Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,010
- 9,875
Tangu mwaka 1991, Serikali ya Ethiopia imetokana na makundi ya kikabila, huku makundi makubwa yakiwakilishwa na viongozi wa Vyama kutoka Majimboni
Hii ilifanya Vyama kuwa na nguvu kwa watu kuliko Serikali ya Shirikisho. Makundi matatu makubwa nchini humo ni Oromo, Amhara na Tigray
Mwaka 2018, Waziri Mkuu, Abiy Ahmed aliunganisha vyama vyote, wa-Tigray ambao chama chao ni Tigray People’s Liberation Front (TPLF) walikataa na hawakuwa sehemu ya Serikali ya Shirikisho
Juni 2020, mchakato wa Uchaguzi ulisitishwa kutokana na COVID19 lakini TPLF walifanya Uchaguzi. Waziri Mkuu akatangaza kutotambua Uchaguzi huo na akataka kuutengua uongozi wa TPLF. Mwezi Novemba, Serikali ikatuma majeshi Tigray