Makombora ya Urusi Kuelekea Bandari ya Odesa yazidi Kudoda

Annunaki

JF-Expert Member
Dec 30, 2021
1,911
3,171
Hakuna neno lingine ninaloweza kusema zaidi ya kusema yemedoda, kwani malengo ya kuharibu na kukwamisha usafirishaji wa silaha muhimu nchini Ukraine yemekwama. Silaha muhimu zitaendelea kusafirishwa kupitia bandari ya Odesa. Hii ni baada ya mashumbilizi ya makombora ya Urusi kuelekea bandari ya Odesa kushindwa kuharibu maghala ya silaha muhimu zinazosafirishwa nchini Ukraine.

___________________________________________

Russia yarusha makombora kwenye bandari ya Odesa kukwamisha usafirishaji wa silaha muhimu nchini Ukraine

Russia Jumanne imerusha makombora kwenye bandari ya Bahari nyeusi ya Odesa, maafisa wa Ukraine wamesema, wakati Moscow ikijaribu kukwamisha usafirishaji wa silaha muhimu na njia za usambazaji wa bidhaa nchini Ukraine, katika wiki ya 11 ya vita nchini humo.

Jeshi la Ukraine limesema Russia imerusha makombora saba katika mji wa Odesa, yaliyoanguka kwenye kituo cha biashara na ghala, na kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine watano.

Meya Gennady Thrukanov ametembeleaa ghala hilo na kusema “HALIKUWA NA UHUSIANO WOWOTE NA MIUNDOMBINU YA KIJESHI AU VIFAA VYA KIJESHI.”

Hayo ni wakati Bunge la Marekani lilijadili Jumanne mswada wa dola bilioni 40 kama msaada mpya wa kijeshi na kibinadamu kwa Ukraine, ni zaidi ya dola bilioni 33 alizoomba wiki iliyopita rais Joe Biden.

Screenshot_20220512-145924_1.jpg
 
View attachment 2221684
Yaani sasahivi kila mtu analeta uzi jinsi anavyoona yeye: hii habari ni ya majuzi we ndo unaileta sasahivi... Kule odesa sasahivi hakupitiki Russia kaharibu miundombinu yote ya bandari japo hajaiteka lakini hakuna shughuli za usafirishaji.. sashv ukraine hana bandari ya kusafisha bidhaa na siraha kutoka nje..
 
Uwe unasoma uzi uliletwa lini, siku nyingine usikurupuke
 
Back
Top Bottom