International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mke wa Rais wa Zimbabwe, Auxilia Mnangagwa amekana tuhuma za kuhusika na biashara ya kutorosha dhahabu na amewataka polisi wapeleke ushahidi usio na shaka juu ya tuhuma hizo Auxilia alihusishwa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kimbunga kilichofahamika kwa jina la Goni kilichosababishwa na mvua kali kimesababisha vifo vya watu 10 huku wengine watatu wakiwa hawajulikani walipo Kimbunga hicho kimeathiri familia 372,653...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Popote pale China ilipo inaweka mazingira mazuri kwa ajili ya watu wake. Hivyo hujitahidi sana kukamata Serikali iliyopo Madarakani kwa kui support kwa hali na mali ili Serikali hiyo iendelee...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
Mwanasheria Mkuu nchini Nigeria amesema kwamba watu waliowapiga risasi na kuua waandamanaji nchini humo hawajulikani na kwamba huenda watu waliofunika nyuso zao na kuvalia sare za kijeshi ndio...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Opposition protesters see Ouattara's bid for a third term as unconstitutional Ivory Coast voted in a presidential election on Saturday with opposition leaders rejecting the ballot after a boycott...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni nani humu JF anafahamu kwanini Islam State wameivamia Msumbji atujuze. Je, Ni Islam State kweli wanaopigana au ni wananchi wa Msumbiji wenye madai yao kwa serikali yao lakini wakabandikwa jina...
7 Reactions
106 Replies
13K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema kuwa amejiweka karantini baada ya mtu mmoja aliyepatikana na virusi vya corona kumtaja kama mmoja wa watu wa...
1 Reactions
2 Replies
839 Views
Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara anaongoza katika hesabu ya kura katika Uchaguzi uliofanyika Jumamosi. Ouattara mwenye umri wa miaka 78, anagombea muhula wa tatu madarakani licha ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Donald Trump awaonya Ethiopia bwawa la nchi hiyo litalipuliwa na Misri, akizungumza na Waziri Mkuu wa Sudan , Trump amekaririwa akisema Misri italipuwa bwawa hilo kutokana na Ethiopia kukataa...
3 Reactions
62 Replies
8K Views
Prime Minister Boris Johnson has announced a second national lockdown for England to prevent a "medical and moral disaster" for the NHS. He said Christmas may be "very different" but he hoped...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa Mamlaka, raia wapatao 21 wanakadiriwa kuuawa katika shambulio kwenye Kijiji kilichopo Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambapo kundi la ADF linashukiwa kuhusika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waislamu hasa kwenye nchi zenye fedha wameamua kususia bidhaa za Ufaransa ikiwa ni kuonesha hasira zao kutokana na mwendelezo wa kejeli za raisi wa nchi hiyo Emmanuel Macron kwa dini ya uislamu...
6 Reactions
169 Replies
13K Views
Muswada tata wa Kikatiba ulishindwa kupitishwa Bungeni jana Oktoba 29, 2020 kufuatia upinzani mkali kutoka kwa Asasi za Kiraia na Vyama vingine vya siasa Wabunge waliopiga kura kuunga mkono...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Maafisa hao wa juu ambao hufanya kazi kwa karibu na Rais Recep Tayyip Erdogan na kukutana naye mara kwa mara wamesema wamekutwa na maambukizi ya Virusi vya Corona Msemaji wa Rais, Ibrahim Kalin...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Janga uchaguzi wa Rais Cote d'Ivoire jana Oktoba 31: Vituo havijafunguliwa wafuasi wa chama tawala RDR cha Rais Alassane Ouattara walishapiga kura. Kilio kilichosikika "ont déjà voté" (wameshapiga...
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Raia wa Algeria watapiga kura ya maoni leo kuhusiana na mapendekezo ya mabadiliko ya kikatiba ambayo upinzani unasema yatasaidia kuupa nguvu udikteta. Kura hiyo inakuja karibu miezi kumi na tisa...
1 Reactions
2 Replies
918 Views
Raia wa Marekani aliyekuwa ametekwa nyara nchini Niger ameokolewa katika operesheni ya kijeshi iliyotekelezwa na Kkosi Maalum cha Jeshi la Marekani (US Special Force) karibu na mpaka wa Nigeria...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Chanzo cha maandamano nchini Nigeria ni kuisukuma serikali ifute kitengo cha usalama cha SARS. Serikali ya Nigeria iliwasikiliza waandamanaji na ikatangaza kufuta hiyo agency. Ila naona...
16 Reactions
194 Replies
17K Views
14 September 2020 Muscat , Oman Sultan wa Zanzibar Jamshid Bin Abdullah hatimaye akanyaga ardhi ya Oman Sultan wa mwisho wa Zanzibar Jamshid Bin Abdullah mwenye umri wa miaka 91 ameruhusiwa...
2 Reactions
6 Replies
7K Views
Kwa mujibu wa BBC hii imetokea Ufilipino. Askari polisi huyo ambaye sasa ni marehemu alikwenda kuzuia pambano haramu la kugombanisha majogoo, mmoja wa majogoo hao alikasirishwa na kitendo hicho na...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…