Buffalo, New York: Mtuhumiwa mauaji ya watu 10 alilenga watu weusi

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Baada ya watu 10 kuuawa katika shambulio linalotajwa kuwa la kibaguzi huko Buffalo Jijini New York, Mamlaka zimesema Mtuhumiwa aliwekwa kizuizini mwaka 2021 na kufanyiwa tathmini ya Afya ya Akili alipotoa kitisho Shuleni

Payton Gendron (18) alijisalimisha Polisi baada ya kufyatulia risasi watu 13, ikielezwa 11 kati yao walikuwa Weusi. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amelaani mauaji hayo akisema ni itikadi kali ya ubaguzi wa rangi

Meya wa Buffalo, Byron Brown amesema Mtuhumiwa huyo alidhamiria kuua watu weusi wengi

======

A white teenager who killed 10 people in a racist attack at a western New York grocery store in a Black neighborhood had been taken into custody last year and given a mental health evaluation after making a threat at his high school, authorities said.

New details, including the previous threat, emerged on Sunday that provided a fuller portrait of the suspect, Payton Gendron, 18, and his assault on a Buffalo supermarket that authorities described as an act of "racially motivated violent extremism."

"The evidence that we have uncovered so far makes no mistake this is an absolute racist hate crime that will be prosecuted as a hate crime," Buffalo Police Commissioner Joseph Gramaglia told reporters on Sunday.

Gendron surrendered to police after Saturday's shooting of 13 people, 11 of whom were Black. He has been charged with first-degree murder - which carries a maximum penalty of life in prison without parole in New York - and has pleaded not guilty.

Authorities said on Sunday that Gendron had driven to Buffalo from his home several hours away a day before the attack to do "reconnaissance" on the area. On Saturday afternoon he drove to the Tops Friendly Market, where he commenced an assault that he broadcast in real time on the social media platform Twitch, a live video service owned by Amazon.com (AMZN.O).

Dressed in tactical gear, Gendron opened fire with a semi-automatic rifle that he had purchased legally, but then modified illegally. Authorities found two other guns - a rifle and a shotgun - in his car.

Gramaglia told reporters that Gendron had appeared on the radar of local law enforcement last June, when police detained him after he made a "generalized" threat at his high school. Gendron was given a mental health evaluation at the time, but was released after a day and a half.

New York Governor Kathy Hochul told ABC News on Sunday that an investigation would focus on what could have been done to stop the teenager, who appeared to have advertised a slew of violent, racist views online.

"I want to know what people knew and when they knew it," she said.

President Joe Biden and first lady Jill Biden will visit Buffalo on Tuesday, the White House said in a statement.

"Our hearts are heavy once again but our resolve must not waver; we must work together to address the hate that remains a stain on the soul of this nation," Biden said in a Twitter post.

A 180-page manifesto that circulated online, believed to have been authored by Gendron, outlined "The Great Replacement Theory" - a racist conspiracy theory that white people are being replaced by minorities in the United States and other countries.

Another document online that appeared to have been written by Gendron sketched out a to-do list for the attack, including cleaning the gun and testing the livestream.
A spokesperson for the Erie County district attorney's office declined to comment on the documents.

'I'M TERRIFIED'

On Sunday, several dozen community members held an emotional vigil for the victims outside the store, where Sharon Doyle, a 55-year-old security guard with Erie County Public Library, led a chant of "Black Lives Matter, my life matters."

"We all go in this Tops. I was scared to even go to Walmart last night," Doyle said. "I have to go to work tomorrow and I’m terrified."

Nearby, at the True Bethel Baptist Church, a reverend led a mournful service for a crowd of worshipers, including some family of the victims and some who had been at the store at the time of the shooting.

One was Charles Everhart Sr., 65, whose grandson Zaire Goodman, 20, worked at the store. Goodman was shot in the neck but survived.

"He was pushing the carts back to the store and he was one of the first to get hit," Everhart said.

The Buffalo shooting follows other racially motivated mass murders in recent years, including a Pittsburgh synagogue attack that left 11 dead in October 2018, and the Atlanta spa shootings in March 2021 in which a white man killed eight people, targeting Asians.

Stephen Belongia, the FBI special agent in charge of the bureau's Buffalo field office, said the attack would be investigated both as a hate crime and as an act of "racially motivated violent extremism" under federal law.

Hochul, meanwhile, said she was dismayed that the suspect managed to live-stream his attack on social media, which she blamed for hosting a "feeding frenzy" of violent extremist ideology.

