Kwa taarifa yako hamas sio magaidi,hao wanapigania uhuru wa nchi yaoViongozi wa Hamas, Khaled Mashal na Muhammad Ismail Darwish wamekaa nchini Doha na Ali Larijani, afisa mkuu wa usalama wa Iran.
Niambie marafiki zako ni akina nani, nami nitakuambia ajenda yako.
Doha ni capital city sio nchi . .wamekaa nchini Doha
Aliyekuambia Doha ni nchi nani?? Mbona hata Mimi niko Dodoma!!Doha ni capital city sio nchi
Chama cha ki siasa kinatawala wapi?Hamas ni chama cha kisiasa na chama tawala kilichochaguliwa na Wapalestina...
Kama Israel iliamua kuongea na Magaidi wewe Mwarabu-koko ni nani hata upinge?Kama Hamas ni magaidi ilikuwaje Israel ika negotiate na magaidi na kuruhusu mateka wa kipalestina zaidi ya 2000 kuwaachia kwenda Palestine?
Hiyo sera ya Wayahudi not negotiating with terroris organization imeandikwa wapi na sisi tuione??Sera ya Israel ni 'not negotiating with terrorist organizations,' Hivyo Israel inatambua fika Hamas sio magaidi.. ahsante.
Duh, hujasoma huko juu umeandika Doha ni nchi..Aliyekuambia Doha ni nchi nani?? Mbona hata Mimi niko Dodoma!!
Chama cha ki siasa kinatawala wapi?
Kama Israel iliamua kuongea na Magaidi wewe Mwarabu-koko ni nani hata upinge?
Ulivyo mjinga Unaongelea wafungwa 2,000 wa kipalestina waliofungwa kwa uhalifu huko Israel na kwa aibu huwezi kuongelea kuachiwa kwa Mateka waliotekwa na magaidi hao Oct 07,2023 .
Hiyo sera ya Wayahudi not negotiating with terroris organization imeandikwa wapi na sisi tuione??
Nilitarajia utatuwekea hapa wote tuone kumbe hata wewe unatumika tu kueneza uongo na chuki dhidi ya Israel!!! Pole sana!!Hao sio wafungwa wa Kipalestina ni mateka... mateka 2000 waliachiwa... nenda ka google kuhusu sera ya Israel kuto negotiate na terrorists..
Hamas ni chama cha kisiasa kinachopigania uhuru wa Palestine.Viongozi wa Hamas, Khaled Mashal na Muhammad Ismail Darwish wamekaa nchini Doha na Ali Larijani, afisa mkuu wa usalama wa Iran.
Niambie marafiki zako ni akina nani, nami nitakuambia ajenda yako.