International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kutokana na historia ya Palestina kila wanapokaribishwa na kupewa uhuru hujikuta wao ndio wanataka kuamrisha wenyeji na kutaka kutawala wao. Historia zimeandikwa nyingi sana kuhusu hawa. Hawa...
8 Reactions
44 Replies
1K Views
Haya yanajiri siku chache tu baada ya kusainiwa makubaliano ya amani yaliosimamiwa na Marekani. Awali balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Mike Waltz, aliliambia Baraza la Usalama la Umoja...
4 Reactions
23 Replies
942 Views
Baada ya kuibuka vita kali kati ya M23 na jeshi la FARDC, likisaidiwa na mamluki kutoka nchi za ulaya na marekani, kundi la FDLR, Kundi la wazalendo, jeshi la Burundi na kundi la Imbonerakure...
4 Reactions
15 Replies
968 Views
Mamia ya wakulima wa Ulaya walijaa mitaa ya Brussels wakipinga makubaliano ya kibiashara ya EU-Mercosur trade . Maandamano yaliyoanza kwa utulivu yaligeuka vurugu, waandamanaji walishambulia...
4 Reactions
24 Replies
770 Views
Discovered reserves of the system are 1.6 billion barrels of oil . 59 trillion cubic feet of gas. More than one-half of the reserves are in Lower Permian rocks below the salt seal. Aluta...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Msichana wa miaka sita alilazimishwa kuolewa na mwanaume mwenye umri wa miaka 45 nchini Afghanistan baada ya kuuzwa kwa fedha. Picha ya kusikitisha inayomuonesha mwanaume mzee akiwa amesimama na...
15 Reactions
215 Replies
7K Views
hi i am interested by the etymological database project of Serguei sTAROSTIN i want to participate in it , bringing infos about african languages to compare them with melano- hindus( veddoids and...
0 Reactions
3 Replies
483 Views
Wakulima wa Ufaransa wapo kwenye maandamano kwa kutupa samadi nje ya nyumba za wanasiasa. Wakulima kote Ufaransa wamezidisha maandamano yao kwa kutupa samadi nje ya nyumba na ofisi za wanasiasa...
1 Reactions
9 Replies
366 Views
Waziri wa biashara na viwanda wa Somalia Bw. Gamal Mohamed Hassan (Kushoto) na mtangazaji wa CMG Bw. Fadhili Mpunji (Kulia) kwenye mahojiano mjini Beijing, Desemba 18, 2025. Katika muda wa...
0 Reactions
0 Replies
181 Views
Banyamlenge ni jamii ya watutsi wanaoishi eneo la Mulenge, eneo hili ni kiunga kilichopo wilaya ya Uvira jimboni Kivu Kusini (Sud Kivu) mashariki mwa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alitangaza katika ujumbe wa video kwamba ameidhinisha makubaliano makubwa zaidi ya nishati katika historia ya Israeli. Mkataba wa gesi asilia na Misri una thamani ya...
1 Reactions
1 Replies
206 Views
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetuacha; tunataka AFC/M23/Twirwaneho. Serikali iko bize kulisumbua jeshi na kuwatesa raia wa kawaida. Alisema mmoja wa waandamanaji wa amani huko...
1 Reactions
7 Replies
516 Views
Alhaji Aliko Dangote, siku ya Jumapili alidai kuwa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Sekta ya Petroli ya Kati na Chini ya Nigeria (Nigerian Midstream and Downstream Petroleum Regulatory...
6 Reactions
21 Replies
817 Views
Waziri wa Ulinzi wa Venezuela, Vladimir Padrino Lopez, amelaani tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu mpango wa kuweka mzingiro wa kijeshi baharini dhidi ya usafirishaji wa mafuta wa...
0 Reactions
0 Replies
206 Views
Polisi wa Australia wamesema baba na mwana waliotekeleza shambulio la mauaji Bondi Beach, Sydney, walichochewa na itikadi ya Islamic State. Washukiwa ni Sajid Akram, 50, aliyeuawa baada ya...
1 Reactions
37 Replies
1K Views
: Katibu mtendaji wa chama cha PPRD cha rais wa zamani wa Kongo, Joseph Kabila, Emmanuel Ramazani Shadary amekamatwa jijini Kinshasa. Taarifa ya chama cha PPRD imesema kukamatwa kwa Shadary na...
1 Reactions
7 Replies
336 Views
Tarehe 6 Agosti 1945, Tsutomu Yamaguchi alikuwa Hiroshima kwa kazi wakati bomu la atomiki lililipuliwa. Alijeruhiwa vibaya (hasa masikio na mwili kuungua), lakini aliweza kupona kiasi na kuondoka...
3 Reactions
4 Replies
364 Views
Rais Donald Trump amefungua kesi ya kashfa dhidi ya BBC katika mahakama ya shirikisho ya Miami, akidai fidia ya hadi dola bilioni 10. Trump anaituhumu BBC kwa kuandaa makala ya Panorama...
0 Reactions
8 Replies
600 Views
Kiukweli, sipendi vita wala sishabikii matumizi ya nguvu katika kutatua migogoro ya kimataifa. Lakini inasikitisha mno kuona mataifa yanayojiona kuwa “ya kidemokrasia” na “yenye maadili ya juu”...
7 Reactions
40 Replies
2K Views
Farouk Ahmed, Mtendaji Mkuu (CEO) wa Mamlaka ya Udhibiti wa Sekta ya Mafuta ya Petroli ya Kati na ya Chini ya Nigeria (NMDPRA), amejiuzulu
0 Reactions
6 Replies
310 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…