Al Shabaab wavamia jengo la Serikali na kuua takribani 11 akiwemo Naibu Waziri

NyotaMalaika

Senior Member
Aug 6, 2012
167
77
Wanamgambo wa Al-Shabaab wavamia jengo la Serikali Jijini Mogadishu na kuua watu takribani 11 akiwemo naibu waziri wa ajira.

Shambulio hilo la risasi lilitokea muda mfupi baada ya shambulio la kujitoa mhanga kwenye gari lililotokea karibu na jengo hilo.

Al-Shabaab wamekiri kuhusika na shambulio hilo lililojeruhi wengine takribani 10. Tukio hilo limetokea karibu sana na Makao Makuu ya Intelijensia ya nchi hiyo.

Shambulio kama hili lilifanyika mwishoni mwa Februari na kuua takribani watu 24 ambapo kabla ya hapo kulikuwa na milipuko miwili ya kujitoa mhanga.

Al Shabaab ndicho kikundi hai zaidi cha wanamgambo wenye lengo la kuitoa Serikali ya Somalia inayopewa nguvu na mataifa ya Magharibi.

==========

Gunmen stormed a government building in Somalia's capital after a suicide car bombing on Saturday, killing at least 15 people including the country's deputy labour minister, police said, in the latest attack by Al Shabab militants in the Horn of Africa nation.

Capt. Mohamed Hussein said the minister, Saqar Ibrahim Abdalla, was killed in his ground-floor office shortly after gunmen stormed the building in Mogadishu.

Somali security forces exchanged fire with at least five militants who stormed the government facility.

Al Shabab claimed responsibility for the attack that left at least 10 other people wounded. The site is not far from the headquarters of the Somali intelligence agency.

A similar attack targeting a busy area in Mogadishu at the end of February killed at least 24 people.

That attack also began with a pair of car bombs exploding in a popular area of Mogadishu where Somalis were relaxing at restaurants.

Africa's most active militant group

The al-Qaida-linked Al Shabab frequently carries out suicide bombings targeting public places and government offices. Hotels and restaurants are also attacked.

Al Shabab, Africa's most active militant group, has been fighting for years to oust the Western-backed Somali government.

The group continues to mount lethal attacks despite being pushed out of Mogadishu. It mostly operates from rural areas in the country's south.

African Union peacekeepers stationed in Mogadishu and elsewhere in the country have helped Somali forces to keep Al Shabab fighters at bay.

The US military has carried out a number of deadly air strikes in recent months against the militants.
 
Charity starts at home, Ponda's home is in Africa. Hata mimi nahitaji , siyo nahitaji , I demand Sheikh Ponda Issa Ponda atoe tamko . Kila siku ni matamko kuhusu mauaji ya wapalestina , Wasiria na sasa Christchurch Newzealand . Hatusikii mauaji yanayofanywa na Alshabab na Bokoharam . It is high time tumsikilize akilaani mauaji hayo
Wewe ulilaani Shambulio la Newzealand?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Charity starts at home, Ponda's home is in Africa. Hata mimi nahitaji , siyo nahitaji , I demand Sheikh Ponda Issa Ponda atoe tamko . Kila siku ni matamko kuhusu mauaji ya wapalestina , Wasiria na sasa Christchurch Newzealand . Hatusikii mauaji yanayofanywa na Alshabab na Bokoharam . It is high time tumsikilize akilaani mauaji hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Ponda tu, Hata Bakwata nadhani walitoa tamko lao,

Pia kuna media fulani za Kiislam na mitandaoni walikuwa wakikomalia sana hili jambo

Al Jazeera nayo ilikomalia hili shambulizi kwa zaidi ya Wiki

Sasa tuone, je hao Waislam wenzao waliouawa hapo Somalia hawana thamani kama waliouawa New Zealand?

Sasa kuna Waislam mtandaoni walikuwa wakishangilia Al Shabab walipofanya shambulio Kenya kisa waliouawa eti ni Wakristo, hapa watashangilia tena?
 
Again, huu ndio ugaidi tunaoufahamu na sio ule uhalifu wa New Zealand. Sifa namba moja ya gaidi halisi ni lazima awe mzamivu wa dini kwelikweli na hufanya ugaidi kwa niaba ya au kumtetea mungu wake akiwaona wengine wote walio kinyume naye ni makafir tu. Huo ndio ugaidi.

So, in summary, ugaidi una "keywords" 3 - dini, mungu, kafir.
 
Sio Ponda tu, Hata Bakwata nadhani walitoa tamko lao,

Pia kuna media fulani za Kiislam na mitandaoni walikuwa wakikomalia sana hili jambo

Al Jazeera nayo ilikomalia hili shambulizi kwa zaidi ya Wiki

Sasa tuone, je hao Waislam wenzao waliouawa hapo Somalia hawana thamani kama waliouawa New Zealand?

Sasa kuna Waislam mtandaoni walikuwa wakishangilia Al Shabab walipofanya shambulio Kenya kisa waliouawa eti ni Wakristo, hapa watashangilia tena?
... unafiki kitu kibaya sana Kiongozi. Sio Somalia tu; hata kule Mali mamia wamechinjwa kama kuku leo hii lakini jamaa kimyaaa! Mali: Wafugaji 134 wauawa, Al-Qaeda wahusishwa - JamiiForums
 
Back
Top Bottom