International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wasafishaji wa India wanaepuka ununuzi wa mafuta ya Urusi kwa usambazaji mnamo Aprili na wanatarajiwa kukaa mbali na biashara kama hizo kwa muda mrefu, vyanzo vya kusafisha na biashara vilisema...
2 Reactions
16 Replies
376 Views
Ukweli ni kwamba uwezo wa Iran kivita unapaswa kulinganishwa na vinchi kama UAE, Egypt, Palestine na vinchi vingine vya kipuuzi.
10 Reactions
81 Replies
1K Views
Trump na Vice presdent wa USA wanasema hivi viongozi karibu wote wa duniani wanatamani kumpigia Simu Trump. Wengi wao wakipigiwa simu na Trump wanapokea hata Kim Jong Un wa North Korea, lakini...
6 Reactions
20 Replies
764 Views
Palipo pinda yeye anapanyoosha,ni mpenda haki,hataki mambo ya kipumbavu...nk huyo president ni Genius.
11 Reactions
32 Replies
597 Views
Viongozi wa Hamas, Khaled Mashal na Muhammad Ismail Darwish wamekaa nchini Doha na Ali Larijani, afisa mkuu wa usalama wa Iran. Niambie marafiki zako ni akina nani, nami nitakuambia ajenda yako.
3 Reactions
9 Replies
235 Views
Huyu jamaa yeye hataki Iran na Marekani wazungumze mgogoro uishe ,yeye anachotaka ni kuivamia Iran sasa kwenye kuivamia Iran yeye pekee yake Netanyahu hawezi kuvamia anataka kampani na Marekani...
6 Reactions
25 Replies
597 Views
  • Featured
Dalitso Lungu ambaye ni mtoto wa aliyekuwa rais wa Zambia amepoteza magari 79 na mali zisizohamishika 23 baada ya kushindwa kesi iliyokuwa ikimkabili. Kimsingi mahakama ilithibitisha pasi na shaka...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Africa is rapidly positioning itself as a global leader in solar energy growth, with installed solar capacity expanding at a pace unmatched in many other regions. While solar adoption has slowed...
1 Reactions
1 Replies
212 Views
Angalia! ~ Nchi yetu ni kubwa mara kadhaa kuizidi. Tanzania ina kilomita za mraba 945,087 wakati Israel ina kilomita za mraba 22,145 tu. ~ Sehemu kubwa ya ardhi ya nchi yetu inafaa kwa kilimo...
10 Reactions
63 Replies
3K Views
Viongozi wa Hamas, Khaled Mashal na Muhammad Ismail Darwish wamekaa nchini Doha na Ali Larijani, afisa mkuu wa usalama wa Iran. Niambie marafiki zako ni akina nani, nami nitakuambia ajenda yako.
1 Reactions
2 Replies
93 Views
Wakuu, Nimekutana na video hii ya wabunge wa Opposition wakiwa wanapigana na wabunge wa chama tawala kwenye bunge la Uturuki Kwenye hii video wapinzani walikuwa wanamzuia Akin Gurlek ambaye...
3 Reactions
9 Replies
357 Views
Wadau hamjamboni nyote? Ni suala muda Trump baadaye alithibitisha kwamba baadhi ya wafanyakazi wa Marekani wanahamishwa kutoka Mashariki ya Kati "kwa sababu inaweza kuwa mahali hatari."...
4 Reactions
91 Replies
4K Views
  • Featured
Februari 5, 2026 Rais wa Jamhuri ya Congo, Denis Sassou N’guesso, alitangaza kuwa atagombea katika uchaguzi wa urais utakaofanyika Machi 15, 2026 hatua inayoweza kuendeleza utawala wake wa miongo...
8 Reactions
26 Replies
1K Views
Mwanaume mmoja Raia wa Nchini Uturuki anayefahamika kwa jina la Mehmet Bilal C, amepata dola milioni 2.5 ambazo ni sawa na bilioni 6.3 za Kitanzania ndani ya miezi mitano kwa kuuza maji feki ya...
7 Reactions
55 Replies
3K Views
Southern Africa continues to make its mark globally, according to the latest Times Higher Education World University Rankings 2026, which assessed 2,191 universities in 115 countries. Here are...
1 Reactions
1 Replies
387 Views
Baraza la Mawaziri la Usalama la Israeli liliidhinisha hatua madhubuti za kisheria za kuimarisha utawala wa Israeli huko Yudea na Samaria: ✅ Imefuta sheria ya zamani ya Jordan iliyowapiga...
2 Reactions
26 Replies
447 Views
Kulingana na uchunguzi wa Al Jazeera, mashambulizi ya mabomu ya Israeli huko Gaza yamesababisha miili ya Wapalestina 2,842 kutoweka kwa kuyeyuka na kuacha mabaki ya damu na mifupa pekee. Ripoti...
0 Reactions
15 Replies
296 Views
Mara ya mwisho kwa PRC kupigana vita ilikuwa mwaka 1979, na ulikuwa ni mgogoro mdogo sana kule Vietnam. China imekuwa ikijificha nyuma ya kivuli cha soft power na propaganda, lakini inapokuja...
15 Reactions
137 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…