habar ndugu zangu...kama kichwa cha thread kinavyosema natafuta mtu yeyote ambae ni tour guide ili niweze kuwasiliana nae maswala ya biashara
Au kama kuna namna ambayo naweza kumeet na foreigners kwa karibu naombeni mnisaidie ndugu zangu Nina business naianzisha ila ni kwaajili ya foreigners, natumai mtanisaidia Mtanzania mwenzenu.
Asanteni