Rais wa Guinea Bissau avunja Bunge

Rais wa Guinea Bissau avunja Bunge

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,183
Reaction score
2,100

​


President of Guinea-Bissau Umaro Sissoco Embalo

Rais Umaro Sissoco Embalo amelivunja bunge la Guinea-Bissau na kusema uchaguzi wa mapema wa bunge utafanyika mwezi Desemba mwaka huu ili kutatua mzozo wa kisiasa uliodumu kwa muda mrefu.

Alisema kua “mgogoro huu wa kisiasa umemaliza mtaji wa uaminifu kati ya taasisi huru, nimeamua kurejea hoja kwa Waguinea ili mwaka huu waweze kuchagua kwa uhuru bunge wanalotaka kuwa nalo."

Mvutano kati ya bunge na urais umeikumba nchi hiyo ya Afrika Magharibi kwa miezi kadhaa yenye takriban watu milioni mbili na imekumbwa na mapinduzi manne ya kijeshi tangu 1974, la karibuni zaidi likiwa mnamo 2012.

...............................................

President Umaro Sissoco Embalo has dissolved Guinea-Bissau’s parliament and said early parliamentary elections would be held this year to resolve a long-running political crisis.

Tensions between parliament and the presidency have gripped the West African state for months.
Embalo cited “persistent and unresolvable differences” with parliament, which he described as “a space for guerrilla politics and plotting”, in a statement on Monday.

“This political crisis has exhausted the capital of trust between the sovereign institutions,” he said. “I have decided to give the floor back to Guineans so that this year they can freely choose the parliament they wish to have.”

A presidential decree said parliamentary elections would be held on December 18.
The former Portuguese colony of about two million people is notoriously unstable and has suffered four military coups since 1974, most recently in 2012.

Source: Al Jazeera
 
Back
Top Bottom