Rwanda: Wananchi wahamishwa maeneo hatarishi na kupewa nyumba za kisasa

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,990
17,877
Baadhi ya wananchi wa Rwanda wa maeneo hatarishi wahamishwa na kupatiwa nyumba za kisasa +SAUTI

Nov 26, 2020 17:08 UTC

PAKUA

Hatimaye serikali ya Rwanda imeafikiana na kundi la wananchi waliokuwa hapo awali wamekataa kuhamishwa kutoka maeneo hatarishi kwenda kwenye sehemu ambayo serikali ya nchi hiyo inawajengea nyumba za kisasa.

Wananchi hao ambao malalamiko yao yaliendelea kusikika kwenye vyombo vya habari vya ndani na nje ya Rwanda hatimaye watahama bila kupewa pesa taslimu lakini nyumba safi na za kisasa.

Screenshot_20201128-150624_1.jpeg
 
Tanzania yetu kuna nyumba "A" vikunai, B" Gezaulole ni miaka 5 sasa imepita zinazidi kuota mbawa tu yani mijumba ile halafu baada ya miaka 15 yatakuwa magofuli watch that scenario.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom