International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wananchi wa Palestina, unaweza kusema, ni watu wenye bahati mbaya sana, na kwamba kwao kitu amani, ni jambo litaendelea kuwa gumu kwao. Wapalestina maelfu wasiokuwa na hatia wameuawa, kutiwa...
2 Reactions
4 Replies
358 Views
Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina, ameondolewa madarakani kupitia kura ya bunge iliyopitishwa kwa kishindo. Katika kura hizo, wabunge 130 waliunga mkono hoja ya kumng’atua, huku kura moja ikiwa...
1 Reactions
2 Replies
225 Views
Cape Town, South Africa Mheshimiwa Balozi Nathi Mthethwa alipatikana amefariki nje ya Hoteli ya Paris mnamo Jumanne, 30 Septemba. (Picha: Picha za Gallo / Foto24 / Craig Nieuwenhuizen) Wenzake...
4 Reactions
13 Replies
596 Views
Shirika la Habari la BBC imeripoti kuwa Mateka saba wa kwanza wa Israel walioshikiliwa na Kundi la Hamas huko Gaza wameachiliwa leo na wako chini ya uangalizi wa Shirika la Msalaba Mwekundu...
1 Reactions
1 Replies
239 Views
Kwa aliyefuatilia mkutano juu ya amani ya Gaza na Mashariki ya kati huko Sharm el Sheikh Misri, zaidi ya mwarabu mwenzao dikteta wa misri, hakuna muafrika hata mmoja aliyekaribishwa wala...
12 Reactions
39 Replies
1K Views
Yasser Abu Shabab, kiongozi wa mmoja wa wanamgambo 3 wakuu wa waasi wanaopinga Hamas huko Gaza, na mwakilishi wake anayehusika na vikosi vya wanamgambo wanatangaza "biashara kama kawaida"...
1 Reactions
5 Replies
340 Views
Serikali ya Mali imetangaza kuwa raia wa Marekani watakaotembelea nchi hiyo ya Afrika Magharibi kwa shughuli za biashara au utalii watalazimika kuweka bondi ya hadi dola 10,000 (sawa na takribani...
5 Reactions
9 Replies
454 Views
Leo Oktoba 14, 2025 ni kumbukumbu ya miaka 26 tangu kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Alizaliwa Aprili 13, 1922 na alifariki dunia Oktoba 14, 1999. Alisoma katika Chuo cha Makerere mjini...
1 Reactions
3 Replies
515 Views
Oktoba 12, 2025 Wananchi wa Cameroon walishiriki zoezi la kupiga kura kumchagua Rais atakayeshika Madaraka kwa Muda wa Miaka saba kama ilivyo katiba ya nchi hiyo Uchaguzi huu umekuwa na vuguvugu...
2 Reactions
1 Replies
202 Views
Oktoba 12, 2025 Ikulu ya Madagascar ilitoa taarifa kuwa “jaribio haramu la kutumia nguvu kuchukua madaraka” linaendelea nchini humo, siku moja baada ya baadhi ya wanajeshi kujiunga na vuguvugu la...
3 Reactions
5 Replies
323 Views
Rais Andry Rajoelina anayekabiliwa na upinzani mkali nchini Madagascar ametangaza kulivunja Bunge la Taifa mara moja Hatua hiyo imekuja muda mfupi baada ya upinzani kutangaza kuwa utaanzisha...
5 Reactions
16 Replies
911 Views
Kwa wale GEN Z ambao hawajawahi kupata historia vizuri ni kwamba Rais wa Madagascar wa sasa alianza Urais wake kwa njia ya maandamano kwa kumtoa Richard Ravalomanana yaani kwa ufupi Andry...
0 Reactions
3 Replies
129 Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametua nchini Israel kupitia uwanja wa ndege wa Ben Gurion, ambapo amepokewa na Rais wa Israel, Isaac Herzog, pamoja na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu. Trump...
2 Reactions
3 Replies
300 Views
BREAKING NEWS: Jeshi la Madagascar limetangaza mapinduzi na limesimamisha katiba na kumwondoa madarakani Rais Andry Rajoelina kufuatia maandamano yaliyokuwa yakiendelea. Kitengo maalumu cha...
27 Reactions
77 Replies
3K Views
Raia wa Cameroon walipiga kura Jumapili, Oktoba 12, 2025, katika uchaguzi unaotarajiwa kumrejesha madarakani Rais Paul Biya, mwenye miaka 92, ambaye ameiongoza nchi hiyo kwa zaidi ya miongo minne...
0 Reactions
1 Replies
210 Views
Zoezi la kuhesabu kura linaendelea nchini Cameroon kufuatia uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 12, 2025, ambapo Rais aliyepo madarakani, Paul Biya, anatafuta kuendelea kushikilia madaraka baada...
0 Reactions
6 Replies
251 Views
Jean Bertrand M mwanaharakati anayejitokeza wazi nchini Cameroon, ametuma ujumbe mkali kwa Waziri wa Utawala wa Ndani, Paul Atanga Nji, akitangaza kwa ujasiri kuwa Rais Paul Biya “ameanguka” na...
0 Reactions
1 Replies
194 Views
Rais wa Marekani Donald Trump amesema “vita imekwisha” wakati akisafiri kuelekea Israel kwa ajili ya kuachiwa kwa mateka kutoka Gaza chini ya makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na...
2 Reactions
12 Replies
549 Views
Nchini Albania katika Mji wa Trianna Jaji Astrit Kalaja ameuawa kwa risasi baada ya mtuhumiwa katika kesi aliyokuwa akiendesha kufyatua risasi wakati kesi ikiendelea katika 'Mahakama ya Rufaa...
3 Reactions
8 Replies
600 Views
Rais wa 47 wa Taifa la Marekani, Donald John Trump (79) ameeleza mashaka yake ya kuingia mbinguni ambapo amesema hana hakika kama kuna kitu kinachoweza kumfanya aingie mbinguni ila ana uhakika...
7 Reactions
18 Replies
869 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…