Rais Umaro Sissoco Embalo amelivunja bunge la Guinea-Bissau na kusema uchaguzi wa mapema wa bunge utafanyika mwezi Desemba mwaka huu ili kutatua mzozo wa kisiasa uliodumu kwa muda mrefu.
Alisema...
Zoezi la kuondoa Wanajesh waliojeruhiwa linaendelea hivi sasa Azovstal. Ni baada ya Wanajeshi 10 wa Ukro-Nazi waliojisalimisha kufanya makubaliano na jeshi la Urusi kuwaondoa kwenye maandaki ya...
Kwa mujibu wa matokeo ya utafiti wa vijana wenye umri wa miaka 18 hadi 29 nchini Marekani yaliyotolewa Aprili 25 na Taasisi ya Siasa ya Kennedy ya chuo kikuu cha Harvard HKS, 36% ya waliohojiwa...
Kijana Payton Gendron, 18, ambaye aliwaua watu 13 kwa kuwafyatulia risasi, 10 kati yao wakiwa wenye rangi nyeusi inaelezwa alipanga kufanya mauaji zaidi kama angetoroka eneo la tukio Jijini New...
Rais wa Marekani, Joe Biden ametamka kuwa tukio la kuuawa kwa watu Weusi 10 kwa risasi lililotokea Buffalo, New York ni Ugaidi wa ndani uliosababishwa na dhana ya ubaguzi wa rangi.
Biden na...
Baada ya watu 10 kuuawa katika shambulio linalotajwa kuwa la kibaguzi huko Buffalo Jijini New York, Mamlaka zimesema Mtuhumiwa aliwekwa kizuizini mwaka 2021 na kufanyiwa tathmini ya Afya ya Akili...
Russia imefanya jaribio la kombora la nuclear, ambalo Rais wa Nchi hiyo, Vladmir Putin amesema kwamba litawafanya maadui wao kuacha kuwafikiria.
Jaribio hilo limefanyika miezi miwili tangu Russia...
Mwakilishi wa Vatican Nchini Jerusalem, Monsignor Tomasz Grysa ameijia juu Israel kwa kukiuka makubaliano ya miongo kadhaa ya kutetea uhuru wa kidini la mwaka 1993, baada ya kufanya vurugu katika...
Up to 16,000 Ukrainian militants fell into the “cauldron” near Severodonetsk and Lisichansk, - assistant to the head of the Ministry of Internal Affairs of the LNR
On the air of Channel 1...
North Korea 'inasemekana' imerusha leo hii kombora 'linalodhaniwa' ni la balistiki, ambalo limelipukia angani, muda mchache baada ya kurushwa. Hayo yamezungumzwa na South Korea.
Cheong...
Finland na Sweden kujiunga na Nato pengine hakutaleta "tofauti kubwa", kulingana na waziri wa mambo ya nje wa Urusi.
Akizungumza katika hotuba ya hadhara mjini Moscow, Sergei Lavrov anasema nchi...
Hakuna neno lingine ninaloweza kusema zaidi ya kusema yemedoda, kwani malengo ya kuharibu na kukwamisha usafirishaji wa silaha muhimu nchini Ukraine yemekwama. Silaha muhimu zitaendelea...
- Wanasayansi wa China wemeweza kutengeneza jua la bandia kwa ajili ya kuuzalisha umeme.picha[emoji116]
- Jua la bandia [ Artificial Sun ] hiki Ni kinu cha kuzalisha umeme kinachofanya kazi kwa...
Idara hii iliweza kuthibitisha pasi na shaka kwamba Russia itaivamia Urusi, japo ikakosea ama haikuwa na uwezo kujua muda Mrussi atakaotumia kuiteka Kyiv.
TaarifA iliyokuwepo ni Russia kumaliza...
Rais wa Marekani,Joe Biden ameviamru vikosi Vya jeshi la Marekani Kuingia Nchini Somalia. Hii Ni Baada ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Llyod Austin kumuomba Rais Biden kupeleka vikosi Vya Ardhini...
Hii imetokea baada ya Rais Joe Biden wa Marekani kusaini sheria mpya inayompa mamlaka ya kuharakisha usafirishaji wa vifaa vya kijeshi kwa Ukraine. Tafsiri yake ni kwamba hakutakuwa na hurasmu...
Mwanajamvi . Hivi unamjua huyo Eric Oslon Ambaye wa Rusi wa Tandale wanasema ni Mjeshi wa NATO alokamatwa Ukraine? Ni uongo
Huyo jamaa ni ;
- four star General, halafu was the tallest in the...
Zaidi ya mara moja Russia imekua ikitoa vitisho kwamba ,endapo Finland na Sweden wakijaribu kuchukua hatua za kujiunga na NATO atatembeza dozi,cha ajabu jamaa wameshaanza process za awali kabisa...
Mwanafunzi mzungu nchini Afrika Kusini amesimamishwa masomo kwa uchunguzi zaidi baada ya kushtakiwa kwa kukojolea mali ya mwanafunzi mweusi katika Chuo Kikuu cha Stellenbosch, ambapo anaweza...