International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kweli duniani kuna mambo! Wajerumani wanaojisifia na barabara zinazoruhusu spidi yoyote uwezayo kukamua toka kwenye gari yako, sasa wameijia juu serikali kwa kutaka kuweka max speed limit ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Uamuzi huo umechukuliwa katika mkutano wa Tume ya Uchaguzi CENI Jumatatu wiki hii. Uchaguzi Mkuu haukuweza kufanyika katika maeneo hayo Desemba 30, 2018. Sababu ya kuahirishwa kwa uchaguzi huo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watu Tisa wamekufa nchini Marekani kutokana na baridi kali ambayo imelikumba eneo la nchi za Amerika ya Kaskazini, baridi ambayo inasemekana ni mbaya kutokea katika eneo hilo katika kipindi cha...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Kijiji cha Locana nchini Italy kimetangaza ofa ya €9,000 (Tsh.23Mil) kwa mtu aliye tayari kuhamia kijijini hapo Kijiji cha Locana kipo umbali wa takribani 45km kutokea mji wa Turin Meya wa...
2 Reactions
63 Replies
9K Views
Ndege ndogo ya abiria imeanguka katika makazi ya watu kwenye jimbo la California nchini Marekani na kusababisha vifo vya watu watano akiwemo rubani wa ndege hiyo. Watu walioshuhudia ajali hiyo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Man accused of calling 911 hundreds of times
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waziri mkuu wa Izrael atangaza kwamba ujenzi wa ukuta wa chuma umeanza katika mpaka wa Gaza Ukuta wa chuma waanza kujengwa mpaka wa Gaza Israel yaanza kujenga ukuta wa chuma katika mpaka wa Gaza...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Seif al-Islam Gaddafi ajiandikisha kugombea urais nchini Libya Mkuu wa Mipango ya Mwana wa Kanali Muammar Gaddafi, yaani Seif al-Islam Gaddafi ametangaza kuwa, mwana huyo wa kiongozi wa zamani wa...
10 Reactions
61 Replies
10K Views
Thousands of passengers have been left stranded after air regulators grounded Turkmenistan Airlines for safety reasons. The UK's Civil Aviation Authority said flights from Birmingham and London's...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo February 4 2019 kikosi maalum cha uokoaji kimesema ndege ndogo aliyokuwa amepanda mshambuliaji mpya wa Cardiff City Emiliano Sala akiwa na rubani wake David Ibbotson imeonekana ndani ya...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Binti mmoja raia wa Saudi Arabia, Rahaf Mohammed, miaka 18 amewekwa kizuizini uwanja wa ndege wa Bangkok Thailand alipojaribu kuikimbia familia yake na mateso nchini Saudi Arabia. Kwa maelezo yake...
16 Reactions
230 Replies
23K Views
Serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati imefikia makubaliano ya amani katika mazungumzo yaliyofanyika mji mkuu wa Sudan, Khartoum na makundi 14 ya wapiganaji. Tangazo hilo ni hatua muhimu kuelekea...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Urusi inakabiliwa na matarajio ya kuwekewa vikwazo vikali zaidi ifikapo Januari 2019 wakati Baraza la Congress la Marekani linapotarajiwa kujadili mfuko mpya wa adhabu Kutokana na hatua hiyo...
3 Reactions
113 Replies
13K Views
Mbegu ambazo zimepelekwa mwezini na chombo cha utafiti wa anga za juu cha Chang'e-4 zimechipua, mamlaka jijini Beijing zimethibitisha. Hii ni mara ya kwanza kwa mmea wa kibaolojia kuchipuwa...
6 Reactions
43 Replies
9K Views
Mwanaume mmoja anashikiliwa na vyombo vya dola baada ya kukutwa akisafiri na maiti ya Mtoto kwenye Treni Bwana James Majawa mwenye umri wa miaka 28 alikuwa akisafiri kutoka Limbe kwenda Nayuchi...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Mwanamke mmoja katika jiji la London ametiwa nguvuni kwa kosa la kutaka kumkeketa mtoto wake mwenye umri wa miaka 3. Mwanamke huyo mwenye asili la ya Kiganda(jina linahifadhiwa kwa sababu ya...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani Mike Pompeo amesema Marekani itajitoa kwenye mkataba huo Februari 2, akiongeza kuwa ikiwa Urusi haitarudi katika njia ya kuheshimu utekelezwaji wa...
2 Reactions
40 Replies
5K Views
SERIKALI ya hapa imejiondoa katika mkataba wa kupinga uundaji wa makombora ya masafa marefu uliyofikiwa enzi ya vita baridi kufutia uamuzi uliochukuliwa na Marekani. Marekani ambayo kwa muda...
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Marekani demokrasia ndani ,nje dikteta, Ndani kwake anajiita ana demokrasia,lakini kimataifa ni dikteta. Maduro muda wake wa kuondoka umefika,na lazima ataondoka,asipoondoka Mungu mkubwa...
9 Reactions
62 Replies
7K Views
Tuhuma za mapadri na makasisi kubaka, kulawiti, kuwachezea nyeti zao na kuwadhalilisha watoto kingono bado inaendelea kuliandama kanisa katoliki, sasa ni huko Texas, Marekani. Mapadri 280...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…