International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

MOSCOW: Rais wa Urusi, Vladimir Putin amekuwa mara kwa mara akitamba kuhusu silaha zake mpya za 'Hypersonic' zinazodaiwa kwenda kwa kasi ya mara 20 zaidi ya kasi ya sauti. Mara kwa mara Rais Putin...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Wafanyakazi wa viwanja vya ndege nchini Ujerumani kugoma Kutokana na mgomo uliopangwa kufanyika hapo kesho katika viwanja vya vya ndege mjini Berlin baadhi ya safari zitacheleweshwa na zingine...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Takribani watu 30 wamefariki baada ya machimbo ya dhahabu yaliyopo Kohistan mkoani Badakhshan, Kaskazini Mashariki mwa Afghanistan kuporomoka Wanakijiji wanaripotiwa kuwa walikuwa wanatumia gari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ilhan Omar ni mwanamke wa kwanza wa Kisomali, Muislam anevaa hijab katika ndani ya Senate ya Marekani. Hongera Ilhan, hongera Afrika, hongera Somalia, hongera Waislam wote duniani. Watetezi wa...
12 Reactions
59 Replies
6K Views
Sheria mpya nchini Saudia inawalinda wanawake kutopewa talaka bila kujua. Kuanzia siku ya Jumapili, Mahakama zitatakiwa kuwaelezea wanawake kupitia njia ya ujumbe wa simu kwamba wamepewa talaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Uchunguzi wa unyanyasaji kimapenzi unaendelea ili kubaini inakuwaje mwenamke huyu aliyepo kwenye kituo cha afya cha Hacienda-Phoenix ameweza kupata ujauzito akiwa kwenye hali COMA ---- Mwanamke...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika hali ya kushangaza na inayoonyesha nguvu kubwa ya Marekani kwenye biashara ya kimataifa, serikali ya Marekani kupitia ofisi yake ya hazina imezuia Urusi kuiuzia Iran ndege za Abiria aina ya...
2 Reactions
22 Replies
6K Views
Ujumbe wa US mjini Ankara umewaambia maofisa wa wizara ya ulinzi na mashauri ya kigeni wasitishe makubliano waliyosaini na Putin kuhusu kununua S-400 na badala yake wauziwe mfumo wa Patriots...
7 Reactions
112 Replies
11K Views
Tume ya uchaguzi ya DRCongo imechelewesha kutangaza matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais,huku kukiwa ongezeko la mbinyo kutoka mataifa yenye nguvu na kanisa Katoliki kuheshimu matakwa ya wapiga...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Kiongozi wa Uganda,Jenerali Idd Amin enzi ya utawala wake akiwa amebebwa na wazungu waingereza waliokuwa nchini mwake, akilipiza kisasi cha wakoloni kubebwa na waafrika enzi za ukoloni barani...
20 Reactions
66 Replies
11K Views
Kanisa katoliki DRC limetangaza linamjua mshindi uchaguzi wa rais na kuishauri tume kutangaza matokeo.Tume imehairisha kutangaza matokeo leo jumapili kwa mujibu wa ratiba ya awali. Congo's...
0 Reactions
2 Replies
998 Views
Aliekuwa balozi wa Umoja wa Ulaya mjini Kinshasa Jamhuri ya Congo bwana Bart Ouvry Balozi wa Umoja wa nchi za Ulaya nchini Congo bwana Bart Ouvry, siku ya Alhamisi ilopita alitendewa kitendo cha...
8 Reactions
18 Replies
3K Views
A new picture returned from Nasa's New Horizonsspacecraft shows it to be two objects joined together - to give a look like a "snowman". The US probe's images acquired as it approached Ultima...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
1. Shanghai Maglev (427.2km/hr) Hii ndo treni inayoongoza kwa spidi kuwa duniani na Imetengenezwa nchini China. Shanghai Maglev inasafifi umbali wa kilometa 30.4 kutoka uwanja wa kimataifa wa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Rais Trup atoa maoni yake kutokana na kushuka kwa hisa za Kampuni ya Apple kwa kuitaka iache kutengeneza simu hizo nchini China Trump alisema kuwa ameongea na mmoja wa Wakurugenzi wa Apple, Tim...
3 Reactions
21 Replies
6K Views
Arrogant powers can never stop Iran support for Palestine: Ayat. Khamenei Home / Iran / Politics Leader of Islamic Revolution Ayatollah Seyyed Ali Khamenei talks to Secretary General of the...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wasiwasi umetanda mjini Kinshasha wakati watu wakisubiri kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi. Baadhi ya wananchi wanahofia kuzuka ghasia katika nchi hiyo anasema mwandishi wa DW Jonas Gerding...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Rais Donald Trump Kupeleka wanajeshi wa Marekani nchini Congo kwa ajili ya kusaidia Ulinzi wa Wamarekani nchini humo, ikiwa kutatokea machafuko kutokana na shughuli za Uchaguzi. Kwa sasa, kuna...
1 Reactions
77 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu... Kwanza nijitambulishe mi ni mgeni JF.. Naombeni mnipokee na kunipa ushirikiano .. Napenda siasa na kujifunza mambo mbalimbali... Turudi kwenye mada.. Nimekuwa nikifatilia...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Girl, 13, arrested during yellow vest pro-Brexit march in London
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…