Mwaka wa 2026 wa Mawasiliano kati ya Watu wa China na Afrika umezinduliwa hivi karibuni katika makao makuu ya Umoja wa Afrika yaliyoko Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia. Mwaka huu, takriban...
Hali ya kidiplomasia katika eneo la Arctic imezidi kupamba moto baada ya Greenland kupendekeza kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani kuhusu mustakabali wake. Hatua hii inakuja huku...
Iran kwa sasa iko kwenye kuzimwa kwa mawasiliano kulikoratibiwa, lengo lake si udhibiti wa usalama pekee bali pia kuficha ukweli. Kukatwa kwa intaneti, kuvurugwa kwa mawasiliano, kufungwa kwa...
Ubalozi wa Marekani nchini Iran siku ya Jumatatu umetoa taarifa mtandaoni ya onyo la usafiri ikiwataka raia wa Marekani kuondoka Iran mara moja huku machafuko yakiendelea kusambaa kote nchini...
Somalia imetangaza kukatiza uhusiano na Umoja wa Falme za Kiarabu, na kufuta makubaliano yote ya ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.
Katika taarifa iliyotolewa baada ya kikao cha baraza la...
Hawa watakuja kujuta kama Walibya tu.
Kwa tuliowahi kuishi Iran tunajua kule viongozi wao na wananchi wao wana msemo wao kwamba "Iran is made for Iranians".... huo msemo hutumika kulenga kwenye...
Iran (Uajemi) ni Taifa la kale, sawa ilivyo kwa Syria, Iraq (Babylon), Galatia & Efeso (Uturuki), Rumi (Italy), Korinto (Greece), Misri na Kush (Ethiopia)
Iran, baada ya kuingiliwa na misimamo...
Iran iliombwa, baada ya siku kadhaa za majadiliano nyeti ya kidiplomasia, kujiondoa katika mazoezi ya kijeshi ya nchi za BRICS yaliyokuwa yakifanyika kwenye pwani ya Afrika Kusini na kukubali...
United States President Donald Trump has said the US has carried out a “large-scale strike” against Venezuela and its leader, President Nicolas Maduro.
In a post on Truth Social, Trump claimed...
“Once again, our joint interagency forces sent a clear message this morning: ‘there is no safe haven for criminals,'” it said.
It did not say why the tanker was targeted or offer further...
Greenland, kisiwa kikubwa cha Aktiki kilicho sehemu ya Ufalme wa Denmark ambacho pia Trump anakimezea mate , kiko takribani kilomita 3,200 kaskazini-mashariki mwa Marekani. Kina utajiri mkubwa wa...
Tusidanganyane kwamba unataka kupika pilau kwa kiasi cha shilingi 3000 kila kitu.
Bila hawa wenzetu wasingekuwa na kuweka pesa sana kwenye tafiti leo Japan wasingekuwa na teknolojia kubwa sana...
Botswana imethamini utawala bora kama vile almasi
Mwenendo wa nchi unaonyesha kwamba majaliwa ya asili si majaaliwa wala laana utawala huamua matokeo.
‘Laana ya rasilimali’ au kitendawili cha...
Raia wa Iran wamamua liwalo na liwe, hawataki kuongozwa na dini ya muarabu.... Wanataka uhuru.
Kawaida Waajemi, yaani Persians huwa watu wenye akili sana, ukisoma historia yao kabla dini ya...
Zaidi ya watu 500 wameuawa katika machafuko yanayoendelea Iran, kundi la haki za binadamu limesema Jumapili, huku Tehran ikionya kuwa itashambulia kambi za kijeshi za Marekani endapo Rais Donald...