Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni lini na sisi Tanzania tutafanya vitu kama hivi?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Pamoja na matangazo mamlaka ya mawasiliano wanayoyatoa nimeibiwa simu, nimeripoti polisi (RB) ninayo, risiti ya kununulia yenye imei namba ninayo, box la simu yenyewe ninalo ..... Tatizo wahusika...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Waandishi wetu wa habari na Vibaraka wengine sijui mnajisikiaje mnapomsikiliza huyu kijana.
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Rais huyu mzalendo kumbe anakubalika mno, hayuko peke yake. Nimepitapita states kadhaa za Marekani, sasa niko calfonia yapata wiki sasa, nikiwa nimetokea China kwenye shughuli zangu za...
8 Reactions
65 Replies
5K Views
Habarini naomba mnisaidie, Rais wa kwanza wa Zanzibar Sheikh Karume je makamu wake alikuwa nani? Msaada tafadhali
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Afrika Kusini. Wanasayansi Afrika Kusini wamebaini kwamba mtoto aliyeambukizwa virusi vya UKIMWI, ameishi kwa miaka minane na nusu bila viini hivyo. Mtoto huyo alipewa dawa za majaribio ya...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
habar za muda huu wana jamii forum kama inavyojieleza hapo katika pita pita zangu mitaa fulani nikakutana na makundi mAwili yakibishana kuhusu wafanyakazi wa serikali waliokuwa na vyeti feki ni...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimekaa na kujiuliza kuwa serikali inakazania sana wanafunzi wasome masomo ya sayansi hata mimi naunga mkono jitihada hizo na niipongeze serikali kwa kuajiri walimu wa sayansi kwani tunaupungufu...
1 Reactions
2 Replies
800 Views
Polisi inamshikilia mtu mmoja(39) kwa kumbaka mtoto(11) jana alfajiri huko Ilemela na kumsababishia maumivu makali sehemu za siri. ===== MTU MMOJA ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za jioni wakuu, natumai shughuli ilienda na inaendelea vizuri kwa wale ambao haijaenda sawa basi yote shukuru kesho pambana utafika. Naombeni mnielezee nini thamani ya utu wa binadamu...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Songea. Siamini Fulgence (34) amemuua mkewe Asunta Michael (27), mkazi wa Kijiji cha Mtenje Vichakani wilayani Nyasa kisha naye akajiua kwa kujinyonga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Gemini...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum jijini Dar amesema wakimaliza upelelezi watamfikisha Tundu Lissu mahakamani Akifananua zaidi kuhusu ni lini watamuachia, amesema bado hajui watamaliza lini...
0 Reactions
66 Replies
8K Views
Hii kadhia imeishia wapi je kuna mtu yoyote aliyepoteza maisha maana meseji zilizokuwa zinasambazwa kuhusu kula mboga za majani na uwepo wa huyu mdudu kama vile kuna sumu imeingia nchini na sasa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nitajikita kwenye hoja, Maisha yanachangamoto nyingi mno ambazo zinakatisha tamaa,kuna wakati unaweza kudhani Mungu amekusahau kabisa pale unapoona wengine wanafanikiwa na wewe upo tu. Jambo la...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Moshi. Jeshi la Polisi nchini linamsaka mtuhumiwa kinara wa uporaji pikipiki maarufu bodaboda na mauaji ya madereva mkoani Kilimanjaro. Anayetafutwa ndiye ambaye polisi wanadai kukuta maiti ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wamaJF, Mtu mmoja amefariki dunia baada ya gari dogo Toyota Starlet lenye namba za usajiri T259 DFL kugongana na Lori(Fuso) lililokuwa limebeba Nyanya. Ajali hii imetokea kona Mbuyuni...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
1. Ualimu 2. Uhandisi 3. Sheria 4. Udaktari 5. Uchumi 6. Biashara Hizo ni baadhi tu ya Taaluma hapa duniani. Kati ya hizo, Sheria Haina athari athari ya moja kwa moja katika maisha ya...
1 Reactions
53 Replies
6K Views
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu wafanyakazi watano wa Kampuni ya Uchapaji ya CI-Group Co. Ltd, kulipa Sh 52.5 milioni ama kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela kila...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Mwesigwa Mberwa (23),amekutwa amefariki dunia katika chumba namba 38 kwenye nyumba ya kulala wageni (guest house) iitwayo Msukuma, huko kitongoji cha usalama...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…