"These outlets must be more vigilant in monitoring social media content," she said.

Social media and streaming platforms like Twitch, which said it removed the stream after less than two minutes, have grappled with controlling violent and extremist content for years.

"The user has been indefinitely suspended from our service, and we are taking all appropriate action, including monitoring for any accounts rebroadcasting this content," a Twitch spokesperson said.

Source: Reuters
 
First degree murder unamfunga maisha bado naona vi elements vya rasicism kwa mbali

Hii ilikuwa ni execution kabisa
 
Kwa sababu ya chuki, kijana Mzungu awaua kwa kuwapiga risasi watu 10 mjini Buffalo, Marekani

Katika mwendelezo wa vitendo vya ukatili wa mauaji ambavyo haviwezi kudhibitiwa tena nchini Marekani, kijana mmoja Mzungu mwenye umri wa miaka 18 amewaua kwa kuwapiga riasasi watu wasiopungua kumi na kuwajeruhi wengine watatu katika duka kuu moja la mji wa Buffalo, New York Marekani.

Aliyehusika na mauaji hayo ambayo maafisa wa polisi wamesema chanzo chake ni chuki dhidi ya watu wa asili na rangi zingine ni Payton S. Gendron ambaye ni mkazi wa eneo la Conklin.

Mara baada ya mauaji hayo, Gendron alikamatwa na kufikishwa mahakamani katika mahakama ya mji wa Buffalo, ambapo alikiri shtaka la mauaji na kuwekwa rumande hadi siku ya Alkhamisi kesi yake itakaposikilizwa.

Taarifa ya polisi imeongeza kuwa, Payton Gendron alisafiri kwa saa kadhaa hadi mtaa wa Jefferson lilipo duka kuu la Tops Friendly kwa lengo la kufanya shambulio hilo la kinyama.

Duka hilo liko kwenye eneo ambalo akthari ya wakazi wake ni Wamarekani weusi.

Mkuu wa polisi wa Kaunti ya Erie John Garcia amesema huo ni uovu mtupu ambao umesababishwa na chuki za ubaguzi wa rangi.

Eneo la tukio

Kwa mujibu wa maafisa wa polisi, akiwa amejizatiti kwa silaha nzito na kuvalia vifaa maalumu ikiwemo kofia ya helmeti, kifaa cha kuzuia risasi na kamera ya kurekodia mubashara unyama aliokusudia kuufanya, kijana huyo wa Kizungu aliwafyatulia risasi na kuwaua kwanza watu wanne nje ya duka hilo kabla ya kuingia ndani na kuendelea kuwafyatulia risasi wateja.

Taarifa ya polisi imeeleza kuwa watu wanne miongoni mwa waliouliwa walikuwa wafanyakazi wa duka hilo akiwemo mlinzi, na waliosalia walikuwa wateja.

Watu 11 miongoni mwa 13 waliouawa na kujeruhiwa katika shambulio hilo ni Wamarekani weusi na wengine wawili ni Wazungu.

Meya wa mji wa Buffalo Byron Brown amesema, hilo ni balaa baya zaidi kuwahi kutokea katika mji huo.

Wataalamu nchini Marekani wanasema, ukatili wa mauaji ya utumiaji silaha moto ni moja ya matatizo sugu ndani ya nchi hiyo na wanakiri kuwa vitendo hivyo sasa haviwezi tena kudhibitiwa.

4c0t16829ac60122q7b_800C450.jpg
4c0t0ce314d88f22q7a_800C450.jpg
 
Yule Mdada wa kwanza aliyepigwa risasi na huyo muuaji, dah! kweli mauti yanakuja muda wowote. Mwenyewe alikuwa anatembea hajui hili wala lile, kumbe alikuwa ana sekunde chache tu kabakisha.

Kuna sehemu yule muuaji kafika kamuona mtu kajificha, mwamba kashituka, muuaji akamuambia “sorry” akaachana nae akawafuata wengine. Yule mtu aliyejificha alikuwa Mweupe.
 
Kwa sababu ya chuki, kijana Mzungu awaua kwa kuwapiga risasi watu 10 mjini Buffalo, Marekani

Katika mwendelezo wa vitendo vya ukatili wa mauaji ambavyo haviwezi kudhibitiwa tena nchini Marekani, kijana mmoja Mzungu mwenye umri wa miaka 18 amewaua kwa kuwapiga riasasi watu wasiopungua kumi na kuwajeruhi wengine watatu katika duka kuu moja la mji wa Buffalo, New York Marekani.

