Serikali ya Ukraine imeripoti kuwa raia 1,436 kutoka Nchi 36 Barani Afrika wamejiunga na jeshi la Urusi katika vita dhidi ya Ukraine, huku ikionya kuwa idadi halisi huenda ni kubwa zaidi.
Kwa...
Knesset ya Israel imepitisha kwa usomaji wa kwanza mswada unaoruhusu kunyongwa kwa wafungwa wa Kipalestina.
Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji la Israel (KAN), mswada huo ulipitishwa Jumatatu...
Mamlaka nchini Mali zimeripoti kifi cha mwanamitindo na mtengeneza maudhui maarufu TikTok, Mariame Cissé, aliyekuwa akijulikana kwa kuchapisha video za kuunga mkono jeshi la taifa hilo la. Kwa...
Ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika umedumu kwa miongo kadhaa, na kugusa maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na elimu, uchumi na biashara, kilimo, na maeneo mengine mengi. Ushirikiano huu...
Upinzani nchini Cameroon unaendelea kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika hivi karibuni Mgombea wa urais wa chama pinzani aliyeibuka mshindi wa pili, Issa Tchiroma Bakary, ametoa masaa...
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa hakuna Afisa yeyote wa Serikali ya Marekani atakayehudhuria Mkutano wa G20 utakaofanyika Afrika Kusini, akidai kuwa Nchi hiyo inakiuka haki za binadamu...
Wakazi wa Douala wameendelea kuandamana kwa siku ya pili mfululizo baada ya kutangazwa kwa Rais Paul Biya kuwa mshindi wa urais kwa mara ya nane, hatua iliyozua hasira kubwa miongoni mwa wananchi...
ukio lisilotarajiwa limezua gumzo nchini Mexico baada ya video kusambaa ikimuonyesha mwanamume mmoja akijaribu kumbusu Rais wa Mexico, Claudia Sheinbaum, alipokuwa akitembea katikati ya umati...
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limefanya mashambulizi kadhaa katika maeneo ya kusini mwa Lebanon siku ya Alhamisi, likisema kuwa yalilenga kundi la Hezbollah kwa madai ya jaribio la kundi hilo...
Maafisa wa IDF waliijulisha familia ya Joshua Loitu Mollel kwamba mwili wake umerejeshwa kwa ajili ya mazishi baada ya kutambuliwa rasmi na timu za utafiti wa kidaktari, Polisi ya Israel, na...
Joshua Mollel, mwanafunzi wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 21, alikuja Israel kusomea kilimo, sio kuchinjwa na magaidi wa Hamas. Walimuua tarehe 7 Oktoba, waka unajisi mwili wake, na kuteka...
Wapiganaji wa RSF nchini Sudan wanaendeleza mauaji ya halaiki katika mji wa Al Fasher, baada ya kudai kudhibiti ngome ya mwisho ya jeshi la Sudan katika eneo hilo la magharibi mwa nchi Oktoba 26
SF
Maonyesho ya 8 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yanafanyika mjini Shanghai. Ikiwa ni maonyesho ya kwanza ya kitaifa duniani yenye mada ya uagizaji, CIIE yanasaidia bidhaa za kilimo...
Kwa maandamano ya 13 ya Aban ya kuashiria kutwaa Ubalozi wa Marekani, Iran ilionyesha centrifuges kuashiria "nguvu yake ya nyuklia."
Chaguo linaweka wazi nia ya nyuklia ya serikali hivyo Iran...
Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara, ameshinda kwa kishindo muhula wake wa nne kufuatia matokeo ya awali yaliyotangazwa Jumatatu — ushindi uliokuwa umetarajiwa baada ya wapinzani wake wakuu...
Huu ni mwaka wa 25 tangu kuanzishwa kwa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC). Tangu kuanzishwa kwa jukwaa hilo, ushirikiano kati ya China na Afrika umepata mafanikio makubwa, na...
Deni la taifa la Marekani au kama wao wanavyoliita Federal Debt, Government Debt, National Debt, U.S Public Debt linapaa kwa kasi sana limefikia $35 trillion ambalo ni sawa na $104,082 kwa kila...
Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amekosoa vikali Marekani baada ya kufutiwa viza kwa sababu ya msimamo wake dhidi ya vita vya Gaza.
Gustavo alionekana mjini Newyork akiungana na waandamaji...
Benjamin Netanyahu - 21 October 1949
HAPPY BIRTHDAY MASHINE YA KAZI
Panapo majalliwa utawashinikiza waliomuua mtanzania mwenzetu kikatili warejeshe mwili wake uje uzikwe Tanzania