International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Takribani watu 25 wameuawa baada ya kutokea shambulio la kujitoa mhanga katika msikiti mmoja. Mlipuko huo ulitokea katika mkusanyiko wa swala ya ijumaa katika kijiji cha Payee Khan wilaya ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
BEIJING - In an otherwise nondescript conference room, Wu Jianping stands before a giant wall of frosted glass. He toggles a switch and the glass becomes transparent, looking down on an imposing...
0 Reactions
2 Replies
941 Views
Some of the detainees boarding the police van on Saturday following the arrests. Picture- Reuters Takribani watu 100 wamekamatwa na Polisi pamoja na wabunge wa Upinzani wanne kufuatia maandamano...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ISIS has marked Eid by hanging dozens of prisoners upside down from meat hooks and 'butchering them like sheep' in a gruesome new execution video. In one sickening scene, men accused of being US...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Facebook imebatilisha uamuzi wake wa awali wa kufuta moja ya picha mashuhuri ya wakati wa vita vya Vietnam. Picha hiyo inamuonyesha mtoto msichana aliyekuwa bila nguo akikimbia moto katika kijiji...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mamlaka nchini Burkina Faso wanamshikilia aliyekuwa waziri mkuu wa taifa hilo kwa mauaji ya waandamanaji waliokuwa wanaupinga utawala wa rais wa za zamani Blaise Compaore. Rais huyo aliyetawala...
0 Reactions
1 Replies
916 Views
Rais wa Ufilipino, Rodrigo Duterte leo amevitaka vikosi vya Marekani vilivyoko nchini humo kuondoka mara moja akidai kuwa wanaweza kumleta balaa la kushambuliwa na magaidi wa ISIS. Kauli hiyo ya...
1 Reactions
72 Replies
8K Views
Check out @realDonaldTrump's Tweet:
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Rais wa zamani wa Italia Carlo Azeglio Ziampi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 96. Rais huyo alizaliwa mwaka 1920 na alifanikiwa kuliongoza taifa la Italia kuanzia mwaka 1999 mpaka mwaka...
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Mabaki yaliyopatikana Pemba, Tanzania ni ya MH370 Waziri wa uchukuzi wa Malaysia Liow Tiong Lai amesema kupitia taarifa, kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, kwamba baada ya uchunguzi...
0 Reactions
3 Replies
781 Views
Mgombea wa kiti cha urais nchini Marekani kupitia chama cha Democratic Hillary Clinton amelazimika kuahirisha ziara yake ya kuchangisha fedha katika jimbo la California baada ya vipimo kuonyesha...
8 Reactions
60 Replies
6K Views
MWANAUME mmoja kutoka katika familia maskini inayoishi mjini Bhawanipatna katika jimbo la Orissa nchini, amelazimika kuubeba mwili wa mkewe begani, baada ya hospitali kushindwa kutoa gari la...
8 Reactions
89 Replies
11K Views
  • Redirect
Taasisi ya KUpambana na Rushwa nchini Nigeria imezifunga akaunti za Mke wa Rais mstaafu wa Nigeria, Goodluck Jonathan. Akaunti hizo zilikuwa na kiasi cha shilingi bilioni 64, mke huyo wa Rais...
0 Reactions
Replies
Views
Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte, aliamuru kuuawa kwa wanasiasa wapinzani alipokuwa meya wa zamani wa Davao, mwanachama mmoja wa kikosi kilichopewa jukumu la kuwaua walanguzi wa biashara haramu...
0 Reactions
2 Replies
654 Views
The report says the UK diplomat spent almost entire career serving in Arab countries. British Ambassador to Saudi Arabia Simon Paul Collis and his wife Huda Mujarkech performed Haj this year...
1 Reactions
3 Replies
767 Views
Muammar Gaddafi aliuawa mwezi Oktoba 2011, wakati nchi za Magharibi ziliingilia kati kijeshi nchin mwake. Ripoti ya Bunge la Uingereza inakosoa vikali Ufaransa na Uingereza kuingilia kijeshi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Muungano wa Makanisa ya kikristo eneo la Mlima Kenya, umeapa kupinga warsha za malezi zinazopangwa na kundi lisilomwamini mungu hapa nchini la Atheist in Kenya. Warsha hizo zimetangazwa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nchi nyingi za africa zimekuwa zikipiga hatua kubwa kimiuondo msingi hususan kwenye usafir wa mijini. Hizi hapa ni baadhi ya picha ndani ya ruti za Khartoum na mji wa Wadi-halfa
2 Reactions
56 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…