International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wakuu, Anaandika Kumbusho Dawson kwenye ukurasa wake wa Instagram: Hii ilikuwa mwaka 2019, wananchi wa Venezuela walijaribu kuandamana kupinga matumizi mabaya ya mali za umma, utekwaji na...
4 Reactions
11 Replies
466 Views
Awali ya yote ukisikia kuhusu VITA na TAARIFA za Vita unakumbuka Maneno ya Mtu Maarufu Gani? na inakupa tafsiri gani? Mimi kwangu inanikumbusha Maneno ya Yesu alipokuwapo hapa Duniani aliyoyasema...
0 Reactions
0 Replies
244 Views
Trump hajamkamata Maduro kwasababu ya ukiukaji wa Sheria, bali ni kwasababu Maduro ameharibu maslahi ya Marekani yakupata mafuta Na ndiyo sababu uamuzi wa kumkamata haujapitishwa na Bunge ni...
2 Reactions
29 Replies
382 Views
How the Pentagon snatched Nicolás Maduro — The Economist
1 Reactions
1 Replies
209 Views
Kesho Trump anaweza kuwa Shangai Detention Centre ya China😄😄😀😅😆 --- China has called on the United States to immediately release Venezuelan President Nicolas Maduro after Washington carried out...
3 Reactions
17 Replies
730 Views
Rais wa Marekani Donald Trump asema kuwa Venezuela itatawaliwa na Marekani hadi hapo atapopatikana mtu wa kutawala Venezuela. Asema kuwa makampuni kutoka Marekani yataanza kazi ya kuchimba mafuta...
15 Reactions
43 Replies
1K Views
Wakuu, Mambo yanaendelea kuwa sukari huku Pam Bondi ambaye ni Mwanasheria Mkuu wa Marekani anasema kesi ya Maduro itakuwa inasikiliziwa kwenye Mahakama za New York huko Nchini Marekani Makosa...
6 Reactions
24 Replies
655 Views
Congratulations, President Trump! This is a win for the world and a clear message to evil dictators everywhere.
7 Reactions
23 Replies
689 Views
Mali na Burkina Faso zimetangaza kuwazuia raia wa Marekani kuingia katika nchi zao, zikieleza kuwa hatua hiyo ni jibu la moja kwa moja kwa uamuzi wa Marekani wa kuwazuia raia wao kuingia nchini...
3 Reactions
13 Replies
496 Views
Kuna milipuko mikubwa imetokea mji mkuu wa Venezuela, Caracas. Inaelekea wizara ya ulinzi imeshambuliwa. Bado taarifa rasmi kuhusu shambulio hilo hazijatolewa. Updates:Baada ya mashambulizi yq...
11 Reactions
326 Replies
6K Views
Marekani imekiuaka sheria za kimataifa. Mkataba wa Montevideo juu ya uhalali wa dola huru kutoingiliwa umekiukwa. Hakuna aliyepinga kwa kukemea chochote.
4 Reactions
20 Replies
478 Views
Jana matokeo ya uchaguzi yalipotoka ilitangazwa kuwa Nicolás Maduro ameshinda tena kiti cha uraisi nchini Venezuela. Akimshinda mpinzani wake Edmundo González ambaye anaungwa mkono na Marekani...
17 Reactions
64 Replies
4K Views
Rais wa communist Venezuela, Maduro ameomba amnesty kwa Rais wa Marekani Donald Trump kwa yeye, familia na watu wake wa karibu, lakini Trump amemkatalia na ametakiwa kuachia madaraka na kuondoka...
4 Reactions
48 Replies
2K Views
Bi chura ajiandae. Salamu zishatumwa. Trump katuma meseji ya wazi bila kumung’unya maneno kwa serikali ya kiislamu ya Iran akitoa tahadhari kuwa ataingia kuwanusuru raia wa Iran kama serikali...
8 Reactions
46 Replies
1K Views
Naamini amejibiwa vizuri sana kwa vitendo na katika wakati sahihi. Ashukuru tu hajagusa maslahi ya Super power kwani na yeye wangemnyoosha. Hata hivyo, bado hayuko salama kwa uovu alioufanya .
11 Reactions
18 Replies
447 Views
Ni kupitia masaburi,hoi dakika moja tu uchizi kwenda mbele! Washington Post
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya raisi Donald Trump kushinda uchaguzi mkuu nchini Marekani na kuwa raisi mtarajiwa wa 47 wa taifa hilo kubwa Duniani, nchi kadhaa duniani zimeanza kujiweka sawa. Baadhi ya nchi hizo ni...
13 Reactions
36 Replies
3K Views
Wizara ya Ulinzi inatangaza kukabidhi wa rasmi kwa mfumo wa kwanza wa kufanya kazi wa laser wa hali ya juu, unaoitwa "Iron Beam," kutoka kwa Mifumo ya Ulinzi ya Juu ya Rafael hadi IDF. Mfumo huo...
5 Reactions
49 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…