International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

JULIANA Rios Cantu mwenye umri wa miaka 18 raia wa nchini Mexico, amevumbua sidiria inayoweza kugundua saratani ya matiti. Kwa mujibu wa mtandao wa BBC, Juliana ametengeneza sidiria hiyo akisema...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Tovuti ya Kiswahili ya Serikali ya Misri imezinduliwa leo rasmi Misri na Afrika
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Serikali ya Urusi chini ya Rais Vladimir Putin inajipanga kuzima mtandao wa intaneti kwa muda, na hivyo kujitoa kwenye mawasiliano na dunia kama sehemu ya majaribio yake ya kujikinga dhidi ya...
5 Reactions
28 Replies
5K Views
Raia zaidi ya 13,000 wayahama makazi yao nchini Sudan Raia zaidi ya 13,000 wameyahama makazi yao kutokana na mapigano ya hivi karibuni Sudan Kusini. Ripoti hiyo imetolewa na Shirika la Umoja wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hatimae mahakama IMEMKUTA na hatia Drug dealer mkubwa, aliwasumbua Sana Sana wamarekani. Sent using Jamii Forums mobile app BBC News | El Chapo trial: Mexican drug lord Joaquín Guzmán found...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mafuta hayajawahi kuiacha nchi salama, Marekanj yuko katika kuiundia Venezuela zengwe ili aivamie kama alivyofanya Iraq kwa kumpakazia Saddam ana silaha za maangamizi, na Gadaffi walimpakazia nini...
8 Reactions
39 Replies
5K Views
Wakati Iran ikipokea Vitisho kutoka kwa Israel Ndani na Nje, Imepatwa na Tukio baya zaidi kwa kupoteza wanajeshi wake zaidi ya 40 kwa kulipuliwa bus lililokuwa likiwarejesha wanajeshi majumbani...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Philippines President Rodrigo Duterte has proposed changing his country’s name to Maharlika in an effort to move past its colonial history. Mr Duterte’s call echoes a push by the late dictator...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mtandao maarufu wa mambo ya kijeshi na ambao umekua kama chanzo kikuu cha habari za kijeshi duniani imezitaja nchi zenye nguvu za kijeshi zaidi duniani huku Marekani ikiwa namba moja, urusi namba...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Kundi hilo likiwa limevalia mavazi ya rangi nyeusi lilifanya ibada yenye lengo la kumuombea ulinzi Rais Putin Mmoja waonalisema wao wanaamini Rais huyo akiongoza vyema basi pia Dunia itakuwa...
2 Reactions
50 Replies
15K Views
Bill Gates says he’s fine with the idea of higher taxes for the rich, but plans like the one being championed by Alexandria Ocasio-Cortez, which target the top income brackets, are too extreme—and...
0 Reactions
0 Replies
835 Views
Wamarekani wanahitaji kujua historia ya ahadi waliyoivunja ambayo imepelekea Urusi kuzungukwa. Wakati wa kuunganishwa kwa Ujerumani mwaka wa 1990, Marekani ilitoa "dhamana ya kifuniko" ambacho...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
By Nancy Benac, Associated Press WASHINGTON — Forty percent of Americans have never lived when there wasn't a Bush or a Clinton in the White House. With Hillary Rodham Clinton hoping to...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Muungano wa Afrika(AU), wazindua sanamu ya aliyekuwa Mfalme wa Ethiopia, Haile Selassie I lililopo Makao Makuu ya Umoja huo, Addis Ababa nchini Ethiopia Hilo limefanyika kama ishara ya kutambua...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Jela miaka 20 kwa kuua mumewe na kutia mwili kwa mitungi ya maji MASHIRIKA Na PETER MBURU MWANAMKE ambaye alimuua mumewe kisha akamkatakata na kuweka sehemu za mwili wake ndani ya mitungi ya maji...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Mahakama ya juu kabisaa nchini Comoro imewatangaza wagombea 13 watakaowania uchaguzi wa Rais mwezi Machi, na kuwazuwia wapinzani wakuu wa Rais Azali Assoumani. Wagombea 19 walijiandikisha kwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Rais wa Misri, Abdel Fattah al-Sisi achaguliwa kuwa Mwenyekitiwa wa Umoja wa nchi huru za Afrika(AU) Wakati akiuhutubia umoja huo nchini Ethiopia, Abdel Fattah al-Sisi amesema kuwa atajikita...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Maelfu ya raia wa Italia wameandamana katika mitaa mbalimbali ya mji wa Roma kupinga sera za kiuchumi za serikali ya nchi hiyo. Waandamanaji hao wamedai kuwa serikali ya nchi hiyo iliyoingia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Venezuela limetangaza kutoyakubali matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi wa Rais Maduro's. Marekani, Canada na nchi kadhaa za Ulaya na MAerika ya Kusini nazo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Rais wa Algeria (81) asema atagombea muhula wa tano wa urais Feb 11, 2019 07:51 UTC Rais Abdulaziz Bouteflika wa Algeria ametangaza kuwa atagombea muhula wa tano wa kiti cha rais, katika uchaguzi...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…