Umeme warejea Venezuela

Umeme warejea Venezuela

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,618
Reaction score
9,611

Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametangaza kuwa tatizo la kukatika kwa umeme lililokuwa linalikabili Taifa hilo limekwisha na maisha yanaendelea kama kawaida.

Nchi hiyo imejikuta katika mgogoro mkubwa wa kisiasa baada ya wanasiasa wawili nchini humo kuanza kugombea madaraka.

Maduro amesema kuwa Marekani na kiongozi wa upinzani nchini humo Juan Guido aliyejitangaza kuwa Rais wa serikali ya mpito, wameshindwa katika jaribio la kupindua serikali yake baada ya kukata umeme nchi nzima.

Huduma mbalimbali zilizokuwa zikitegemea umeme nchini Venezuela zililazimika kusimama kwa muda wa siku kadhaa ikiwemo huduma ya interneti kwa baadhi ya maeneo.

Nchi za Magharibi ikiwemo Marekani zimemtambua Guido kuwa Rais wa serikali ya mpito ya Venezuela na kumshinikiza Maduro kuachia madaraka, jambo ambalo kiongozi huyo analiita kuwa ni mapinduzi dhidi ya serikali yake.
Nchi za China na Russia pamoja na baadhi ya nchi za Amerika ya Kusini zinamuunga mkono Maduro.

Nchi za China na Russia pamoja na baadhi ya nchi za Amerika ya Kusini zinamuunga mkono Maduro.

TBC
 
Hiv tatzo hasa la venezuela ni nn? Nn hasa chanzo? Kwa nn hawamtaki(usa)rais aliko madarakani? Na je kwa nn pia pamoja na jitihada zote za marekani na washirka wake wqmeshindwa kumung,oa rais madulu?

Mwenye kujua plz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fafanua mkuu,

Sent using Jamii Forums mobile app
huwa Wana kauli mbiu yao inasema hivi
"In God We Trust"
hahaha kwa akili za haraka UNAWEZA kusema "Kwa Mungu Tunaamini"

lakini wenzako Wana maana kuwa
"In Godl (G) Oil (O) Diamond (D) We Trust"

Kwa maana Nyingine ili kuendesha uchumi wao wa ki bepari wana amini/wamewekeza katika
Dhahabu,mafuta na almasi
Fuatilia migogoro mikubwa ya USA katika mataifa ya nje
huwa Ni kutokana na migongano ya Aina hiyo
Libya walimnyofoa Gadafi kisa Mafuta (Oil)

Mgogoro wa Venezuela Ni kisa Mafuta (Oil).

Invection ya mataifa ya uarabuni Ni kisa Mafuta (Oil)

Huku nchi za ki Africa wamepiga kambi kwenye
Gold and Diamond rejea inshu za
Black diamond
Williamson Mining
Ophrein family (Not sure)

Na jinsi Congo inavyolika kwa Sana

Majuzi Kati naona Pombe alitaka kulikoroga kwenye Makinikia now c umeona inshu ime vungwa?!?!?!!!!

hahahahaha

Gud asante kwa ufafanuz, sasa hw haikutokea toka mwazo iwe sasa, maana maduro hii ni awam yake nafikr ya pili, means kwamba ameenda kinyume cha makubaliano?

Isue za oil,na gold zinajulikana, ila kwa nn iwe kwa maduro, na je kwa nn kashinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisikia kuwa kuna mafuta,Basi mzozo kama huo haushangazi.....Unapata jibu kuwa tatizo siyo kiongozi tatizo ni rasilimali zilizopo
 
Gud asante kwa ufafanuz, sasa hw haikutokea toka mwazo iwe sasa, maana maduro hii ni awam yake nafikr ya pili, means kwamba ameenda kinyume cha makubaliano?

Isue za oil,na gold zinajulikana, ila kwa nn iwe kwa maduro, na je kwa nn kashinda

Sent using Jamii Forums mobile app
Fuatilia kilichomuua Hugo chaves.
Maduro Amegoma Kutumika,Tangu mwanzo aliendeleza aliyoacha Mr Chaves na ndiyo manaa ngoma ikawa nzito kwake!

Hawa mabeberu wana tabia ya kukubembelezea,naona Mwanzoni maduro alikaza

Lakini kwa sekeseke la Juzi,
Lazima atakuwa ka surrender

Tumpe muda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi niko upande wa Hugo Chavez! Mabeberu sio watu wazuri, wanaweza kukupaka kinyesi ukawanukia watu wako na ukaonekana kero, kumbe shida ni mabeberu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom