Kampeni ya kushinikiza kuachiliwa kwa Watoto wanaoshikiliwa kisa picha ya Rais Nkurunziza yaanzishwa

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Watumiaji wa mtandao wa Kijamii wa Twitter wameanzisha kampeni ya kuhimiza kuachilowa kwa Watoto walishikiliwa nchini Burundi kwa kuichora vibaya picha ya Rais Pierre Nkurunziza

Picha za kiongozi huyo zilizochorwa vibaya vimekuwa zikisambazwa kwenye mtandao huo zikiwa na hashtag ya kutaka watoto hao waachiwe huru #FreeOurGirls

IMG-20190325-WA0015.jpg


Watoto hao walifunguliwa mashtaka wiki iliyopita na kuishusha hadhi picha ya Rais na wanaweza kufungwa kifungo cha hadi miaka mitano

Watoto hao wa miaka 15, 16 na 17 walikamatwa wiki mbili zilizopita baada ya kuichora vibaya picha ya Rais kwenye daftari hata hvyo watoto wengine wanne waliokamatwa nao waliachiwa huru

IMG-20190325-WA0014.jpg

========


Twitter users have rallied to the cause of three schoolgirls arrested for defacing photos of Burundian President Pierre Nkurunziza by following their example.

Crudely doctored images of the leader are being circulated online under the hashtag, #FreeOurGirls.

IMG-20190325-WA0013.jpg


The girls were charged last week with insulting the head of state and could spend up to five years in prison.

Burundian authorities are routinely accused of cracking down on human rights and dissent.

The schoolgirls, aged 15,16 and 17, were arrested two weeks ago after the president's image was defaced in textbooks. Four other students arrested with them were later released.

IMG-20190325-WA0017.jpg


The father of one of the detained girls told campaign group Human Rights Watch that they were too scared to eat.

HRW has urged the government to release the schoolgirls and concentrate on curbing abuses by the security forces.

"Authorities should focus on holding perpetrators of serious rights violations to account instead of jailing schoolchildren for doodles, the group's Central Africa director, Lewis Mudge, said.

IMG-20190325-WA0016.jpg


In a similar case in 2016, several schoolchildren were imprisoned and hundreds expelled for scribbling on images of the president's face.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hali kama hiyo watoto ndio watajenga chuki zaidi kwa huyo raisi,

unaweza kuta mwanzo walichora out of boredom, hiyo hata kwa watu wazima inatukuta.
 
Back
Top Bottom