International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mambo yamegeuka ghafla!! Muller ametoa ripoti yake iliyomsafisha Trump kuwa hakukuwa na njama zozote kati ya Trump na Urusi ili kuingilia uchaguzi wa Marekati hapo 2016. Kuna uwezekano mkubwa wa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Mgongano Wa Kanisa Na Wanasayansi Zama Za Giza Huko Ulaya Ndio Zao La Itikadi Ya Kutenganishwa Dini Na Serikali Zama Hizi on March 16, 2019 Hali ya kutisha iliyoondoa mahusiano yote kati ya Dini...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Kwa muda wa takriban miezi mitatu sasa, Jaji Mkuu wa Nigeria Walter Onnoghen alikuwa akishutumiwa kwa madai ya kushindwa kuweka wazi kiasi cha mali aliyokuwa nayo kabla yakuchukuwa madaraka kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The UN is a Criminal Thief with a Humanitarian Cover The United Nations has raised about $2.6 billion from international donors from 16 countries around the world to ensure the continuation and...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
CIA Issues Posthumous Apology After New Evidence Clears Osama Bin Laden Of Involvement In 9/11 Attacks LANGLEY, VA—Admitting that the organization had erroneously rushed to judgment in response...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
THE JERUSALEM POST MARCH 21, 2019 US President Donald Trump announced Thursday that After 52 years, it is time for the United States to fully recognize Israel’s Sovereignty over the Golan...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Watumiaji wa mtandao wa Kijamii wa Twitter wameanzisha kampeni ya kuhimiza kuachilowa kwa Watoto walishikiliwa nchini Burundi kwa kuichora vibaya picha ya Rais Pierre Nkurunziza Picha za kiongozi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Rais Ibrahim Boubacar Keita wa Mali amemfukuza kazi Mkuu wa Majeshi wa nchi hiyo, ikiwa ni siku moja tu baada ya kutokea kwa mauaji ya watu 134, ambao ni wafugaji katika kijiji cha Fulani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na mgeni akiwa na mgeni wake Rais Emanuel Macron wa Ufarasa wamezindua gari aina ya Peugeot 3008 lililloundwa nchini Kenya na kampuni ya kifaransa ya French Vehicle...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kachero mstaafu wa shirika la ujasusi la Uingereza M15 Mr John Hopkins ambaye yupo hospital akiwa amebakiza muda mchache wa kuishi kwa maradhi yanayomkabili amesema yeye ni miongoni mwa maofisa wa...
6 Reactions
125 Replies
31K Views
1. Doctor 2. Lawyer 3. Engineer 4. Head Teacher 5. POLICE 6. Nurse 7. Accountant 8. Local Government Manager 9. Management Consultant 10. Secondary School Teacher (Varkey Foundation) Nawaza tu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Zaidi ya walimu 10,000 wameshiriki maandamano mapya leo nchini Morocco wakitaka kuboreshwa ya hali na mazingira ya kazi. Maelfu ya walimu hao wanaotaka ajira ya kudumu ambao wengi ni vijana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Daraja la Overtoun lililopo Dumbarton nchini Scotland, limeweka rekodi ya ajabu kwa maelfu ya mbwa kujirusha mpaka chini, umbali wa mita 50 na kudondokea kwenye mawe na kufa papo hapo. Awali...
8 Reactions
9 Replies
4K Views
Mwalimu wa hesabu na fizikia kutoka shule moja ya sekondari katika kijiji kinachopatikana eneo la bonde la ufa nchini Kenya, ameshinda tuzo ya mwalimu bora mwaka 2019 ulimwenguni. Peter Tabishi...
3 Reactions
10 Replies
4K Views
Mueller amefunga ofisi ,report ya russia ipo kwa attorney general .Mueller amesema hakuna mwingine atakaeshitakiwa .No Russia collusion ,Trump alishinda urais na hakusaidiwa
2 Reactions
65 Replies
6K Views
https://graphics.reuters.com/USA-TRUMP/0100916Z1PE/March222019Letter_MuellerInvestigation.pdf
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Bwawa hili Linaitwa 'The Jacuzzi Of Death' na Hakuna yeyote Anaefahamu Lina Kina Kirefu Kiasi Gani. Lipo Katika Ghuba ya Mexico Katikati ya Bahari ya Atlantic (Chini ya Bahari), Ni Mpakani Kabisa...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Wanamgambo wa Al-Shabaab wavamia jengo la Serikali Jijini Mogadishu na kuua watu takribani 11 akiwemo naibu waziri wa ajira. Shambulio hilo la risasi lilitokea muda mfupi baada ya shambulio la...
0 Reactions
62 Replies
7K Views
Rais wa zamani wa Brazili Michel Temer yuko huru tangu Jumatatu usiku. Aliachiliwa huru kutoka kituo cha Polisi cha Rio de Janeiro ambako alikuwa kizuizini tangu kukamatwa kwake Alhamisi wiki...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Vyombo vya habari nchini Uingereza vinaripoti kuwa baraza la Theresa May linakataa kuunga mkono uongozi wake na linamtaka aachie madaraka. Kiongozi wa muda atateuliwa kusimamia majadiliano ya...
2 Reactions
1 Replies
853 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…