===
Fuatilia mwenyewe.
---
Ubelgiji nako si shwari...70 wakamatwa.
70 detained in Brussels
The spirit of the Yellow Vests demonstrations has even reached neighboring Belgium.
Yellow vests'...
Wizara ya Mashauri ya nchi za Kigeni na Umoja wa Mataifa imesema baraza hilo la Umoja wa Mataifa limepewa miezi miwili kuondoka Burundi
Shirika la habari la AFP limeunukuu Umoja wa Mataifa...
Pakistan: Hatutaendelea kuwa kibaraka wa Marekani
Waziri Mkuu wa Pakistan, Imran Khan ameeleza namna nchi hiyo inavyojuta kwa namna ilivyoamiliana vizuri na Marekani huko nyuma, akisisitiza kuwa...
Wakoloni hawakutoa Uhuru Bali walibadili Aina ya ukoloni, kutoka ukoloni mkongwe na kuwa ukoloni Mambo Leo.
Pia wakaweka vibaraka wao kuendeleza wizi was rasilimali za Afrika
Jack Ma mfanyabiashara maarufu na mmiliki wa kampuni ya Alibaba ametangaza rasmi kuwa Mwanachama wa Chama cha Kikomunisti
Atakuwa kati ya Wanachama watakaopewa heshima na Kamati Kuu ya Chama...
Mazishi ya Bush yatumika kama silaha mpya ya vyombo vya habari kwa ajili ya kumshambulia Rais Donald Trump.
(Hayati George H.W. Bush)
Waandishi wengi wa habari walitumia taarifa zao na...
Habari zenu wana bodi.
Kwanza kabisa niwakumbushe waliosahau kuwa Tanzania ni nchi ya 6 katika Afrika kuwa na idadi kubwa ya watu ikitanguliwa na Nigeria, Ethiopia, Misri, DR Congo na Afrika ya...
Kifaa hicho kilichopewa jina la Chang'e-4 kimeruka siku ya leo kutoka katika kituo cha kurushia satelaiti cha Xiachang kilichopo kwenye jimbo la Sichuan
Kinatarajiwa kufika mwezini na kutua...
Gadafi alichukuwa na wafica wakristo sana. Lengo lake la misaada kwa nchi za africa lilikuwa na lengo la kuwasilimisha tu.
Ndo mana alimsaidia muslamu mwenzake idd amini dada ili kuisambatatisha...
Kampuni ya Uber ya nchini Afrika Kusini imetangaza kupandisha gharama za usafiri kwa asilimia 5 kuanzia Desemba 07 mwaka huu
Imeeleza kuwa japokuwa lengo lao ni kuwa na gharama za chini...
Nikki Haley: 'Trump ni kichaa', ndiyo sera niliyotumia UN kufanikisha malengo ya Marekani
Balozi wa Marekani aliyejiuzulu, wa Umoja wa Mataifa amesema, ili kuweza kutwisha rai na mitazamo yake...
RWANDAN COURT drops all charges against government critic Diane Rwigara and her mother Adeline Rwigara. Court rules not guilty of insurrection.
--------
Mahakama mjini kigali imesema Mwanasiasa...
Watu 25 wameuawa katika mashambulizi mawili yanayoaminika kutekelezwa na kundi la waasi la Allied Democratic Forces, ADF, katika mtaa wa Beni, mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo (DRC)...
Watoto wawili walikuwa miongoni mwa waliokufa baada ya mabishano ya risasi kati ya polisi na kikundi cha wahalifu kaskazini mashariki mwa Brazil.
Watu 14, ikiwa ni pamoja na watoto wawili...
Watu 6 wamefariki na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa walipokuwa wakikimbia kutoka nje ya klabu moja ya usiku
Ndani ya klabu hiyo ziliibuka taarifa kuwa kuna Mtu amepuliza sumu
Hali ilikuwa mbaya...
Baada ya kupiganwa vita kwa namna ambayo ilifanya vifo kutokana na njaa na magonjwa kutoepukika, mkuu wa Saudia anapaswa kuhukumiwa kwa uhalifu wa njaa.
(Mohammed Bin Salman)
Kuna njaa ya...
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Buniani, Papa Francis, amesema mapenzi ya jinsia moja kwa makasisi ni tatizo kubwa na ambalo linampa hofu.
Kiongozi huyo ametoa kauli hiyo katika mahojiano na...
Nilifikiri chuki za kisiasa huwa ni hapa africa tu lakini jana katika ibada ya mazishi ya Rais Mstaafu wa Marekani George Bush Senior baada ya Rais Donald Trump kuwasili aliweza kusalimiana na...