AU wazindua sanamu la Mfalme wa Ethiopia

miss zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
2,921
2,000
Muungano wa Afrika(AU), wazindua sanamu ya aliyekuwa Mfalme wa Ethiopia, Haile Selassie I lililopo Makao Makuu ya Umoja huo, Addis Ababa nchini Ethiopia

Hilo limefanyika kama ishara ya kutambua juhudi za shujaa huyo katika ukombozi na Umoja wa bara la Afrika na hatimaye kuundwa kwa muungano wa Afrika mwaka wa 1963
....................

Statue of Ethiopia's last emperor has been unveiled outside the African Union's headquarters in Addis Ababa, Ethiopia.

The likeness of Haile Selassie is being given pride of place outside the $200m (£154m) building in recognition for his role in establishing its predecessor, the Organization of African Unity (OAU).

But that might not be the first thing that springs to mind on hearing the name Haile Selassie. The name is perhaps more easily connected with Jamaican singer Bob Marley and Rastafarians.


BBC
 

Vangigula

JF-Expert Member
Aug 13, 2015
458
1,000
Wamechukua Sana. Haile Selassie ni mwanadamu aliyepewa vyeo vingi vya heshima kuliko kiumbe chochote kilichowahi kukanyaga ardhi ya dunia. Nchi nyingi Sana (kuanzia America, Afrika, Ulaya na chache za Asia) zilimtunuku huyu jamaa mavyeo ya heshima. Title yake kiofisi ( kama Sisi tunavyosema 'mheshimiwa rais' ilikuwa ni 'By the Conquering Lion of the Tribe of Judah, His Imperial Majesty Haile Selassie I, King of Kings of Ethiopia, Elect of God"
 

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
12,550
2,000
"By the Conquering Lion of the Tribe of Judah, His Imperial Majesty Haile Selassie I, King of Kings of Ethiopia, Elect of God";

Duh! Nadhani hii ndio title ya juu kabisa kwa mwanadamu wa kawaida kuwahi kutunukiwa. Ingewezekana, nahisi alitamani kutunukiwa MUNGU PAMOJA NASI au MWANA WA MUNGU lakini ndio hivyo haikuwezekana maana mifupa yake i kaburini hadi leo!
 

TsafuRD

JF-Expert Member
Sep 29, 2013
1,853
2,000
Mandela hakuwa na Mchango wowote kwa Afrika. Mchango ni kwa wazungukwa kuwasamehe na kuwaachia rasilimali waendelee kuzitumia. Anafaa kukumbukwa huko Ulaya na Amerika.
 

TsafuRD

JF-Expert Member
Sep 29, 2013
1,853
2,000
Miamba wa Afrika ni akina Haile Selassie, Nyerere na Nkurumah. Gadafi pia pamoja na madhaifu kama binadamu ni miongoni mwa Miamba wa Afrika. But Madiba hapana.
 

IGWE

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
9,206
2,000
ya Madiba iwekwe pale kwa lipi alilofanya kwa ajili ya Africa?labda lingefaa liwekwe London,Amsterdam na New york.nitajie mchango wake ili awekwe level moja na kwame,kambarage, keneth na haile selasie
Hata mm huwaga sielewagi huyo Mandela ameifanyia nini Africa mpaka watu wanamsifia hivyo mkuu.
....watu wanamu_overrate Mandela

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom