International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Nchi hiyo inafanya Uchaguzi leo ambapo inaelezwa kuwa, takriban watu 400,000 wameshindwa kujiandikisha kutokana na mapigano ambayo yamekuwa yakifanywa na Wanajihad Tishio la mashambulizi hayo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waziri wa Fedha, Adriano Maleiane amekanusha madai kuwa China inaweza kuchukua mali za nchi hiyo endapo kutakuwa na changamoto katika ulipaji madeni Amesema madai hayo hayana msingi na hakuna...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Yawezekana madai ya jimbo la Tigray nchini Ethiopia chini ya chama kikongwe cha uasi cha TPLF yakawa na mantiki katika kile wanachokitetea, hata hivyo hawana nguvu ya kupigana na serikali kuu ya...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
North Texas Food Bank distributed more than 600,000 pounds of food for about 25,000 people on Saturday, according to spokeswoman Anna Kurian. There were 7,280 turkeys distributed to families...
0 Reactions
2 Replies
923 Views
Tume ya kupambana na ufisadi nchini Sierra Leone imesema kwamba inaweza kutoa hati ya kukamatwa kwa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Ernest Bai Koroma, baada ya kukataa kufika mbele ya tume hiyo kwa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya saa sita usiku wa kuamkia leo, Uingereza imetoka rasmi kwenye muungano wa EU, ipo yenyewe sasa. Uingereza sasa ni mshindani dhidi ya mataifa ya EU, na baada ya mwaka mmoja kuanzia sasa...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Rais Donald Trump ametuma maombi akitaka sehemu ya kura za Jimbo la Wisconsin kuhesabiwa upya huku Timu yake ya Kampeni ikidai kuna mapungufu katika Kaunti za Milwaukee na Dane Katika maombi yao...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imeongeza adhabu kwa wanafamilia wanaofanya mauaji ya wanawake kama sehemu ya kufuata sheria za nchi za kiislamu. Serikali ya Falme za Kiarabu imesema itazuia...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Happy birthday to him Happy anniversary to the family Kwa niaba ya Makada wote Wazalendo Nchini Tanzania Namtakia kila la kheri Rais Mteule anaposherehekea siku yake muhimu ya kuzaliwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mexico inakuwa nchi ya nne duniani kurekodi vifo zaidi ya 100,000 vya COVID19 baada ya Marekani, Brazil na India Kwa mujibu wa takwimu za Chuo cha Johns Hopkins, taifa hilo limerekodi vifo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed amesema nchi hiyo ipo tayari kupokea maelfu ya wananchi wanaokimbia makazi yao Tigray kutokana na mapigano kati ya Jeshi na Vikozi vya Jimbo hilo. Mbali na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sio kila kinachotokea kwa binadamu hujulikana makusudio yake kwa haraka.Mwenyezi Mungu ana majeshi ya aina nyingi kuanzia vidudu visivyoonekana kwa macho kam vile virusi aina mbali mbali, Wako...
1 Reactions
1 Replies
865 Views
Kwa mujibu wa Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti magonjwa (CDC) Afrika, jumla ya visa vilivyorekodiwa hadi sasa ni 2,013,388 huku vifo zaidi ya 48,000 vikirekodiwa Mataifa ya Chad, Misri an Sudan...
0 Reactions
1 Replies
929 Views
Yugoslavia ilivunjika na kutoa Mataifa kutokana na makabila, naona Ethiopia ikienda mlengo huo. Ethiopia ina makabila makuu manne. Oromo ndiyo kubwa kama 35 asilimia wanafuata Amhara asilimia...
31 Reactions
177 Replies
19K Views
Kambi ya Duma imeunga mkono Muswada ambao unawapa Marais wa nchi hiyo na Familia zao kinga dhidi ya mashtaka ya jinai baada ya kuondoka madarakani. Chini ya Muswada huo, Rais wa zamani na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa majigambo makubwa juzi raisi Donald Trump wa Marekani alitangaza kutoka ikulu ya Marekani juu ya kurudishwa kwa uhusiano baina ya Israel na taifa la Sudan. Hata hivyo tangazo hilo limepingwa...
4 Reactions
37 Replies
4K Views
Zaidi ya Wafanyakazi 200 wa Facebook wamedai Kampuni hiyo inawalazimisha wasimamia maudhui kurudi ofisini licha ya hatari ya kupata maambukizi ya CoronaVirus. Wafanyakazi hao wanadai Kampuni hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza mwisho wa mlipuko wa 11 wa Ugonjwa wa Ebola nchini humo, ikiwa ni takriban miezi 6 tangu visa vya kwanza kuripotiwa. Mlipuko huo uliotokea Magharibi mwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Speaking while addressing war veterans in Washington, Trump warned other like minded dictators who want to die in power, that their time is up and its just a matter of time before they face...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Wazayuni wavamia sehemu alipozaliwa Nabii Issa (Yesu) wawapiga mabomu Wakristo (+ Picha, Video)  Bila ya kujali utukufu wa eneo alipozaliwa Nabii Isa AS, kwa mara nyingine jeshi la utawala wa...
1 Reactions
107 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…