ya kuupeleka bungeni. Lakini Leo mawaziri 4 wamejiuzuru kupinga muswada huo wakidai hauna manufaa kwa UK na utainufaisha zaidi EU. Mawaziri waliojiuzuru ni Pamoja na waziri wa BREXIT, waziri wa kazi, waziri Kutoka Northern Ireland na waziri msaidizi wa BREXIT. Waziri Theresa May ameeleza kuwa lazima UK ijitoe na kukamilisha mchakato huo ili maisha Mapya yaendelee.
Ikumbukwe kuwa UK inatakiwa kuwa imejitoa EU ifikapo 29 March 2019.
Kwa mtazamo suala la BREXIT huenda lina siasa zaidi kuliko uhalisia kwa kuwa mpaka sasa ni Viongozi wengi wa UK na wenye influence kubwa wamekwisha jiuzuru wakipinga Njia inayotumika ktk kujitoa au
Kuna watu wamewauza wenzao kwa maslahi yaliyojificha hivyo kwa sasa ndio akili zinawarudi lakini hawawez kurekebisha matokeo.
Kuna aliwahi kuandika humu kuwa BREXIT ni strategic plan ya USA hasa Baada ya kunusa kuwa EU wameanza kumchoka hivyo kwa namna yoyote anahitaji partner wa kudumu ndani ya bara Ulaya.

Ngoja tuendelee kuona hii sinema ya kimkakati ambayo THERESA May ameahidi kuwavusha UK kwa manufaa yao

Home - BBC News
IMG_20181115_162612.jpeg
 
Huyu mama huenda naye anataka kuonyesha kuwa ni Mwanamke wa shoka Kama Magret Thatcher. Muda ni mwalimu mzuri
Mawaziri hao wamejiuzulu wakati Waziri Mkuu Theresa May akijaribu kuwashawishi Wabunge kuhusiana na mpango wake wa kujitoa Umoja wa Ulaya, maarufu 'Brexit'

Waziri anayeshughulikia Brexit, Dominic Raab na Waziri wa Kazi na Mafao, Esther McVey wamejiuzulu ikiwa ni saa 12 tangu Waziri May kusema Mawaziri wake wanakubaliana na mpango wake

Tukio hilo linatikisa Serikali inayoongozwa na Theresa May na mpango wake mzima wa Brexit huku Wanasheria wakihoji iwapo Serikali hiyo itadumu

Raab ni Waziri wa mbili wa Brexit kujiuzulu kutokana na mpango wa May wa kujitoa EU, mtikisiko mkubwa katika sera ya Uingereza kwa zaidi ya miaka 40

Hata hivyo, Waziri Mkuu hajaonyesha dalili za kusitisha mpango wake alipokuwa anashawishi Wabunge
=======

Prime Minister Theresa May battled on Thursday to save a draft divorce deal with the European Union after her Brexit secretary and other ministers quit in protest at an agreement they say will trap Britain in the bloc’s orbit for years.

Just over 12 hours after May announced that her team of top ministers had agreed to the terms of the draft agreement, Brexit minister Dominic Raab and work and pensions minister Esther McVey quit, saying they could not support it.

Their departure, and the resignations of two junior ministers, shakes May’s divided government and her Brexit strategy, raising the prospect of Britain leaving the EU without a deal. Some lawmakers in London openly questioned whether May’s government will survive.

Raab is the second Brexit secretary to quit over May’s plans to leave the EU, the biggest shift in British policy in more than 40 years. By leaving now, some suggested that Raab could be positioning himself as a possible successor to May.

But the prime minister showed little sign of backing down in parliament, where she warned lawmakers they now faced a stark decision.

“The choice is clear. We can choose to leave with no deal, we can risk no Brexit at all, or we can choose to unite and support the best deal that can be negotiated,” she said.

She acknowledged that hammering out an agreement with her cabinet was not “a comfortable process” but said those lawmakers who believed she could get a deal that did not include a backstop arrangement to prevent the return of a hard border on the island of Ireland were wrong.

Sterling plunged, set for its second biggest drop this year on the opposition to the draft agreement.

British financial regulators held a call with major banks asking for feedback on market conditions after the pound and financial stocks sank, sources said. One source said the call was a direct request from Bank of England Governor Mark Carney. The Bank of England declined to comment.

