Robert Mugabe ameondoka. maandiko yametimia: Kila nafsi itaonja mauti.
Pamoja na kuondoka kwake maswali ni mengi yamebaki. Moja ya maswali ni kisa cha mauaji ya mvua za vuli.
Mapema miaka ya...
Watu 23 wameokolewa kutoka katika meli urefu wa futi 656 inayojulikana kwa jina la Golden Ray baada ya kupinduka ikiwa katika pwani ya Brunswick huko Georgia Marekani
Kikosi cha uokoaji...
Lebanon's Hezbollah Israeli drone in southern town
Al-Manar TV says Israeli drone is now in the hands of Hezbollah's fighters after it was shot down in the town of Ramyah.
1 hour ago...
Serikali ya Sierra Leone imesema kuwa itaunda kamati ya kuchunguza tuhuma za walinzi wa Rais Julius Maada Bio kuwashambulia wanahabari
Wanahabari hao wameripotiwa kushambuliwa kwa kipigo wakati...
Trump awashangaza tena Wamarekani kwa bwabwaja zake, asema: Vimbunga vishambuliwe kwa bomu la nyuklia!
Aug 26, 2019 06:01 UTC
Donald Trump
Rais Donald Trump wa Marekani ameendelea kutoa matamshi...
London, Uingereza (AFP). Shirika la Ndege la Uingereza (BA) limefuta karibu safari zote kutoka au kuingia Uingereza, baada ya kuibuka kwa mgomo wa kwanza wa marubani ambao umesababisha kuvurugika...
Hali ni mbaya sana Tehran haitamaniki watalii wamekauka
Wananchi wanakaribia kufikia kikomo cha uvumilivu
Katika count za mashhad na birjand wananchi wameanza kuichoka Serkali wanahasira na...
Hezbollah says shots down Israeli drone over Lebanon
Home
/ Middle East
/ Lebanon
A Hezbollah fighter holds an anti-aircraft missile (R), as he takes his position with his comrade between orange...
Moto unaoendelea kuwaka katika msitu wa Amazon nchini Brazil umevuka mpaka na kuteketeza hekta elfu moja na mia saba za misitu nchini Bolivia.
Ofisa wa Idara ya Misitu ya eneo la Santa Cruz...
Takribani watu 11 wamefariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupinduliwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa
Kikosi cha uokoaji kimefanikiwa kuwaokoa watu 27 waliokuwa wakisafiri kwa...
Watu 29 wamuawa Kaskazini mwa Burkina Faso katika mashambulio mawili. Lori la uchukuzi limekanyaga bomu la kutegwa ardhini lililotengenezwa kienyeji na kusababisha vifo vya watu 15...
BRAZIL: Maelfu ya Wanawake wameandamana kupinga mchakato wa sheria itakayokataza utoaji wa mimba.
> Sheria hiyo itaharamisha utoaji wa mimba zote hata zile zilizotokana na ubakaji. Wanawake hao...
US Secretary of State says talks with the Taliban are '' dead for the time being''
Mike Pompeo says Special Envoy is being recalled to decide the way forward.
Taleban says ''Americans will suffer...
Iran imethibitisha itatumia mashine za kisasa zaidi kurutubisha madini yake ya urani katika awamu ya tatu ya kujiondoa kwenye mkataba wa nyuklia wa mwaka 2015 kati yake na mataifa yenye nguvu...
Baada ya machafuko yanayo endelea nchini Sauzi, na wa Sauzi kupora mali na kuchoma maduka ya Raia wa kigeni nchini humo.
Raisi wa Nigeria Buhari, ametuma ndege Nne ziwachukue raia wake wa Nigeria...
Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi nchini Afrika Kusini. Kwa mujibu wa ofisi ya rais ya Afrika Kusini ziara hiyo inatokana na vurugu za chuki dhidi ya wageni...