Korea Kaskazini: Tutaendelea kufanya majaribio ya makombora yetu na haturudi nyuma
Mei 28, 2019 03:08 UTC
Serikali ya Korea Kaskazini imesisitiza kwamba, itaendelea kufanya majaribio ya makombora...
Zarif akimhutubu Trump; Kiongozi Muadhamu ameshatangaza silaha za nyuklia ni haramu
Mei 28, 2019 03:31 UTC
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatatu usiku amejibu madai ya...
Kuunga mkono Russia ubunifu wa Iran wa kupunguza hali ya taharuki Ghuba ya Uajemi
Mei 28, 2019 11:30 UTC
Ili kufikia malengo yake haramu katika eneo la Asia Magharibi na Ghuba ya Uajemi, Marekani...
Russia yaanza mchakato wa kuikabidhi Uturuki mfumo wa kujilinda na makombora wa S-400
Mei 28, 2019 13:43 UTC
Licha ya Marekani kuupinga vikali mkataba wa silaha baina ya Russia na Uturuki, lakini...
Waziri wa mambo ya nje wa Iran, Mohammad Javad Zarif ameijibu Serikali ya Marekani baada ya rais Donald Trump kudai kuwa nchi yake haina nia ya kushinikizo mabadiliko ya kiutawala nchini Iran...
Hivi karibuni, Serikali ya Marekani imeisitishia (blacklist) kampuni kubwa ya CHINA (Huawei) kununua bidhaa (electronic chips) zinazotengenezwa nchini Marekani. Huawei hutumia vifaa hivyo katika...
DRC's Koffi Olomidé guilty of rape of 15-year-old girl in France
Popular Congolese musician Koffi Olomide was on Monday handed a two-year suspended prison sentence for the statutory rape of one...
Wafungwa 15 walifariki siku ya Jumapili na wengine 42 siku ya Jumatatu, vifo hivi vimechochewa na ukosefu wa hewa kutokana na msongamano
Ghasia zilizuka wakati Wafungwa hao wakifanya jitihada za...
Askwar Hilonga: Mhandisi wa Tanzania atuzwa na shirika la afya duniani kwa uvumbuzi wake
26 Mei 2019
Source: https://www.bbc.com/swahili/habari-48416012
Mhandisi mmoja nchini Tanzania Dkt...
Hii nimekutana nayo kwenye mtandao mchungaji mmoja huko nchini Zambia amegundua njia mpya ya kuwaombea waumini wake hususani wanawake wanaosumbuliwa na tatizo la kuzaa kwa kuwaamrisha kuvua nguo...
Claims of Shoddy Production Draw Scrutiny to a Second Boeing Jet 787 Dreamliner.
The executive in charge of Boeing’s troubled 787 Dreamliner factory in North Charleston, S.C., is leaving the...
Wabunge wa Austria leo wameiondoa madarakani serikali ya Kansela Sebastian Kurz baada ya kupiga kura ya kutokuwa na imani naye.
Kura hiyo dhidi ya kiongozi wa nchi na serikali au baraza lake la...
Mahakama moja nchini Iraq jana Jumapili iliwahukumu adhabu ya kifo raia watatu wa Ufaransa waliokuwa wanachama wa kundi linalojiita Dola la Kiislamu, IS.
Raia hao walikamatwa nchini Syria na...
Mahakama Kuu imeiamuru Bodi ya Uchaguzi kutotangaza matokeo ya Urais hadi kura kutoka kwenye theluthi ya Majimbo zirudiwe kuhesabiwa
Hii ni baada ya chama kikuu cha upinzani, Malawi Congress...
Huu ni uamuzi wa Wabunge wa Taifa hilo ambao kwa pamoja wameamua kuziondoa lugha za Kiingereza na Kifatansa kuwa lugha rasmi za nchi hiyo
Baadhi ya Wananchi waliohojiwa na vyombo vya habari...
Nsabimana Callixte maarufu Sankara aliyekuwa msemaji wa kundi la waasi la National Liberation Front amefikishwa mbele ya Mahakama mjini Kigali na kukiri mashtaka dhidi yake
Mwendesha mashtaka...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 26 Mei, 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini, Mhe. Cyril Ramaphosa, Ikulu Jijini...
Sateliti ya China yaanguka
Ni baada ya hatua ya kwanza na ya pili ya urushaji kufanikiwa
24.05.2019 ~ 24.05.2019
Zoezi la kurusha sateliti ya China iitwayo " Yaogan-33 " lafanyika bila mafanikio...