International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

KWA KIFUPI: Kila mmoja analipwa dola kadhaa kila mwezi. Na nyumba walizopewa zina thamani ya takriban Tshs bilioni 9! ZAIDI SOMA: The children of murdered Saudi journalist Jamal Khashoggi have...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Mahakama ya Rufaa nchini Chad imetupilia mbali ombi la Wanasheria la kutaka tamko la kulazimisha Serikali kuruhusu wananchi kutumia mitandao ya kijamii Tangu Machi 2018, Wananchi wa Chad...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
China: Tutaondoa matatizo ya kukatwa mtandao wa umeme nchini Venezuela Mar 14, 2019 02:30 UTC Serikali ya China imesema kuwa, ipo tayari kusaidia kuondoa mtatizo ya kukatwa mtandao wa umeme nchini...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Serikali ya Venezuela imetangaza kupunguza masaa ya kufanya kazi na kuzifunga shule kutokana na tatizo kubwa la kukatika kwa umeme. Hatua hiyo imefikiwa huku rais Nicolas Maduro akitangaza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 17 wa nchini China ameiuza figo yake ili aweze kununua simu moja ya iPhone na iPad. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na magazeti ya China, kijana huyo...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Kupata report kamili na kilichosemwa kama uchunguzi wa awali haupishani sana na niliyoyasema kwenye uzi wangu huu Ukianza kufanya uchunguz kwa umakini utaona hii ajali inafanana na ile ya...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habar za mudaa huu wakuu, TPA(bandarini) wametangaza ajira nilipenda kujua mshahara Wa kada ya security guard TPAGS 1A in sawa na shingapi?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
‪Ndege ya Shirika la Southwest Boeing 737 MAX 8 imelazimika kutua kwa dharura Florida baada ya kupata tatizo kwenye injini, Ndege hiyo ambayo haikuwa na Abiria ilikuwa ikitoka Orlando kuelekea...
3 Reactions
65 Replies
8K Views
April 3, 2019 East African Federation: A New African Superpower? Within Eastern Africa, a new country might be forming. Or maybe not, things can be pretty volatile here. But yeah, what would it...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
https://www.bbc.co.uk/news/amp/world-africa-47089304
1 Reactions
0 Replies
709 Views
South africa they dont want foreigners in their country. This is why we should all love our countries and welcome no visitor's. Especially from countries which hates foreigners. Yesterday theres...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
The crew of an Ethiopian Airlines plane that crashed last month repeatedly followed procedures recommended by Boeing, but were unable to regain control of the jet, the Ethiopian transport minister...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Sri Lanka imeanza usaili wa watu 47 waliojitokeza kuomba nafasi mbili za kunyonga watu, huku shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International likiisihi nchi hiyo kutorejesha adhabu...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
ARUDI NYUMBANI BAADA YA KUFARIKI MIAKA 2, ADAI WALIZIKA MGOMBA Binti aitwaye Winnie kutoka eneo la Masala Mji wa Ndola nchini Zambia amezua taharuki katika kituo cha polisi Ndola Baada ya kudai...
2 Reactions
39 Replies
6K Views
Haya ndio mataifa bora kabisa duniani kwa kila kitu Wale janja janja hapa hawapo Kuna vinchi vipo hapo mashariki ya Kati vinapiga mdomo balaa kumbe kichwani upepo tu God first
0 Reactions
2 Replies
1K Views
For sure this is not a joke, 1. Education Reform, Most of rwandeese have been sent in different countries to learn some issues on how to revump from the stage Rwanda is , to another, 120 sent in...
0 Reactions
77 Replies
7K Views
Polisi nchini Brazil yaua watuhumiwa 11 wa uvamizi wa benki 2 eneo la tukio 25 Wavamia benki 2; 11 wauawa Watu 11 wameuwa karika jaribio la wizi kwenye benki 2 mjini Sao Paulo, Brazil. Taarifa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom