International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vimeripoti kwamba binti yake Khamenei, mkwe wake wa kiume, mjukuu wake na mkwe wake wa kike wameuawa. Kwa mujibu wa taarifa za awali, vifo hivyo vinadaiwa...
1 Reactions
10 Replies
332 Views
TAARIFA MPYA: Maafisa wa Israel wamesema jeshi linajaribu kuangusha utawala wa Iran kwamba linalenga viongozi wote wa Iran wa kisiasa na kijeshi wa zamani, wa sasa, na wa baadaye,’ kwa mujibu wa...
3 Reactions
18 Replies
405 Views
Anasema Viongozi wote wa Nchi mpaka mda huu wako salama na Ayatollah Alli Khamenei anaongoza vikosi katika uwanja wa vita.
2 Reactions
9 Replies
306 Views
Jukwaa hili maarufu la nyuzi za kimataifa hasa vita zinazotokea na zilizotokea mmepotezea vita ya Pakistan na Afghanistan?
3 Reactions
15 Replies
346 Views
Mkumbuke Wamarekani ndio waasis wa HAKI SAWA KWA WOTE. Ule uchaguzi wao ulikuwa ni kuchagua kati ya nyanya mbili mbovu. Wao wakaona bora wachague atleast yenye afadhali maana washaonja ladha...
11 Reactions
17 Replies
586 Views
Iran, Hamas, Hezbollah, Isis, Houthi, huwa wanafurahi sana kukiwa na rais wa Marekani aliyetokea chama cha Democrats kama Biden na walitegemea Kamala Harris ashinde. Waliposikia ni rais wa...
0 Reactions
3 Replies
231 Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuna chaguo kadhaa za kupunguza mvutano (off ramps) baada ya operesheni ya kijeshi ya Marekani nchini Iran. Amesema: “Naweza kuendelea kwa muda mrefu na...
0 Reactions
0 Replies
109 Views
Nikiwaambia kutwa hapa chezeni na Wote ila siyo Israel hamnielewi. Haya Waziri Mkuu wa Israel aliye katika Avatar yangu kathibitisha kuwa Shambulio lao kubwa katika Makazi ya Kiongozi wa Iran...
6 Reactions
14 Replies
498 Views
22 February 2026 Jalisco, Mexico Baada ya kutumia miaka mingi kukwepa mamlaka duniani kote, kiongozi mwenye nguvu wa genge la wahalifu wa Mexico aliuawa wakati wa operesheni ya kijeshi, maafisa...
10 Reactions
43 Replies
2K Views
Sasa Iran anazishambulia nchi za waarabu wenzake ikiwemo nchi yao ya Saudi Arabia yenye chimbuko la wavaa kobazi alafu unakuta mvaa kobazi wa Yombo Vituka au Bonyokwa anashangilia Iran kuwapiga...
6 Reactions
37 Replies
658 Views
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei, leo alitaka mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ili kuzuia kile ambacho Iran inakitaja kama mashambulizi ya anga...
2 Reactions
7 Replies
389 Views
Waarabu waliokutana na kisasi Cha Israel wamenyamaza kimya hawatamani hata kuwasikia Gaza kupitia magaidi wa hamas 7october walichokoza kidogo tu Israel Leo miji yao ni magofu wanagombea CHAKULA...
19 Reactions
61 Replies
2K Views
TAARIFA MPYA: Iran imesema itawafundisha Israel na Marekani somo la kihistoria,” ikisema itatoa jibu kali baada ya operesheni ya pamoja ya kijeshi ya Marekani na Israel dhidi yake, kulingana na...
5 Reactions
16 Replies
654 Views
Shida hapo ni kwa nini Iran hawezi kuthubutu kuishambulia Marekani direct, apige kombola pale New York.... Kama Iran anajiweza apeleke mashambulizi moja kwa moja pale California 😂😂😂😂 aache...
6 Reactions
35 Replies
659 Views
Wakuu Akizungumza muda mfupi baada ya shambulio kwa Iran, Donald Trump amesema kuwa Jeshi la Iran linatakiwa ku-surrender na kuacha kupambana kumtetea Ayatollah "To the members of the Islamic...
1 Reactions
12 Replies
518 Views
TAARIFA MPYA: UAE imesema mabaki ya kombora la Iran yaliyoanguka yameangukia maeneo ya makazi jijini Abu Dhabi, na kwamba shambulio hilo limekiuka mamlaka yake ya kikatiba; UAE imehifadhi haki ya...
4 Reactions
15 Replies
644 Views
TAARIFA MPYA: Italia imethibitisha kwamba kombora la Iran limepigia uwanja wa ndege unaotumika na vikosi vya Italia huko Kuwait, likisababisha uharibifu mkubwa kwenye reli ya ndege, lakini askari...
2 Reactions
6 Replies
358 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya AI ya Anthropic, Dario Amodei, amesema kampuni yake haitakubali shinikizo kutoka Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) kuondoa vizuizi vya usalama kwenye...
1 Reactions
5 Replies
221 Views
Imagine you are sitting at a table in Geneva. It’s late February, 2026. For months, the world has been holding its breath. You are there to negotiate the limits of Iran’s nuclear and missile...
0 Reactions
1 Replies
342 Views
https://www.instagram.com/p/DVQqDVZkm_4/?igsh=bW4xb3g0dWd1aDJv
0 Reactions
3 Replies
232 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…