International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kampuni inayotengeneza ndege ya Boeng imetangaza kusitisha uzalishaji wa ndege aina ya 737 Max kuanzia mwezi Januari mwaka ujao, pamoja na sababu nyingine ili kuweza kupata ridhaa ya kiusalama...
1 Reactions
3 Replies
919 Views
Mwaka 2019 waandishi wa habari 49 wameuawa kwenye nchi tofauti kama inavyoonyesha hapo juu. 49 journalists murdered in 2019 Forty-nine journalists were killed across the world in 2019...
0 Reactions
4 Replies
791 Views
Two women tried to vacuum blood out of their vaginas while on their period. Watch the video for the whole story. === We’re disappointed that we have to bring this to your attention, but at least...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Serikali ya Zambia imehalalisha kilimo cha bangi kwa sababu za kiuchumi na tiba. Kwa hatua hiyo, taifa hilo linakuwa la hivi karibuni kabisa katika kuridhia matumizi ya bangi. Kwa mujibu wa...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
IMF imeidhinisha mkopo wa Dola milioni 368.4 kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ili kuwezesha nchi hiyo kukidhi mahitaji ya haraka. Shirika la fedha duniani IMF limeidhinisha mkopo wa Dola...
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Waasi wa kundi la ADF wameshambulia tena mji wa Beni katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na kuuwa watu 22 katika eneo la Ndombi na Kamango. Waasi hao wanaelezwa kuwashambulia wakaazi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Takwimu mpya zinaonesha idadi ya wakimbizi wanaoingia katika mataifa ya Umoja wa Ulaya kwa njia haramu mwaka huu zimeongezeka kwa asilimia 46 ikilinganishwa na mwaka uliopita. Hayo yameibuliwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
China imetoa kanuni za maadili kwa waandishi wa habari ambazo inawataka wanahabari kushikilia mamlaka ya Chama cha Kikomunisti na kuongozwa na itikadi ya Rais Xi Jinping. Kanuni hizo ambazo...
0 Reactions
0 Replies
908 Views
For the first time since the end of the INF Treaty, the U.S. Air Force has tested a ground-launched, intermediate-range ballistic missile. A screen grab of the Dec. 12 flight test of U.S. ground...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Haya kumekucha tena. Marekani yamtolea uvivu Kim na deadline zake. Soma hiyo. ======= SEOUL, South Korea (AP) — A senior U.S. diplomat said Monday that Washington won’t accept a year-end deadline...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Vyombo vya dola nchini Malawi vimemtia nguvuni mwanaume mmoja baada ya kudaiwa kumpiga risasi mke wake wa pili kwa kumhisi kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine. Polisi imesema Bw. William Phiri...
0 Reactions
1 Replies
967 Views
Watu14 wamefariki na Watu wengine saba wameokolewa huku wengine wawili wakiwa bado ndani ya mgodi huo wa Makaa ya Mawe na Gesi uliopo Kusini-Magharibi mwa China katika Mji wa Guizhou Tukio hilo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mary Mubaiwa Mamlaka za Zimbabwe zinamshikilia mke wa Makamu wa Rais wa nchi hiyo kwa makosa ya utakatishaji wa fedha na kupeleka nje ya nchi kiasi cha dola milioni moja. Kwa mujibu wa mamlaka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Msemaji ameliambia shirika la habari la KNCA kuwa jaribio hilo lilifanyika siku ya Ijumaa kalika uwanja wa kituo cha uzinduzi wa Setilaite cha Sohae, lakini hakutoa maelezo zaidi. Mazungumzo...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Ghasia zimeibuka tena katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut, ambapo vikosi vya usalama vimetumia gesi ya kutoa machozi na mizinga ya maji dhidi ya waandamanaji ambao walikuwa wakirusha chupa na...
1 Reactions
3 Replies
884 Views
Mazungumzo ya Mabadiliko ya Tabia Nchi ya Madrid (COP25) yamemalizika kwa hali ya kuvunja moyo, baada ya wachafuzi wakubwa wa mazingira kupinga nyongeza ya jitihada za kukabiliana na ongezeko la...
0 Reactions
1 Replies
983 Views
Waokoaji wametoa miili ya watu wawili kutoka kwenye kifusi cha jengo la ghorofa tatu lililodondoshwa na tetemeko la ardhi huko kusini mwa Ufilipino. Watu wengine 7 waliokuwemo ndani ya jingo hilo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
One soldier killed & another missing after fire breaks out on Russian aircraft carrier Admiral Kuznetsov MOSCOW - At least one military serviceman was killed and 12 people were injured by a...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakati Tanzania tukivutana Rwanda wameamua kitekeleza Kwa Asilimia 💯 maisha ni miji na Siasa ni miji
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Somalia, South Sudan, Sudan, Guinea Bissau and Equatorial Guinea are the most corrupt nations in Africa and the world. Topping...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…