International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mgombea wa Upinzani, John Mahama amemuonya Rais Nana Akufo-Addo kuhusu jaribio lolote la wizi, siku chache baada ya nchi hiyo kufanya Uchaguzi Mkuu Kuelekea kutangazwa rasmi kwa matokeo, wagombea...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema anavunja ushirikiano wa kisiasa baina ya muungano wa vyama vinavyomuunga mkono-CACH, na vile vilivyo upande wa mtangulizi wake, rais...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Ikiwa imebaki siku moja kabla ya uchaguzi mkuu nchini kufanyika. Tunataarifiwa mpaka sasa hakuna hta mtu mmoja aliyepoteza maisha, hakuna mgombea aliyeenguliwa na tume, hakuna vurugu zozote...
12 Reactions
43 Replies
4K Views
Afisa wa ngazi za juu wa shirika la kijasusi la mossad ameuawa usiku wakuamkia leo katika mji Tell aviv alipokua kwenye gari ghafla taa nyekundu ya kuongozea magari ikawaka na gari yake...
15 Reactions
75 Replies
9K Views
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umetahadharisha hapo jana kwamba mzozo wa kisiasa nchini humo uliochochewa na hatua ya rais Felix Tshisekedi kuuvunja muungano...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
In the opening ceremony of Africa - Europe foundation which was attended by various personalities from both continents, including the President of the Republic of Rwanda, Paul Kagame. President...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Watu 227 wamelazwa na mmoja amefariki dunia katika Jimbo la Andhra Pradesh kutokana na Ugonjwa ambao bado haujafahamika. Madaktari wamesema miongoni mwa dalili walizonazo wagonjwa hususan watoto...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Ripoti mpya ya taasisi ya kimataifa ya utafiti wa amani SIPRI yenye makao yake mjini Stockholm, SIPRI imeonyesha kuwa makampuni ya silaha ya China na Marekani yalilidhibiti soko la silaha...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Hello JF Wakili kibinafsi wa Rais Donald Trump, Rudy Giuliani, amepatikana na virusi vya corona na kwa sasa ana pokea matibabu hospitalini. Rais aliandika katika Twitter yake: “Nakutakia...
0 Reactions
1 Replies
673 Views
Hello JF Papa Francis ametoa msaada wa kiasi cha dola 121,000 (£90,000) kusaidia wahanga wa mashambulio ya kigaidi yaliyotokea Kaskazini mwa Msumbiji katika jimbo la Cabo Delgado. Msaada huo...
2 Reactions
1 Replies
708 Views
Chama kikuu cha upinzani nchini Sudan Kusini kimetenga asilimia 40 ya nafasi za lazima kwa wanawake, kiongozi wake Riek Machar amesema. Chama cha Sudan People’s Liberation Movement katika...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello JF: Ripoti mpya ya taasisi ya kimataifa ya utafiti wa amani SIPRI yenye makao yake mjini Stockholm, SIPRI imeonyesha kuwa makampuni ya silaha ya China na Marekani yalilidhibiti soko la...
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Brightone Chonjo Snowden amuomba Trump amuachie Julian Assange kizuizini nchini United Kingdom kabla hajahukumiwa. Snowden ni mdukuzi (Hacker) ambaye alikuwa ameajiriwa na serikali ya marekani...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo unafanyika leo na Tume ya Uchaguzi imetoa rai kwa wananchi kudumisha amani kabla ya baada ya zoezi la kupiga kura Zaidi ya watu Milioni 17 wanatarajiwa kupiga kura...
1 Reactions
0 Replies
822 Views
Inakuwaje! Extraordinary detail about Fakhrizadeh's final moments have been revealed by Iranian journalist Mohamad Ahwaze who claims he received leaked information from the country's authorities...
3 Reactions
45 Replies
5K Views
Wananchi wamepiga kura katika Uchaguzi wa Wabunge ambao unatarajiwa kumpa Rais Nicolas Maduro utawala wa muhimili pekee ambao bado unatawaliwa na upinzani. Vyama vingi vya upinzani vikiongozwa na...
0 Reactions
1 Replies
883 Views
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Saudi Arabia mwanamfalme Faisal bin Farhan amesema kurejeshwa kwa uhusiano na Israel ni lazima kuambatane na kuundwa kwa taifa la Palestina iliyo na mamlaka...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden ameteua timu ya Wanawake pekee kusimamia mawasiliano ya Ikulu ya Marekani (White House), hatua ambayo imetajwa kuwa ya kihistoria katika nchi hiyo. Biden pamoja...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
South Africa Philani NombembeJournalist 06 December 2020 - 12:04 The double-cab bakkie was reported to have been stolen at a garage in Sandton, Johannesburg. Image: SAPS Police at the...
1 Reactions
0 Replies
597 Views
Waziri wa Habari, Osman Abukar Dubbe ameituhumu Kenya kuwa na mpango wa kutaka kuidhoofisha Somalia wakati nchi hiyo ikielekea kufanya Uchaguzi Mkuu. Amesema wanaiheshimu Kenya na ujirani wao...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…