International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wajumbe wakiwa wamepiga kura siku ya Jumatatu, walimpa rasmi Joe Biden zaidi ya kura 270 za uchaguzi zinazohitajika kuthibitisha ushindi wake wa uchaguzi. Pamoja na kura 55 za wajumbe kutoka...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Marekani imeiondoa rasmi Sudana katika orodha ya wafadhili waugaidi, kwa mujibu wa ubalozi wake mjini Khartoum. "Muda wa ilani ya siku 45 iliyowasilishwa kwa bunge la Congress umepita na Waziri...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
WASHINGTON - With the casting of their Electoral College votes Monday, electors formally gave Joe Biden more than the 270 electoral votes needed to certify his election victory. With Hawaii’s...
0 Reactions
5 Replies
786 Views
DC officials say four people have been transported to the hospital in critical condition following a stabbing involving protesters. Metropolitan police have made at least 23 arrests as sporadic...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Maafisa wa Marekani wamesema chanjo ya virusi vya corona iliyotengenezwa na kampuni mbili za Pfizer na BioNTech itaanza kutolewa kwa mara ya kwanza kesho Jumatatu siku kadhaa tangu matumizi yake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Daktari Mohsen Fakhrizadeh ambae anasimamia masuala ya Nyuklia Iran, Ameuawa mapema leo baada ya gari aina ya nissan fuga alilokuwa amepanda kupandikizwa bomu na kupigwa shaba kadhaa na mtu...
12 Reactions
179 Replies
20K Views
The Government of Rwanda is set to acquire the coronavirus vaccine in the first quarter of 2021, according to the Minister for Health Dr Daniel Ngamije. Ngamije was appearing on the national...
1 Reactions
0 Replies
569 Views
Mwanaume aliyemuua binti yake karibu miaka 20 iliyopita amekuwa mfungwa wa pili Marekani kuuawa Kifo cha Alfred Bourgeois kwa sindano siku ya Ijumaa kinakuja baada ya Brandon Bernard kuuawa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema kuwa wamepata chanjo bilioni 1 kwa ajili ya nchi za kipato cha chini na cha kati. Ghebreyesus alifanya...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema hii leo kwamba sserikali kuu na zile za majimbo wamekubaliana kuhusu rasimu ya mapendekezo ya kuweka hatua kali za kujaribu kudhibiti wimbi la maambukizi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Pigo jingine kwa Israel; India yavunja mkataba wa kijeshi na utawala wa Kizayuni Serikali ya India imevunja mkataba wa kijeshi wenye thamani ya dola milioni 500 kati yake na utawala wa Kizayuni...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Maelfu ya wakimbizi waliokimbia kwenye kambi zao katika jimbo la Tigray nchini Ethiopia, baada ya kambi zao kushambuliwa kwenye mapigano baina ya majeshi ya serikali na waasi wa kundi la TPLF...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kabla hawajamaliza Msiba mkubwa wa Mohsen Fakhrizadeh Masikini wanywa Damu Iran wamepatwa na Msiba Mwingine Nchinii Syria baada ya Kamanda wao Mkubwa Muslim Shahdan kuuliwa na Ndege ndogo isiyo na...
2 Reactions
55 Replies
6K Views
Bunge jipya la Kuwait litakuwa na wanaume pekee baada ya wanawake wote waliogombea kushindwa kwenye uchaguzi wa Jumamosi, hii ikiwa ni baada ya matokeo rasmi. Takriban wagombea 326 katika taifa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanawake wa dunia ya leo ambao wanapigania "haki" zao wamekuwa wakisema "mwili wangu nina haki nao na chaguo langu".My body,my right my choice. Kwamba wasiingiliwe maamuzi yao pale wanapotaka...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Polisi nchini humo wametoa hati ya kukamatwa kwa zaidi ya Maafisa 40 wakiwemo waliotumikia Jeshi zamani, wakihusishwa na mapigano yaliyoibuka katika Jimbo la Tigray. Miongoni mwa watakaomatwa ni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mahakama Kuu ya Nchi hiyo imekataa jaribio la kutotambua matokeo ya Uchaguzi Mkuu katika Majimbo manne, licha ya Rais Donald Trump kushinikiza suala hilo. Kesi hiyo iliyowasilishwa wiki hii...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Iran yazindua kombora jipya la balestiki lifikalo umbali wa kilomita 700 baharini Kombora jipya la balestiki la baharini lililoundwa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC liitwalo...
2 Reactions
42 Replies
6K Views
Qasem Soleimani, Jenerali wa vikosi vya kikurdi vinavyoungwa mkono na Iran, ameuawa na vikosi vya Marekani nchini Iraq. Pentagon imethibitisha kuwa aliuawa kufuatia "amri ya rais". Hayo...
18 Reactions
692 Replies
72K Views
Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo amechaguliwa kuongoza nchi hiyo kwa muhula mwingine. Amepata 51.6% ya kura zote huku mpinzani wake, John Mahama akipata 47.4% Mahama ambaye alikuwa Rais kuanzia...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…