International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amesema majeshi ya nchi hiyo yamechukua udhibiti wa mji mkuu wa jimbo la Tigray, Mekelle. Abiy ametangaza kuwa serikali ya shirikisho sasa imechukua udhibiti...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wiki chache zilizopita Nigeria ilikumbwa na maandamano ya kupinga ukatili wa jeshi la polisi maarufu kama #EndSARS ambapo Jeshi la Nigeria lilituhumiwa kuua watu. Bunge la UK Liliazimia kuwawekea...
1 Reactions
3 Replies
790 Views
The United States on Friday announced economic sanctions on Chinese and Russian companies that Washington said had supported the development of Iran’s missile programme. The four firms, accused...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Baadhi ya wananchi wa Rwanda wa maeneo hatarishi wahamishwa na kupatiwa nyumba za kisasa +SAUTI Nov 26, 2020 17:08 UTC PAKUA Hatimaye serikali ya Rwanda imeafikiana na kundi la wananchi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Angalia jinsi maghorofa mazuri na marefu nchini Dubai yalivyoporomoshwa kitaalamu hapo jana katika kipindi cha sekunde 10 tu. Majengo hayo ni mkusanyiko wa Mina Plaza ambayo yapo eneo la bandari...
1 Reactions
4 Replies
864 Views
Mtoto wa Kike wa miaka 17 aliyefanya vizuri zaidi kwenye Mitihani ya Elimu ya Secondary Nchini Nigeria kwa kupata alama A1 katika masomo yote kutoka Shule yake ya West African Seniour School...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Amadi ambaye aliandika vitabu maarufu kama vile The Concubine,Isiburu,Sunset in Biafra,Peppersoup na The Road to Ibadan alifariki siku ya Jumatano mwendo wa saa tisa,wiki moja moja baada ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Maandamano yanafanyika nchini Ufaransa katika maeneo kadhaa hii leo. Hayo ni baada ya serikali kutangaza sheria mpya ambayo itazuia watu kutumiana picha za maafisa wa polisi wanapowakamata watu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naibu katibu mkuu, Ofisi ya Rais, Utafiti na Mahusiano ya Umma nchini Namibia Ben Nangombe amesema, Namibia imeidhinisha malipo ya kwanza ya dola za Namibia milioni 26.4 ikiwa ni sawa na dola...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tangu mwaka 1991, Serikali ya Ethiopia imetokana na makundi ya kikabila, huku makundi makubwa yakiwakilishwa na viongozi wa Vyama kutoka Majimboni Hii ilifanya Vyama kuwa na nguvu kwa watu kuliko...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Ni baada ya Balozi wa UN kudumu wa Israel Gilad Erdan kuliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwa Jeshi la Iran na wafuasi wake waondoke haraka sana nchini Syria kwani itawaangamiza wote...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mimi ni Mfaransa na nchini yangu Askari Polisi walipiga mtu mweusi na walimsema "Sale nègre" (Mtu mweusi chafu). Video imetazamwa zaidi ya mara 10 Milioni kwenye Twitter Marejeo :
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Brazilian President Jair Bolsonaro said on Thursday evening that he will not take a coronavirus vaccine, the latest in a series of statements he has made expressing skepticism toward coronavirus...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Tume hiyo imesema kuwa imepokea baadhi ya malalamiko kutoka kwa wagombea wa urais na pia kuona taarifa zavyombo vya habari kwamba polisi inazuia na kuvuruga kampeni zao . Wakati huo huo katika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Netanyahu na Pompeo wafanya ziara ya siri kwa wakati mmoja huko Saudia Nov 23, 2020 12:44 UTC Duru za Kizayuni zimeripoti kuwa, Waziri Mkuu wa utawala huo Benjamini Netanyahu na baadhi ya...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ameiambia jumuiya ya kimataifa isiingilie mzozo wa jimbo la Tigray, katika kipindi hiki ambacho muda wa mwisho wa masaa 72 aliowapa waasi katika jimbo hilo...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Ifuatayo ni orodha ya nchi 7 zinazoongoza kwa usawa wa kijinsia serikalini. Rwanda Rwanda, ambayo ni nchi ndogo ya Afrika Mashariki, inajivunia kwa sifa kubwa ya kuwa na idadi kubwa ya wanawake...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
KCB Group has signed a deal with London-listed financial services firm Atlas Mara Limited to buy stakes in it's banking units in Rwanda and Tanzania, its chief executive Joshua Oigara announced on...
1 Reactions
2 Replies
868 Views
Mahakama ya Uturuki imewahukumu kifungo cha maisha jela watuhumiwa 500 kwa kufanya jaribio la mapinduzi dhidi ya Rais Recep Tayyip Erdogan mwaka 2016. Fethullah Gulen, Mhubiri wa Kiislam Marekani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jun 01, 2019 04:02 UTC Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ametahadharisha kuwa vita dhidi ya Iran havitaishia katika mipaka ya Jamhuri ya Kiislamu bali vitawasha moto katika eneo zima...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…