🚨 𝗝𝗨𝗦𝗧 𝗜𝗡:
Iranian 🇮🇷 state media officially confirmed the deaths of several high-ranking officials following a joint U.S.-Israeli military operation that targeted military and government sites...
TUMEONDOA VIONGOZI 48 WA IRAN KWA SHAMBULIO MOJA Donald Trump
Rais wa Marekani Donald Trump ameiambia Fox News kwamba katika mashambulio ya pamoja ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, viongozi 48...
Israel inakuwa na specific target ambazo wanafikia kwa asilimia kubwa na kwa akili kubwa
Ndivyo ilivyotokea kwa Iran
Ofisa wa usalama wa Taifa na msaidizi wake
Makamanda wakuu wa jeshi...
Iran anapata tabu sasa kutokana na nchi za kiarabu kuiruhusu marekani na nchi za ulaya kuweka majeshi Yao katika ardhi ya nchi zao
Nimetafakari kama urusi angeruhusu Ukraine kuwakaribisha Hawa...
Serikali ya Beijing imetoa karipio kali na kuitaka USA na Israel kusitisha kushambulia Iran la sivyo itachukua hatua Kali kwa muda sahihi
Source : msemaji wa serkali ya Beijing
Katika kitu ambacho kimenitatiza na kunishangaza kwa muda mrefu ni namna Iran inavyo walinda viongozi wake wa usalama na kisiasa kwakweli inashangaza.
Inashangaza kuona hamas iliyoko km2 tu...
Kiongozi mkuu wa Hamas Ismail Haniyeh ameuawa nchini Iran, kundi hilo limesema.
Katika taarifa iliyotolewa leo siku ya Jumatano, Hamas imesema Haniyeh aliuawa kufuatia uvamizi wa Israel kwenye...
Waacheni washeherekee kwa sasa kwa kumuua Khamenei.
Na wa humu msheherekee vivyo hivyo
Hili linaenda kuleta madhara dunia nzima
Kisasi cha kuuliwa kwa khamenei kinaenda kuleta maangamizi...
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amelaani kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, akikitaja kitendo hicho kuwa ni “mauaji ya kinyama na ya kijanja” yanayokiuka maadili yote ya...
Kufuatia kuuawa kwa kiongozi wa Irani Dunia ya kiislamu imeonesha Umoja wa hali ya juu sana kulaaani tukio Hilo.
Wale waliokuwa wanasema shia siyo waislamu wameaibika!
Kwa mujibu wa gazeti la The Times of Israel, Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ameandaa mpango wa dharura wa kutorokea Urusi iwapo vikosi vyake vya usalama vitashindwa kuzuia ghasia za...
Mods, tafadhali naomba isomeke MASHAMBULIZI, na siyo MASHULIZI.
Siku zote nchi inapokuwa katika shida ya amani, chanzo huwa ni watawala waovu wenye kiburi. Israel na Marekani, wanajua kuwa:
1...
Kumekucha naona Iran wametishia kulipua makazi ya Allah endapo Saudi Arabia itafanya shambulizi lolote dhidi yake.
Sijui Allah atapona na kama akipona sijui atahamia wapi, au iran watajenga Al...
Iran amepanic balaa.. hadi sasa hajaweza kudondosha hata ndege moja ya israel kati ya ndege nyingi zinazofanya mashambulizi kwenye anga lake.
Hadi sasa hajaweza kuzamisha hata meli moja ya...
Katika shambulio la kushtukiza lililotokea leo, Jeshi la Anga la Israel (Israel Defence Forces) limefanikiwa kuwalenga viongozi wakuu wa Jeshi la Iran, kwa msaada wa ushirikiano na Jeshi la...
Oya, ina maana USA wameshindwa kurudia kile walichokifanya Venezuela kwa Iran?
Yaani wameshindwa kwenda na makomando wao wa Delta force kumnyakua Ayatollah kama walivyomnyakua Maduro?
Daaaaah!!!
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, baada ya mashambulizi ya anga ya pamoja ya Marekani na Israel kulenga makazi yake siku ya Jumamosi.
Trump...
Palestinian Authority imelaani mashambulizi ya Iran dhidi ya nchi za Kiarabu, ikisema hatua hiyo ni ukiukaji wa mamlaka ya nchi husika, inahatarisha usalama wa raia, na inaweza kuongeza zaidi...