International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wachambuzi: ISRAEL ILIITAMBUA SOMALILAND HIVI KARIBUNI, LAKINI NI NINI? Kwanza, ufafanuzi wa haraka: Somaliland sio Somalia. Somaliland imekuwa ikifanya kazi kama chombo tofauti, kinachojitawala...
2 Reactions
2 Replies
336 Views
Wapendwa kwanza niwatakie heri ya X mass na mwaka mpya, then niende kwenye mada yangu Nadhani hakuna asiyejua kua America ndio baba wa ubepari, kuna miaka hapo nyuma walikua wanajificha sana...
0 Reactions
1 Replies
318 Views
Ipo Haja Nchi za Afrika Kufanya tathmini ya kimaendeleo ukilinganisha na misaada tunayopata kutoka kwa wakoloni, Lazima tutambue Kwa Kuangalia Malengo,Mikakati,Sera na Matokeo ya uwekezaji...
0 Reactions
0 Replies
134 Views
Nchi za kiarabu na kiislamu zimepinga vikali Somaliland kutambuliwa na Israel. Ikumbukwe kuwa nchi ya Somaliland imekuwa huru kwa zaidi ya miaka 30 na hakuna nchi yoyote ya kiarabu iliyoitambua...
6 Reactions
8 Replies
480 Views
Ilitoa sharti kama lazima msikiti ujengwe kwenye ardhi yake lazima muundo uonekane wenye mandhari ya Kichina, na Mchina yeyote anayejiunga kwenye dini ya muarabu anapaswa atambue yeye ni Mchina...
4 Reactions
15 Replies
521 Views
Marekani kwa kushirikiana na Serikali ya Nigeria, imewashambulia magaidi huko kaskazini magharibi mwa Nigeria. Trump anadai anapambana na magaidi wanaowashambulia wakristo wa Nigeria. Serikali ya...
12 Reactions
58 Replies
1K Views
Mtangazaji wa TV kutoka Marekani Tucker Carlson ametoa mahojiano yake na Rais wa Iran Masoud Pezzekian. Siku mbili zilizopita, alitoa video akisema kwamba alikuwa amemhoji Bw. Pezzekian na...
2 Reactions
4 Replies
492 Views
Nchini Ujerumani, idadi ya Wakristo inaendelea kupungua kwa kiwango kikubwa, hali inayosababisha makanisa mengi kubaki bila kutumiwa. Hivi karibuni, Kanisa la Mtakatifu Anna (St. Anna) lilijaa...
5 Reactions
12 Replies
554 Views
Rapper maarufu Nicki Minaj ameibua mjadala baada ya kuunga mkono kauli ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kwamba Wakristo wanakabiliwa na mateso nchini Nigeria madai ambayo serikali ya Nigeria na...
2 Reactions
10 Replies
811 Views
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amekiri kwa mara ya kwanza kwamba nchi yake ilikuwa na mapungufu ya kiusalama katika vita vyake na Israel. Akizungumza katika kikao cha baraza la mawaziri mjini...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Krismasi ya mwaka huu umeonekana kufanyika kwa amani ya kiwango cha juu kimataifa, bila kuripotiwa mashambulizi makubwa yaliyofanikiwa ndani ya makanisa katika mkesha na siku ya Krismasi yenyewe...
0 Reactions
0 Replies
131 Views
Hali sio Hali Kwa Binti yetu, sasa ni ule mda wa kumchangia mliokua mnampenda sana
1 Reactions
3 Replies
299 Views
Rais Donald Trump (Mungu ambariki sana) amesema atatumia US military might kulinda Christians wanaouliwa na muslim jihadists nchini Nigeria. God Bless D.Trump ... ————— Christianity is facing...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Wakati propaganda za chuki dhidi ya Mayahudi zikizidi kuenezwa hasa katika nchi maskini kama zetu, kwa Mafarao wa Misri kwao Mayahudi ni fursa. Israel na Misri wamesaini kandarasi ya gesi asilia...
1 Reactions
4 Replies
198 Views
hii vita nilikuwa sijailewa mpaka hii docu ya al jazeera, pure evil ... https://www.youtube.com/watch?v=ZaQnaF3pP4I
0 Reactions
4 Replies
228 Views
https://www.instagram.com/reel/DSuT14MCbJf/?igsh=ZnBzOGh3bGhpOW51
0 Reactions
4 Replies
260 Views
Viongozi wa Afrika kwenye mali za umma wawekewe restrictions kali kwasababu default settings wanawaza UPIGAJI Mnamo Aprili 2017, Taasisi ya kupambana na rushwa wa Nigeria iligundua kiasi kikubwa...
1 Reactions
6 Replies
270 Views
Kenya ilipokea mfumo wa ulinzi wa anga uliotengenezwa na Israeli wa SPYDER, ngao ya kisasa dhidi ya ndege zisizo na rubani, ndege na vitisho vya ugaidi. Wakati ambapo nguvu kali zinalenga maisha...
8 Reactions
20 Replies
650 Views
Watu wa ovyo dunia hii kuwahi kutokea, bado wanaishi stone age 👇👇
2 Reactions
28 Replies
582 Views
Katika mkataba mpya wa dola milioni 6, kampuni ya Marekani iitwayo Clock Tower X itazalisha na kusambaza maudhui katika majukwaa mbalimbali, kusaidia kuchezea mifumo ya algoriti, pamoja na...
1 Reactions
4 Replies
299 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…