Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

katika nchi zenye utajiri mkubwa wa rasilimali Africa Tanzania inautajiri mkubwa,... Mungu aliumba dunia na akaweka rasilimali mbalimbali kwa kila nchi kwa ajili ya raia husika wa nchi fulani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau tukumbushane kidogo km mnakumbuka mwaka Jana kulikuwa na habari iliyoenea nchi mzima kuhusu yule bwana aliyetuhumiwa kumpiga hadi kumtoboa macho bwana Said baadae akakamatwa na kufikishwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu Mh Mkuu wa wilaya ubungo sisi n wakazi wa BARUTI...tumewiwa kuulizaa kinachoendelea kwenye manispaa yetu baada ya watu wa manispaa kupita na kushauri watu hivi wiki iliopita wamepita...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Nina shida maalumu hapo naombeni namba za simu za mfanyakazi wa hapo. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
921 Views
Nyumba zaidi ya 100.Mbezi Beach Zilizo jirani na baharini kubombolewa kufuatia kukiuka sheria za majenzi! Chanzo ITV
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama rais Jakaya M Kikwete katika twitter kaandika hivi: Popote tuwakatae watumishi wa umma ambao wanatumia nafasi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Imepita miezi kadhaa sasa tangu mtumishi wa Mungu Lusekelo a.k.a mzee wa upako atamke kuwa waandishi wote wa habari waliomuandika vibaya watakufa alihakikisha lazima wafe akaenda mbali zaidi na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nipeni ushauri sehemu gani ya Dar es salaamu inafaa kwa kupigia pesa na hii carina Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kumekuwa na watu wengi wakifikiri serikali kweli inachukuwa viwanda vya zamani. Lakini viwanda wanavyosema ni bora wauze tu kiwanja kwenye mnada kwasababu zifuatazo 1. Hazina hata mashine moja...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mgodi wa CATA Mining uliopo Wilaya ya Butiama mkoani umesimamisha shughuli zake na kutoa likizo kwa muda usiojulikana baada ya serikali kuamuru mikataba yake ipitiwe upya baada ya kuonekana una...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari za asubuhi wakuu wote, Jana usiku majira ya saa nne nimepokea taarifa ya msiba wa bibi yangu mpendwa huko Kiomboi wilaya ya Iramba. Ni majonzi makubwa kwani utotoni sikuwahi kuita mama...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Tue, Sep 13th, 2011 | Tanzania Four people including former Minister of State, Zanzibar President’s Office, Ambassador Mohamed Ramia, 64, escaped death by a whisker after the aircraft...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Waumini wa Kanisa la The River of Healing Ministry lililopo Kimara jijini Dar es salaam wakiongozwa na Mchungaji John Kyashama wamefunga kutokula na kunywa kwa muda wa siku tatu porini wakimuombea...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Shirika la ugavi wa Umeme nchini TANESCO limefanikiwa kukusanya madeni yake kutoka kwa wadaiwa sugu sambamba na kuimarika kwa ukusanyaji wa mapato kwa asilimia 104 na kuweka rekodi mpya tangu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Katibu CWT amjia juu Prof Ndalichako Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Mwalimu Ezekiel Olouch amesema upangaji matokeo ya kidato cha nne kwa mfumo wa divisheni uliofanywa na...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Usipoelewa leo utaelewa kesho, chukua homework hii utajibu na kujisahihishia mwenyewe. 1. Magufuli alikataza siasa hadi 2020, Zoezi la ukaguzi wa vyeti haliwahusu wanasiasa, Je! Hao wanasiasa...
1 Reactions
0 Replies
764 Views
Nimeamka asubuhi nina elfu kumi mfukoni , sasa hesabu yake sasa :- Chai kwa mama niwekee. 1,500/= Nikatoka kwenda mjini nauli. 1,000/= Nikala mchana huko mjini. 2,500/= Nikanunua vocha...
7 Reactions
132 Replies
12K Views
Habari ndugu, Nimefungua wikipedia nlikuwa napitia nchi yetu hii TANZANIA lakini ajabu nimekuta takwimu za dini, lakini nijuavyo mimi nchi yetu huwa haina idadi wala makadirio kati ya WAISLAMU NA...
2 Reactions
153 Replies
14K Views
Agizo la Aprili 15 lililotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli alipoitaka Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) iachane na utaratibu wa sasa wa kuwapangia wanafunzi...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…