Washington: Marekani yapeleka mamia ya wanajeshi nchini Somalia

Washington: Marekani yapeleka mamia ya wanajeshi nchini Somalia

MTZ 255Dar

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2018
Posts
1,152
Reaction score
3,967
Rais wa Marekani,Joe Biden ameviamru vikosi Vya jeshi la Marekani Kuingia Nchini Somalia. Hii Ni Baada ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Llyod Austin kumuomba Rais Biden kupeleka vikosi Vya Ardhini Nchini Somalia ili Kupambana na Kundi lenye Msimamo mikali ya Kiislamu la Al-Shabab ambalo Lina mafungamano na Kundi la Kiislamu la Al-Quaeda.

Kabla ya mwaka 2021,Marekani ilikuwa na Wanajeshi 700 Nchini Somalia wakitoa mafunzo kwa Wanajeshi wa Somalia wanaopambana na Kundi la Kiislamu la Al-Shabab. Lakini mwaka 2021 Rais wa wakati huo wa Marekani aliviondoa haraka Sana na Kuwarudisha Wanajeshi wote Nyumani.

Awamu ya Kwanza itajumuisha Wanajeshi 450 ambao watapelekwa na ndege mbili za kijeshi za C-17 Global Master na C-5 Global Monster.

The decision is reportedly based on a request made by US Defense Secretary Lloyd Austin to better rein in al-Shabab. Biden approves deployment of hundreds of US troops to Somalia
 
Make America Great Again; and he did it indeed! Hayo masomali why waste time kwa mijitu isiyojitambua. Ni kuyaacha yauane tu yatakapochoka yataacha.
Ukishakuwa tajiri ata hapo mtaani kwako kama kuna kibaka lazima utatafuta namna ya kukiamisha mtaa.

USA kawekeza kila kona hapoo hao suruale fupi wanataka kumuharibia asali yake.
 
Ukishakuwa tajiri ata hapo mtaani kwako kama kuna kibaka lazima utatafuta namna ya kukiamisha mtaa.

USA kawekeza kila kona hapoo hao suruale fupi wanataka kumuharibia asali yake.
🤣🤣🤣🤣nimecheka kinyama. Trump alikuwa hajui au, eti wazee wa suruali fupi
 
Make America Great Again; and he did it indeed! Hayo masomali why waste time kwa mijitu isiyojitambua. Ni kuyaacha yauane tu yatakapochoka yataacha.
Uwepo wa askari wa Marekani huko Somalia huenda kutayaimarisha majeshi ya Somalia na kuwasaidia majeshi ya AU kwenye Vita na Alshabaab.

Pia ni fursa kwa Somalia kupokea misaada ya kiulinzi na kiuchumi kutoka kwa Uncle Sam.
 
Kwa wachovu wanapeleka wanajeshi, Ila Ukraine wanapeleka silaha na fedha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ama kweli wakubwa wanajuana, kuogopana na kuheshimiana.
 
Make America Great Again; and he did it indeed!

Hayo masomali why waste time kwa mijitu isiyojitambua.

Ni kuyaacha yauane tu yatakapochoka yataacha.
Hawajasahau kichapo walichochezeshwa?
 
Wa Somali sio watu wa mchezo mchezo!! Sasa hivi hao Marekani watatudi kwenye masanduku!
 
Mna takiwa kujua wanacho gombea huko somalia hasa mataifa makubwa USA na China na kwanini kamati ya somalia ilienda USA na Nyingine inayo pinga ikaenda China, kila mmoja akienda kuomba msaada kwa kuaminisha mataifa hayo yatapata kitu katika kutia mkono au kuunga mkono kundi fulani ndani ya somalia

Pia ikumbukwe somalia ina rasilimali nyingi sana huko ardhini (madini)

Hivyo wajinga tu ndio wata elewa kulingana na ujinga uliopo vichwani mwao, maana Watanzania walio wengi vichwa vyao ni kama vya kuku wapo wapo tu... na wao wamekuwa mtaji wa wachache kupitia ujinga wao walio wengi.
 
Hivyo vikundi vya kigaidi ni hao hao wamarekani wenyewe...
 
Ona ili nalo.
 
Ukishakuwa tajiri ata hapo mtaani kwako kama kuna kibaka lazima utatafuta namna ya kukiamisha mtaa.

USA kawekeza kila kona hapoo hao suruale fupi wanataka kumuharibia asali yake.
Usijidanganye kuwa eti Biden atapata suluhisho la mzozo wa Somalia. Huo mfupa umewashinda wengi na hao unaowaita suruali fupi wamewatoa kamasi Bush mkubwa, Clinton, Bush mdogo na Trump pamoja na kibaraka wao Meles Zenawi. Miaka yote toka 1990 hakuna walichofanikiwa zaidi ya maumivu tu kwa askari wa Marekani na vibaraka wao.
 
Make America Great Again; and he did it indeed!

Hayo masomali why waste time kwa mijitu isiyojitambua.

Ni kuyaacha yauane tu yatakapochoka yataacha.
Hapo us ameshapata base ya kijeshi...
 
Back
Top Bottom