Aliyehusika na mauaji hayo ambayo maafisa wa polisi wamesema chanzo chake ni chuki dhidi ya watu wa asili na rangi zingine ni Payton S. Gendron ambaye ni mkazi wa eneo la Conklin.

Mara baada ya mauaji hayo, Gendron alikamatwa na kufikishwa mahakamani katika mahakama ya mji wa Buffalo, ambapo alikiri shtaka la mauaji na kuwekwa rumande hadi siku ya Alkhamisi kesi yake itakaposikilizwa.

Taarifa ya polisi imeongeza kuwa, Payton Gendron alisafiri kwa saa kadhaa hadi mtaa wa Jefferson lilipo duka kuu la Tops Friendly kwa lengo la kufanya shambulio hilo la kinyama.

Duka hilo liko kwenye eneo ambalo akthari ya wakazi wake ni Wamarekani weusi.

Mkuu wa polisi wa Kaunti ya Erie John Garcia amesema huo ni uovu mtupu ambao umesababishwa na chuki za ubaguzi wa rangi.

Eneo la tukio

Kwa mujibu wa maafisa wa polisi, akiwa amejizatiti kwa silaha nzito na kuvalia vifaa maalumu ikiwemo kofia ya helmeti, kifaa cha kuzuia risasi na kamera ya kurekodia mubashara unyama aliokusudia kuufanya, kijana huyo wa Kizungu aliwafyatulia risasi na kuwaua kwanza watu wanne nje ya duka hilo kabla ya kuingia ndani na kuendelea kuwafyatulia risasi wateja.

Taarifa ya polisi imeeleza kuwa watu wanne miongoni mwa waliouliwa walikuwa wafanyakazi wa duka hilo akiwemo mlinzi, na waliosalia walikuwa wateja.

Watu 11 miongoni mwa 13 waliouawa na kujeruhiwa katika shambulio hilo ni Wamarekani weusi na wengine wawili ni Wazungu.

Meya wa mji wa Buffalo Byron Brown amesema, hilo ni balaa baya zaidi kuwahi kutokea katika mji huo.

Wataalamu nchini Marekani wanasema, ukatili wa mauaji ya utumiaji silaha moto ni moja ya matatizo sugu ndani ya nchi hiyo na wanakiri kuwa vitendo hivyo sasa haviwezi tena kudhibitiwa.

View attachment 2226549View attachment 2226550
warudi kwenye bara lao
 
... ripoti imeliweka sawasawa - "... itikadi kali za ubaguzi wa rangi ...". Hilo kwa Marekani linafahamika ni tatizo la siku nyingi tangu karne za 18, 19, na 20. Na kutokana na diversity ya taifa hilo, it will take some time kuisha tofauti na ndugu yetu TUJITEGEMEE aliyetaka kutuaminisha eti ni ugaidi! Ugaidi gani usiotaja neno dini?
 
alshabab , boko haram , Is central africa , Alqaida , Janjaweed nk wote wakiua huwa wanachukuliwa hatua kwel uislam ni din ya haki
 
mkuu.hukumu yako inatoka kweny kipengele kipi cha USA laws guide
Sema maswali mengine unauliza uonekane mjanja kumbe ndezi tu unajiaibisha unajua uzito wa kosa alilofanya ?

Wamekwambia hapo juu ni first degree murder bado tena unauliza ?

Nenda kasome capital punishment by federal government inayotolewa na Supreme court of United States

Inawahusu watu gani
 
... ripoti imeliweka sawasawa - "... itikadi kali za ubaguzi wa rangi ...". Hilo kwa Marekani linafahamika ni tatizo la siku nyingi tangu karne za 18, 19, na 20. Na kutokana na diversity ya taifa hilo, it will take some time kuisha tofauti na ndugu yetu TUJITEGEMEE aliyetaka kutuaminisha eti ni ugaidi! Ugaidi gani usiotaja neno dini?
Nyie magaidi mna shida sana, yaani unatetea upuuzi, Gaidi wenu kashauwa wenzenu weusi huko
 
Nyie magaidi mna shida sana, yaani unatetea upuuzi, Gaidi wenu kashauwa wenzenu weusi huko
... sijamsikia muuwaji yule akitamka kuuwa kwa jina la mungu wake; zaidi ni ubaguzi wa rangi tu ambao sote tunakubali bado haujaisha Marekani na itachukua muda kutoweka kabisa.
 
Back
Top Bottom