Raia kutoka nchi 50, zikiwemo 30 za Afrika, watakabiliwa na amana za usalama za hadi dola 20,000 za Marekani wakati wa kuomba visa fulani za biashara na utalii chini ya programu ya kudumu ya...
Jana IDF ilishambulia kusini mwa Gaza na kumuua gaidi Salem Jamal Abd al-Rahman Abu Labad, kamanda wa seli ya Hamas Nukhba. Gaidi huyo alijipenyeza Kibbutz Nir Oz wakati wa mauaji ya Oktoba 7...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inatarajia kufanya kuwa wa kudumu mpango wa majaribio unaowataka raia wa mataifa 50, mengi yakiwa ya Afrika, kutoa dhamana kubwa wanapoomba viza, huku gharama...
Mahakama ya Korea Kusini imemuamuru bilionea wa teknolojia na Mwenyekiti wa SK Group, Chey Tae-won, kumlipa aliyekuwa mkewe, Roh So-yeong, won bilioni 944, sawa na takribani dola milioni 640...
YONI NETANYAHU ALIHESHIMIWA ENTEBBE—MIAKA 50 BAADAE
Sanamu ya shaba ya Luteni Kanali Yoni Netanyahu sasa imesimama katika kituo cha zamani cha Uwanja wa Ndege wa Entebbe, ikizinduliwa katika...
Ndo ile ukisikia adui yako kawa rafiki yako ndio hii sasa,
Baghdad, Iraq
Ni wanajeshi 12 miongoni mwa askari 551 amboa walijulikana kama "Super twelve' walipewa jukumu la kumlinda raisi Saddam...
Nadhani Washauri wa Trump hawakufanya Tathmini ya kutosha kuingia vitani na Iran.
Vita vilipochanganya na Marekani alipoanza kupoteza akaenda Kumuomba RAIS wa china asimuizie silaha Iran,Xi...
Mgogoro wa Iran
Kikosi cha uokoaji cha Marekani kiliacha ndege mbili aina ya MC-130J na helikopta nne aina ya MH-6 Little Bird ndani ya Iran baada ya usafiri huo kuzama kwenye mchanga laini wa...
Zimbabweans seeking to travel to the United States will now have to apply for visas in South Africa after the U.S. Department of State moved routine visa processing from Harare to regional visa...
Zimbabwe’s long history of street protests faced another test on 31 July, when activists called for nationwide demonstrations against Constitution Amendment Act No. 3 — a controversial law that...
Iran imewanyonga raia wake wawili, baada ya kutuhumiwa kwa kutuma taarifa nyeti za kijeshi pamoja na location za maeneo ya kiusalama kwenda Israel. Inadaiwa kuwa taarifa hizo zilitumwa wakati wa...
Kila taifa lina wakati mmoja ambao linaamua kuwekeza kwenye kesho badala ya kuendelea kuboresha jana. Rwanda inaonekana kufikia hatua hiyo. Uamuzi wa kuzima mtandao wa 3G ifikapo 2027 hauhusu...
Marekani na Israel zilianzisha mashambulizi dhidi ya Iran siku ya Jumamosi, huku shambulio la kwanza likiripotiwa kutokea karibu na ofisi za Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei.
Vyombo...
Tathmini mpya za wataalamu wa masuala ya ulinzi wa Center for Strategic and International studies (CSIS) zinaonyesha kuwa Marekani imetumia zaidi ya asilimia 65 ya makombora yake ya Patriot...
My Take
Niliwahi sikia vijiweni kwamba hii kitu ni dili sana kumbe Iko live Duniani kwamba inatumika kama tiba za magonjwa mbalimbali ikiwemo kupunguza uzee.
Mamlaka nchini Pakistan zinachunguza...
Concerns have resurfaced over allegations that some poultry farmers are misusing antiretroviral (ARV) drugs by mixing them into chicken feed to speed up growth.
The practice, which has been...
Kamanda mkuu wa jeshi la Marekani nchini Ulaya, Jenerali Alexus Grynkewich, ameionya Pentagon kwamba Jeshi la Wanamaji la Marekani linaweza hivi karibuni kushindwa kuendelea kuilinda Israel dhidi...
Mgogoro kati ya Iran na Israel umechukua sura mpya ya hatari mwezi huu wa Juni 2025, ukibeba historia ya chuki ya muda mrefu, mashambulizi ya maneno, na sasa mashambulizi ya moja kwa moja.
Chanzo...
Wana jamvi hamjamboni?
Kunazo tarifa lukuki zikitokea Iran ya Madale kuwa, Tayari huko vita vya Beberu mkuu na Iran ya wairan wanaouumia ukiachana na wairan wa Miswe, eti viko mwishoni mwishoni...