Aiseee huu mtambo sio poa!! Dude linajulikana kama Khorramshahr-5 hili dude ni hatari lina mlipuko mkubwa kuliko hata yale madude ya Bunker buster ya US
Iran is preparing to test the heavy...
Kwa kifupi ni kwamba huko Ulaya kwa sasa karibia kila nchi kuna Left vs Right
Vyama vya left vinapenda kuacha mipaka wazi, mfano spain, Ufaransa, Uingereza, wanaongozwa ni left wenye madaraka...
Katika taarifa, Hamas ilithibitisha kuwa inakubaliana na Awamu ya 2 ya mfumo wa kusitisha mapigano, lakini inasisitiza kuwa itaacha tu silaha zake nzito - ikimaanisha roketi, ATGM n.k. - baada ya...
Nimekuwa nikiona kila mahala huko mtandaoni, watu wanauliza kwa kebehi, eti kwanini Iran anashambulia nchi karibia zote hapo Mashariki ya kati, lakini hashambulii Israel!?
Hili ndio swali...
Baada ya kuona mambo yamebadilika na wafadhili wao wakikumbwa na changamoto za kifedha, Hamas sasa wanaonekana kulegeza msimamo. Afisa wa kundi hilo anayehusika na mazungumzo, Ghazi Hamad, amesema...
Jabali wa vita, nguli, mwamba Benjamin Netanyahu Bibi tayari kishatua ndani ya ikulu ya marekani, tayari kwa mazungumzo kabambe na Trump.
Netanyahu alisafiri Jana kwenda marekani kwa ajili ya...
Ule ubishani uliokuwepo humu Kwa muda mrefu hatimaye Leo umepata jawabu
Waziri wa ulinzi wa Israel - Israel Katz anasema kuwa mashambukizi haya yanayoendelea huko Iran ni kuwa marekani wanatumia...
Ungana nasi kwa kutazama video hii kufuatilia mguu kwa mguu toka wakiwasili jijini Sao Paolo Brazil wakijifanya raia wa Angola ktk utalii Brazil kisha wanaanza safari kwenda Canada.
Safari hii ya...
Wadau hamjamboni nyote?
Wakati Marekani ikiendelea na mashambulizi ya angani dhidi ya Wahouthi wa Yemen, uchambuzi wa AP wa picha za satelaiti zinaonyesha jeshi la Marekani limepeleka ndege 4...
Israeli imefanya mfululizo wa mashambulizi ya anga kote kaskazini na kati mwa Ukanda wa Gaza jioni hii na usiku wa leo baada ya kutoa maonyo ya uokoaji kwa maeneo kadhaa.
Mashambulizi yalilenga...
Wanaukumbi.
Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran:
-Tunasubiri uwepo wa majeshi ya Marekani kusindikiza meli za mafuta kupitia Mlango wa bahari wa Hormuz
- Tunawakumbusha Wamarekani juu ya...
Ujumbe ndio huo aliye kuwa anawazuia wasifanye majaribio wamemuwa sa walicho enda kushambulia Iran asiwe nacho kisha kuwa Nacho.
Trump na Netanyahu watajuta kumuwa Ayatollah Ali Khomen...
HARARE – Zimbabwe is on alert ahead of planned demonstrations and stay-away actions scheduled for Friday, July 31, with organisers calling for nationwide protests over political and governance...
Wanajeshi wa Israeli kutoka Kitengo cha 91 wanaendelea na operesheni kusini mwa Lebanon ili kupata na kuharibu maficho ya silaha za Hezbollah yaliyosalia ndani ya eneo la usalama, huku wanajeshi...
Katika operesheni ya kihistoria iliyoongozwa na Shirika la Kizayuni Duniani (WZO), mabaki ya babu na nyanya wa Theodor Herzl, Shimon Leib Herzl na Rebecca Herzl, yalifukuliwa Jumanne kutoka eneo...
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alisema kwamba mkutano aliofanya na Rais wa Marekani Donald Trump ulikuwa mmoja wa mikutano bora zaidi ambayo wamewahi kuwa nayo
Huko nyuma Iran alikuwa anasubiri Marekani ashambulie, ili na yeye ajibu mashambulizi. Alikuwa anafanya mbinu za kuvizia AKA kutegea.
Ila ghafla sana naona Waajemi wamebadili mipango, sasa hivi...
Ebrahim Zolfaghari, msemaji wa Makao Makuu ya Khatam al-Anbiya (Kamati Kuu ya Jeshi la Iran):
Trump alitangaza kwamba meli zilizoharibiwa wakati wa vita dhidi ya Iran zitalipwa kupitia mali za...
Jana , IDF ilishambulia katika eneo la Khan Yunis kusini mwa Gaza na kumuangamiza gaidi Muhammad Khalil Muhammad Aslam, kamanda wa kikosi cha Nukhba katika shirika la kigaidi la Palesyin Islamic...