STRATEGY IN DOUBT
In parliament, lawmakers from her Conservative Party and the opposition parties took turns to rubbish the draft deal, a sign May faces an all but impossible task to get the agreement through the House of Commons.

Many criticized the draft deal, agreed with the EU on Tuesday, for making Britain a “vassal” state, beholden to the bloc’s rules even after leaving in March next year.

Others said an agreement on the so-called backstop would tear Britain apart, leaving Northern Ireland all but in the EU’s single market.

It took an hour of parliamentary questions before she was asked a friendly, rather than hostile, one, with a Conservative lawmaker saying May had done the best she could.

It was the backstop arrangement, which would see Britain and the EU establishing a single customs territory, that spurred most of the criticism and the resignations of her senior ministers.

“I cannot reconcile the terms of the proposed deal with the promises we made to the country in our manifesto at the last election,” Raab said.

Less than five months until Britain leaves the EU on March 29, the resignations put May’s Brexit strategy in doubt.

EU leaders are ready to meet on Nov. 25 to sign off on the divorce deal, or Withdrawal Agreement, but French Prime Minister Edouard Philippe summed up the uncertainty when he said events in London raised concerns about whether it would be ratified.
 
huku kwetu mkuu anaona uwaziri ni ufahari kweli, anawatukana hovyo anawadhihaki akiamini hawawezi kujiuzuru maana nja itawaua

nchi zetu izi ni changamoto sana, waziri unaitwa mpumbavu, waziri unapigwa biti kuwa shangazi zako watachezea kichapo upo tu.
 
Mpaka apo theresia anaelekea kufel ila hao mawazir waliojiuzulu wameshachelewa
 
Tanzania Sasa wabunge wanajiuzuru baada ya kishawishiwa kutoka upande salama na kwenda upande wenye mabaya you ya kuteka kuua kupora visa na mambo mabayamabaya
 
huku kwetu mkuu anaona uwaziri ni ufahari kweli, anawatukana hovyo anawadhihaki akiamini hawawezi kujiuzuru maana nja itawaua

nchi zetu izi ni changamoto sana, waziri unaitwa mpumbavu, waziri unapigwa biti kuwa shangazi zako watachezea kichapo upo tu.

Hata Ulaya pia Chama kikishindwa uchaguzi Mwenyekiti hujiuzulu kuwapisha wengine hapa Bongo Mbowe kashindwa chaguzi zote lkn bado anag'ang'ania tu miaka 15 ingawaje hana jipya!
 
PM Theresa May anakosea mkakati kuazima wabunge dunia ya tatu ,brexit itapita kwa kishindo cha ndiyoooooo kiulaini tu.
 
Hata Ulaya pia Chama kikishindwa uchaguzi Mwenyekiti hujiuzulu kuwapisha wengine hapa Bongo Mbowe kashindwa chaguzi zote lkn bado anag'ang'ania tu miaka 15 ingawaje hana jipya!
hahahaha sasa mbowe kaingiaje mkuu hahahaha mawazo yako kila mtu ni cdm ama ccm jinga sana ww
 
Hii issue mama huyu kaivalia njugu..waingereza wanadiss sana

Leo GBP naona imeanguka sana baada ya mawazir kujiudhuru..
 
Waingeza bwana, walikuwa wanadhani wao bado ni the colonial masters. Wataamua kuondoka bila madhara yoyote kwa sababu wao ni Waingereza. Sasa wameona shuruba yake. Theresa May sharubu zinamcheza. E. U sio mchezo.
 
Inaonesha walipiga kura kishabiki na hawakupima madhara yake. Sasa wanatapatapa wanaondoka huku wanatamani wabaki
 
Hata Ulaya pia Chama kikishindwa uchaguzi Mwenyekiti hujiuzulu kuwapisha wengine hapa Bongo Mbowe kashindwa chaguzi zote lkn bado anag'ang'ania tu miaka 15 ingawaje hana jipya!
Kwani Tanzania kuna uchaguzi. Watakuja tu kujifunza kujiuzulu pale nchi itakapokomaa na kuwa na chaguzi za ukweli na kuachana na huu UHUNI uliyozoeleka mnaoita eti "Uchaguzi".
 
Back
Top Bottom